ni nini

Ni Ni's Treehouse is a preschool television series and was produced jointly by The Itsy Bitsy Entertainment Company and GMTV. It was originally aired on TLC and GMTV from 2000 until 2003.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Mapooza ni nini na yanaepukwa vipi

    Mapooza ni nini na yanaepukwa vipi Mapooza ni vitu au mambo yo yote yasiyoweza kuzalisha chochote, au kufikia kilele chake cha kutoa matunda kamili. Neno mapooza limetokana na neno kupooza. Kwa mfano, tunaposema mtu amepooza mkono, maana yake ni kwamba anao mkono lakini hana uwezo wa kufanya...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Njia ya Pugu Road (Vingunguti hadi Jet Corner) kuna harufu kali, sijui tatizo ni nini?

    Wale tunaoishi na kufanya shughuli zetu Pugu Road, kuanzia Vingunguti hadi Jet Corner kipindi cha nyuma eneo hilo lilikuwa na hali ya hewa nzuri, lakini siku hizi hali imebadilika, kumekuwa na harufu mbaya na nzito ambayo wakati mwingine inafanya iwe vigumu hata kufanya kazi na kuendelea na...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Uchawi ni nini ?

    Mfano huyu Mugisha koti lake kufuatwa na nyuki Waswahili wamekimbilia ni uchawi! Akili za Waafrika wengi zikishindwa kuelewa jambo kwao inakuwa ni uchawi.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ni nini cha zaidi wanacho kipata wamiliki wa ist mpaka wananunua hii gari kwa 20M.

    Kwa miliki wa IST ni kitu gani kinakufanya uipende hiyo gari, tupeni siri jamani 😃
  5. idiomer

    JamiiForums Tanzania Ni nini hasa kinasababisha waziri hata mwaka hajamaliza anatolewa?

    Dkt Juma Homera aliteuliwa 18/11/2025 kuwa waziri wa katiba na sheria. 27/09/2026 Dkt Juma Homera ameteuliwa kuwa waziri wa nishati Hii inaathari gani ?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kiroho! Roho ni nini? Hakuna aliyejibu mpaka leo!

    Mtaji wa wahubiri wa imani yetu ya Kikristo huo. Ulimwengu wa kiroho, mambo ya kiroho.....blah blah blah. Swali nimeuliza countless times , ROHO NI NINI? An invisible matter? A wave energy? What actually is a spirit? Maana hata hizo atoms,protons, neutrons na subatomic particles hatizioni kwa...
  7. SIR MGAX

    JamiiForums Tanzania SHIDA YAO NI NINI?

    Kwanini hawa wadudutu wamekuwa wakali kiasi hiki. Mbona ni kidonda kinachweza kutibika,kwanini isipatikane mbinu ya kuzuia nzi na kukiweka dawa kwa lengo la kukausha then ngozi iwe salama? Je,wauguzi mnalijua kuwa hizi fake medicines zinazotumika si solution la tatizo? Ikumbukwe huu ni sehemu...
  8. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Ni Nini kinaendelea hapa ? ✍️✍️ Kwanini wanakuna vichwa ? ✍️✍️✍️

    Ni Nini kinaendelea hapa ? ✍️✍️ Kwanini wanakuna vichwa ? ✍️✍️✍️
  9. D

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la maneno haya ni nini?

    Hakunaga ushemeji tunakulaga Shemeji kanunua pastora ngoja nimpende dada yake WAUNGURUMA WAILIPUA KIMENUKA WAIBANA WAJILIPUA AMLIPUA Yote yapo kwenye kamusi ya BaKITA waliochukia page 66
  10. VanDon

    JamiiForums Tanzania Ni nini EL NIÑO na madhara yake

    Haya hapa maelezo kwa ufupi (njia ya picha) juu ya maana, inavyotokea, madhara, na tahadhari juu ya El niño.
  11. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Eda ni nini? Je, Rais Samia kuendelea kuongoza akiwa eda?

    Kifo cha Hafidh Ameir, mume wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kimeibua maswali kuhusu kipindi ambacho mwanamke Mwislamu huingia baada ya kufiwa na mume wake. Kipindi hicho kinachojulikana kama eda kina masharti gani, huchukua muda gani na kinatofautianaje na maombolezo ya kawaida? Soma...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kuangalia information katika MKoba inasumbua. TCB/Vodacom tatizo ni nini?

    Ukiomba members contributions hupati , inazunguka mpaka session in expire. Au ndio utapeli mnaanza kutufanyia
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia kubwa ya "bosses" wa kizungu wana roho nzuri na waumgwana kuzidi Waafrika, waarabu, wachina na wahindi? Malezi bora au ni nini?

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Uliwahi kuwa na boss Mzungu, mchina, Mwarabu?? What was your experience?? Siku boss wangu Mzungu anaondoka mwaka 2018, alitupa staki zote kwa mujibu wa sheria plus 900,000/= kila mmoja wetu kutoka katika akiba yake baada ya kuuza assets zote na kurejea kwao Denmark...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Unabii Tanganyika: Kwanini tunapitia haya? Nini tafsiri yake kiroho!?

    Kiroho, nyakati ngumu zinazopita katika nchi ya Tanganyika hazitokei kwa bahati mbaya, bali hutafsiriwa kama kipindi cha mageuzi makubwa na mtikisiko wa kiungu ili kuandaa taifa kwa hatua mpya. Katika mtazamo wa kinabii, dhoruba za kijamii, kiuchumi, au kisiasa ni ishara kuwa ulimwengu wa roho...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Crypto ni Nini? Mwongozo wa Kuelewa, Kuanza na Kufanya Biashara ya Fedha za Kidijitali

    Utangulizi: Mapinduzi ya Fedha za Kidijitali Katika karne ya 21, ulimwengu umeshuhudia mapinduzi makubwa ya kiteknolojia na kifedha yaliyobadilisha namna tunavyoelewa pesa, umiliki na uhamisho wa thamani. Moja ya uvumbuzi muhimu zaidi ni Cryptocurrency (fedha za kidijitali). Tangu kuanzishwa...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kuwa Mkweli Kunaponza!, Nilidhani Unawa Cost Malofa na Makapuku Tuu, Kumbe Hata Vigogo Wakubwa kama Huyu!. Kosa Lake Nini?, Au ni Kuwa Mkweli Sana?!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali... Japo najua mtu ukiwa mkweli sana, sometimes ukweli unaweza kukuponza!, ila nilidhani ukweli una wacost malofa tuu na makapuku, sikujua kama unaweza kuwaponza wakubwa kama Balozi Polepole, Polepole alipoanza kuusema ukweli wake, mimi nilimshauri sana tuu...
  17. livingroom_espionage

    JamiiForums Tanzania Kitambaa cheupe, sijui ni nini kinaendelea ila wakati mwingine Maisha ni Bahati tu

    Sijawahi kikutana na huyu Dada, ila nakumbuka tokea enzi za fastjet, mpaka ki grocery kwenye frame moja pale tabata, mpaka baa kubwa, Tabata, sinza na mbagala, Mara kuna ile microfinance, mara ile biashara ya Real estate na kadhalika. Sijui ila kimpangia mtu maisha sio vyema nadhani huyu Dada...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Kosa la rais Samia ni nini?

    Hakika watu wa kale walipata kunena kwamba "Mti mrefu haukosi upepo" - ikiwa na maana kwamba, mtu anayefanya vizuri hukutana na maneno mengi ya ukinzani na nongwa. Mfano huo naweza kuutumia kwa namna ambavyo baadha ya vikundi maalumu vya watu waliojipanga katika kudogodosha,kuchafua...
  19. Dexta

    JamiiForums Tanzania Mnaosema uchawi haupo, hiki ni nini.!?

  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waha "Maana ya Ndimugwanko" ni nini

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, maana ya Ndimugwanko ni nini? Ningependa kujua maana ya hili neno kutoka Kigoma.
Back
Top Bottom