Je, ni wakati sahihi kwa watoto wa kiume kupewa Elimu ya Jinsia?

Guapo_v

Member
Aug 18, 2022
8
8
Kwa kawaida imezoeleka kwenye jamii nyingi za ki Afrika mtoto wa kike ndio mwenyE kupewa elimu jinsi ya kujitunza utasIkia mara ooh mtoto wa kike unatakiwa kua msafi, jichunge na mapenzi kabla ya ndoa.

Lakini Watoto wa kiume wamekua wakisahaulika sana katika haya je, ni kweli watoto wa kiume hawakutani na changamoto za kijinsia?

Na je, hawapaswi kuelezwa umuhimu wa kujitunza au ndio kusema wao hawana shida katuka haya?

Ni muhimu elimu ya kijamii kutolewa kwa usawa kwani watoto wote hukutana na changamoto mbalimbali katika ukuaji wao zikiwemo za kijinsia

...............................................................................

Hii itawasaidia kuondokana na mitizamo ya KIJIMA na mifumo dume iliyopitwa na wakati ili kuendena na aina ya maisha ya Karne ya 21.

Mfano wa mitazamo ya KIJIMA na KIPUMBAVU ya kijana wa leo,
- Kuamini mwanaume pekee ndo mwenye akili.
-Kuamini mwanamke anapaswa kuamka asubuhi na kuanza kumsalimia.
-Kuamini mwanaume pekee ndo anapaswa kuongea kwenye familia.
-Kuamini michepuko ni haki yake nk.

*Very surprisingly , watoto wa kiume hupenda sana mama zao na hawapendi wanyanyaswe na mtu yeyote yule wakiwemo baba zao, lakini kwa wake zao story ni tofauti sana.

*Wanawake nowadays wanabadilika sana kutokana na elimu na utambuzi hvyo kuzijua haki zao vyema na jinsi ya kuzipata, hivyo kuwaendesha kwa mawazo ya kizamani haiwezekani.

Sheria nyingi sana pia zinabadilika kuwa-empower sana wanawake na kuwakinga na ukatili wa kijinsia tofauti na zamani.
 
Kwa nyakati za sasa ndiyo,

Hii habari ya mwanaume kufikiria anapaswa kupata unconditional love kutoka kwa mwanamke bila uwajibikaji ni UPUUZI uliotukuka.

Kwenye maisha ya sasa UNCONDITIONAL LOVE inatoka kwa MUNGU na wazazi pekee, Haya mengine ni RECIPROCITY (You do me this, and I do you that)
 
Umeupiga mwingi kaka
 
Well said
 
Hii habari ya mwanaume kufikiria anapaswa kupata unconditional love kutoka kwa mwanamke bila uwajibikaji ni UPUUZI uliotukuka.

Kwenye maisha ya sasa UNCONDITIONAL LOVE inatoka kwa MUNGU na wazazi pekee, Haya mengine ni RECIPROCITY (You do me this, and I do you that)
Hebu tuelewe hiyo CONDITIONAL LOVE nasi wazima tuelewe.
 
wazazi pekee
Hata wazazi wanakupenda kwa sababu wamekuzaa yaani wanakupenda kwa sababu ni MTOTO WAO.

So hiyo ya kuwa mtoto wao tayari ni conditional.

Hata huyo mwanamke anayemupenda kwa sababu ya mali na usipokuwa na mali hakupendi basi mwanamke huyo angekuea mama yako angemupenda tu na umasikini wako kwa sababu ni mtoto wake kakuzaa.

So hata wazazi upendo wao sio unconditional,hivyo tuache upendo wa Mungu tu maana hatumpi faida yoyote ile lakini bado anatupenda na kuendelea kutuumba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom