kwenu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Kwenu Maafisa Usafirishaji

  2. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Nimerudi: Ban haikuwa haki, mods sikilizeni!

    Either way the ban was necessary maana nimepata wasaa wa ku visit nature... The special thing was these feathery friends. Hivi niwaulize enyi mods. Kwanini huwa mnawapa ban members kisa watu wame report? The report isn't the whole story... Muwe mnauliza kwa member husika aliye reportiwa...
  3. SIR MGAX

    JamiiForums Tanzania Je, wajuzi mna nini cha kusema kuhusu mawe haya?

    Niliwahi kupata ufumbuzi juu ya haya mawe,lakini kwa bahati mbaya sikumaliza elimu kutoka kwa aliyekuwa akinipatia. Je,wajuzi wana nini cha kusema kuhusu mawe haya? Cc: Seran Mshana Jr Rakims
  4. M

    JamiiForums Tanzania Swali langu kwenu wazushi, kama kweli yanayozushwa kuwa Tanganyika inageuzwa koloni. kwanini wabara walioko huko kwenye hizo taasisi nzito wametulia ?

    Nimekutana na hizi stories zisizo na facts kwamba nchi itatekwa kiutawala na Zanzibar Yani Tanganyika yenye watu wengi mara 35 ya Zanzibar na ukubwa zaidi ya mara 300 ya Zanzibar itawaliwe na Zanzibar ? mnaota ndoto gani hizo ? Kuna kelele kwamba Wazanzibari wanajazwa JWTZ. Kwa ajili ya...
  5. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Hii kitu ina majina mengi, huko kwenu inaitwaje?

    Pussy Mwandu Mpwechelo Kipochi Mfumo
  6. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Haya wale wazee wa kuokoteza okoteza wagombea wa kiti cha Urais kazi kwenu

    Fursa zinapotokea ni kuzichangamkia haya sasa tafuteni wagombea mapema ila kaeni mkijua kuwa.👇🏼👇🏼 CCM NDO TANZANIA YENYEWE CCM NDO MLEZI WA AMANI YA TAIFA LETU. CCM NDO CHAMA PEKEE KINACHOSTAHILI KURA CCM NDO CHAMA PEKEE ambacho return ya kura zetu tunaiona wazi wazi KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Nasikia Cement imepanda hadi kuuzwa Sh 22,000 kwa mfuko. Mtaani kwenu mnanunua kwa bei gani?

    Nimeona taarifa hii ya Azam TV ikieleza kuwa cement imepanda na kuwa baadhi ya maeneo inauzwa hadi Shilingi 22,000 hadi 23,500kwa mfuko wakati awali ilikuwa inaiuzwa kati ya Shilingi 15,000 hadi 17,000, sasa imekuwaje ghafla tu mzigo umepanda kwa kiwango hicho? Kuna nini nyuma ya pazia...
  8. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Je kijijini kwenu kuna hawa watu wanaomba kama vijiji vya kwetu?

    Ukienda pale kijijini kwetu, inakubidi uwe umechenji hela zako ziwe buku buku au buku mbili, Aise Wamezidi Kuomba, yaani usikutane na mtu anayekujua utasikia tu "We Kijana Wa Mama Flani ninunulie basi sukari" hujakaa sawa Huyu nae anataka Buku, Mara buku mbili. Kwa sisi watu Wa Vyombo Hadi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania imekuwaje umebakiza miaka 25 tu ufikishe 60 na bado hujaona sababu ya kupata hata mtoto mmoja ?

    Ni kwa wale wenye choice ya kuwa na watoto, sio wenye changamoto kama za uzazi unaogopa diapers au unangoja wajukuu moja kwa moja?
  10. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Je, watoto wako watakumbuka asili ya ulipotokea? Watajua lugha na tamaduni za kwenu?

    NI declare kwamba nini ni Mjaluo Kwa asili kabisa, wazazi wote pande mbili, licha ya kuzaliwa na kukulia mkoa wa morogoro, mzee wangu alikua mtumishi wa serikali kazunguka sehemu nyingi Morogoro ndio makazi yake yapo mpaka Leo, Ujaluoni nimefika marachache zaidi nadhani katika maisha yangu...
  11. Goodluck Boaz

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwenu wana JF

    Msaada, samahani wana JF kama unaandika barua ya kuomba nafasi zilizotangazwa na chuo kikuu, mfano unaomba nafasi ya uhasibu katika XYZ university, barua utakayoandika utatakiwa kumuaddress HR ama Principal wa chuo? Kuuliza si ujinga. Asante
  12. min -me

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kabisa kwenu vijana

    Nyie vijana mtambue kuwa hakuna umri wa mafanikio, mimi ni kati ya vijana nilianza kufanikiwa nikiwa na miaka 33 , yani hapo kwa umri huo buku sina , nilichokua nacho ni mind setting na akili ya pesa tu . Leo hii nikifilisika kabisa nikawa na 50 elfu tu , nitampita ambae anajiona yupo...
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania JWTZ mmesikia na sauti iko sawa kabisa, kazi kwenu

    Wanaukumbi. JWTZ MMESIKIKA NA SAUTI IKO SAWA KABISA YAANI ..📌 JWTZ ambao wanaharakati hasa yule rais wa Hungary Maria Sarungi amekuwa anawahusisha na machafuko na njama za kupindua serikali wametoa kauli. JWTZ wametoa kauli nzito na ngumu sana kuwa " hawatalinda wanaofanya vurugu na...
  14. shibela

    JamiiForums Tanzania HOJA Washereheshaji (MCs) hii tabia ya kuchukua video au picha bila idhini na kuzipost kwenye kurasa zenu mnaona ni sawa?

    Mmekua na tabia ya kuchukua video/picha za waalikwa bila idhini yao na kuzipost kwenye kurasa zenu za mitandao ya kijamii,kwani nyie wenzetu mnaona ni Sawa? Mimi nimekuja zangu kwenye sherehe mubebezi yupo huko mbali nimemuaga nalala wewe asubuhi asubuhi umeshaanza kunipost Nacheza ukumbini...
  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni nani mwenye jukumu la kupendezesha kijijini kwenu?

    Wengi hatuendi vijijini tulipo toka kutokana na labda mazingira sio rafiki. Inawezekana labda, bado kuna nyumba za nyasi, udongo, choo kisichokuwa na ushirikiano, hakuna umeme, au mazingira ni machafu. Ingawa huku mjini tunajimwambafai kuwa tuko vizuri, kwa kuendekeza starehe, kujifanya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hali ya biashara huko kwenu ipoje.....

    Najiuliza tu kwa mikoa mingine huko Hali ipoje ndugu zangu. Sisi huku tunaangalia tu madukani . Tunajihoji ni mkoa wetu tu au na huko hali ipoje.
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ni wazo ila ni msaada kwenu TRA

    Naanza kwa kuwaponda viongozi wanaosafiri kwenda nchi za nje na kisha kurudi wakiwa na mashudu kichwani. Ina maana gani ya kwenda nchi za watu mkarudi kichwa cheupe hata mjifunzi makosa au mbinu. Hii sio kwa TRA ni kwa idara zote mpaka serikali nzima. Mfumo wa TRA ulikuwa na njia rahisi ya...
  18. BlackPanther

    JamiiForums Tanzania Kila la kheri kwenu machama yangu Argentina, Morocco, Spain na Algeria

    Ingawa mimi ni shabiki mkongwe wa Albiceleste, na bado naimani kubwa sana na chama langu kubeba kombe hili (Back to Back) Lakini kwa upande wa Afrika nipo na chama langu The Atlas na mabingwa wa Afrika CAF CHAMPIONS LEAGUE 🇲🇦 MOROCCO 💪🏽, niwatakieni kila la kheri katika mchezo wenu wa kwanza...
  19. Mbabani

    JamiiForums Tanzania Kwenu wazazi wenye watoto wa kike

    Wazazi kuna jambo ambalo inabidi leo mlielewe ama mlizingatie wakati wa kuozesha binti zenu. Kuna kasumba ya kutajiana mahari kubwa halafu mnaanza kuvutana kama vile mnauziana bidhaa. Sasa ni hivi mnapotaja mahari za watoto wenu muwe mna uhakika zinaendana na thamani ya binti yako, usitaje...
  20. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Songwe nipo kwenu toka Jumatano nimekuja kubalizi kidogo na majini wenzangu 😂😂 karibuni mnaotaka kuonana na mimi

    Wakazi wa Songwe nipo kwenu toka Jumatano nimekuja kubalizi kidogo na majini wenzangu 😂😂 karibuni mnaotaka kuonana na mimi
Back
Top Bottom