kasi

KASI (1430 AM, "News Talk 1430") is a radio station licensed to serve Ames, Iowa. The station is owned by iHeartMedia, Inc. and licensed to iHM Licenses, LLC. It airs a News/Talk radio format.The station was assigned the KASI call letters by the Federal Communications Commission.The transmitter and tower are located in northwest Ames. According to the Antenna Structure Registration database, the tower is 124.4 m (408 ft) tall.In January 2016 KASI applied for an FM translator to rebroadcast the AM signal at 94.1 MHz. That application has since been approved to KASI by the FCC as of February 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Nairobi (COP12) Washika Kasi Dar

    Waziri wa Nchi, Ofisi va Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akifanya mahojiano maalum na TBC katika kipindi cha 'Jambo Tanzania kuhusu Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP12) unaoendelea Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kasi mpya ya mivutano Mashariki ya Kati, mafuta kupanda bei

    Hapo jana, kiongozi wa PLC, Rashad al-Alimi ametangaza operation ya kuwakabili wapiganaji wa Houthis ndani ya Yemeni. Hivi karibuni Houthis walifanikiwa kuteka sehemu ya mfereji wa Bab al-Mandeb na maeneo mengine ya kimkakati katika routes za Usafirishaji wa mafuta. Ikumbukwe pia Houthis...
  3. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mmuya aagiza kasi upatikanaji wa hati za ardhi sasa kupatikana ndani ya saa 48

    ★ Aelekeza kuanzishwa Kliniki ya Upimaji wa Mashamba ★ Awasisitiza wawekezaji kuendeleza maeneo yao kuepuka migogoro Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amesema kipaumbele cha Wizara kwa sasa ni kuongeza kasi ya utoaji wa hati za miliki za ardhi ili...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wanaume, Mmeona Hii Kasi ya Ma-Ex Kurudi Ghafla

    kuna kitu kinaendelea duniani kama mme sense. Uchumi umekaza hela imekuwa ngumu kupatikana, na wanaume wengi siku hizi wamefunga kabisa wizara ya kuhonga. Kwa baadhi ya mademu wasio na source ya uhakika ya kipato, mtaani kumeanza kuwa pa moto Hapo ndipo contacts za zamani zinaanza kufukuliwa...
  5. Red black

    JamiiForums Tanzania Vijana mnavuta Bangi kwa kasi sana

    Shida ni nini Takwimu zinaonyesha matumizi ya Bangi yameongezeka sana kwa vijana
  6. 2019

    JamiiForums Tanzania Zanzibar miradi inaenda kasi sana huku Tanganyika ni hela hakuna ama?

    Aliripoti mwandishi mmoja wa dw Rashidi Chilumba kwamba Zanzibar iwa miaka mitatu imebadilika sana, na kasi ni kubwa. Kiukweli hata ambao hatujafika huko tunaiona kwenye mitandao. Mifano hai Uwanja wa mpira wa Dodoma unaenda kama konokono na muundo wake si mzuri kama ule wa Zanzibar. Mpaka leo...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ado Shaibu: Kama naenda kasi katika kuwasemea Wananchi niambieni nipunguze

    Wananchi wa Kijiji cha Kidodoma, Tunduru, wamemtaka Katibu wa ACT Wazalendo na Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado kuendeleza kasi ya kuwasemea Wananchi na makundi mbalimbali, hususan katika masuala ya haki, utekaji na changamoto zinazowakabili wananchi. Wamesema hayo Septemba 23, 2026...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makatibu Wakuu EAC Wakubaliana Kuongeza Kasi ya Kuondoa Vikwazo vya Biashara

    Makatibu Wakuu wanaosimamia masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), na sekta ya biashara kutoka Nchi Wanachama wamekubaliana kuongeza kasi ya utekelezaji wa hatua za kuondoa vikwazo vinavyokwamisha biashara ndani ya Jumuiya. Makubaliano hayo yamefikiwa leo, Septemba 24, 2026, katika...
  9. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Sio kila baba ni mzazi hii pia imepelekea malezi ya single parenting kuongezeka kasi ila lawama zote anatupiwa mama na mama mkwe

  10. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Algorithm vs AI(akili mnemba) kwenye ugumu wa maisha kwa sasa.

    Katika dunia ya sasa, watu wengi huzungumzia AI (Akili Mnemba) kama teknolojia inayobadilisha maisha kwa kasi kubwa. Hata hivyo, swali moja muhimu linaibuka: Je, ni AI kweli inayotawala maisha yetu, au ni algorithm zilizopo nyuma ya pazia? Algorithm ni seti ya kanuni na maamuzi yaliyopangwa...
  11. X

    JamiiForums Tanzania Marekani yaogopa kasi ya China kwenye AI, yaomba kasi ya AI ipunguzwe. China imekataa!

    Baadhi ya vigogo wa AI Marekani wanataka maendeleo ya AI yapunguzwe kwa kile wanachodai hofu ya hatari zinazoweza kuletwa na AI. Kwa kifupi, vigogo hawa wanaiona kasi ya China kwenye AI na wanapata presha. Sasa wanataka kubadili rules za mchezo ili wapate nafasi ya kupumua. Jibu la China...
  12. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Raia 134 wa Burundi wamekamatwa Tanzania huku mvutano wa uhamiaji ukizidi kushika kasi katika ukanda wa Afrika Mashariki

    Tanzania imewakamata raia 134 wa Burundi kwa madai ya kuingia nchini kinyume cha sheria, huku hatua za kudhibiti uhamiaji zikizidi kuimarika Afrika Mashariki. Mamlaka nchini Tanzania katika Mkoa wa Mara zimesema raia hao wa Burundi walikamatwa wakati wa operesheni iliyolenga watu wanaoishi...
  13. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza wananchi wa Albania kwa kukimbilia ukristo kwa kasi ya ajabu. Nchi sio muslim majority tena.

    MMECHAGUA AMANI. MMECHAGUA UWAZI
  14. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Wapashiwa jamii ambayo inakuwa kwa kasi sana. Na Dunia ina wapromote sana hawa watu

    Wapashiwa ni kabila au jamii ambayo kwa sasa imekua sana. Miaka ya nyuma ilikuwa ni uchafu na laana kuwa Mpashiwa. Kwa sasa unakuta wanasiasa, wanamichezo, waigizaji, wanadini, wanamuziki, watu baki ni wapashiwa. Sifa za Wapashiwa. 1. Hawana msimamo. Yaani anaweza kuwa aliumbwa mwanaume ila...
  15. Red black

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatuhisi kama Dunia inazunguka kasi ya maelfu ya kilomita kwa saa?

    Kwanini hatuhisi kama Dunia inazunguka kasi ya maelfu ya kilomita kwa saa?
  16. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Je haiwezekani katika bwawa la rufiji wakapandikizwa sato?

    Ili watanzania baada ya miaka miwili wafaidi kitoweo hiki adhimu sana na kinono?... Bila kufanya biashara ya kuwalisha na kupata gharama za ziada, yaani waishi katika misingi ya asili, je linawezekana? #Wajuzi mtujuze! -SATO -SANGARA
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwigulu aagiza kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vya AFCON iongezeke, ataka Wakandarasi kukamilisha mikataba ya Wafanyakazi

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kuongezwa kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vitakavyotumika katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ili vikamilike kwa wakati na kukidhi viwango vinavyotakiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Amesema kazi hiyo...
  18. bless on

    JamiiForums Tanzania Japan Yajaribu 6G kwa Kasi ya 112Gbps!

    Japan Inajaribu Mtandao wa 6G wenye Kasi ya 112Gbps: Unaoweza Kushusha Faili la 10GB kwa Chini ya Sekunde Moja. Japan imefanya jaribio linaloweza kuwa hatua muhimu kuelekea kizazi kijacho cha teknolojia ya mawasiliano. Watafiti nchini humo wamefanikiwa kusafirisha data kwa kasi ya 12Gbps kupitia...
  19. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Uislamu umepungua kwa angalau pointi 5 nchini Tanzania na Oman, lakini unakua kwa kasi maeneo mengine ya dunia

    Utafiti mpya wa kituo cha Utafiti cha Pew umebaini kwamba Afrika ya jangwa la Sahara imelipiku bara Ulaya kama sehemu ilio na Wakristo wengi duniani. Kulingana na ripoti hiyo Pew inasema kwamba hali hiyo imesababishwa na kuzaliwa kwa wingi kwa wafuasi wa dini hiyo Afrika huku wafuasi wanaoishi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Taratibu udini unashika Kasi Tanzania ,Nyerere angekuwa hai asingekubali hili litokee

    Habari za jioni wadau, Dini inatumiwa kama kinga ya kuzuia watu wasiseme maovu ya viongozi na wanasisasa. Ukisema wenye dini yao wanakuja juu unamsema huyu mbona yule hukumsema. Nenda kwenye komenti uone yaani zimekaa TU kidini ili mradi Kila mtu anamsapoti WA dini yake. Watanzania hilo ni...
Back
Top Bottom