ujuzi

 1. mama D

  Wenye ujuzi au ushauri kuhusu kurekebisha paa lililoezekwa vibaya naomba msaada

  Habari ya Jumapili wapendwa Naomba ushauri kama kuna wajuzi wa kurekebisha paa la nyumba iliyopauliwa vibaya na kupelekea baadhi ya maeneo kuvuja. Nawakilisha🙏
 2. dosama

  Mradi wa Stieglers: Mwarabu anaharibu mradi hana utaalamu wala ujuzi wa kujenga bwawa, italeta hasara kubwa kwa taifa na ubora hafifu

  Naongea kama mwananchi na kushauri kuwa kumwendekeza huyu mwarabu wa Egypt's ni hasara kwa taifa na uharibifu wa mradi na uasili wake wa stiegler's gorge unapotea kwa sababu zifuatazo. 1. Hawa waarabu wa Misri kutoka Elsewedy electric na Arab contractors kutoka Misri hawana utaalamu wowote wa...
 3. R

  Mwenye ujuzi wa blockchain na solidity programming tafadhali

  Habari wakuu. Naomba kwa yeyote mwenye ujuzi wa programming in solidity, blockchain na smart contracts anisaidie kuweka function ninayohitaji kwenye smart contract ambayo nilitengenezewa na mtu na sasa simpati tena. Contract imekuwa deployed kwenye testnet ya Ethereum blockchain.
 4. Hakimu Mfawidhi

  Trump atunga Sheria inayotaka kuajiri watumishi wa Umma kwa kigezo cha ujuzi na ufahamu na sio elimu

  Trump ametunga sheria au maarufu kama Executive Order inayoagiza watumishi wa umma kuajiriwa kwa kigezo cha ujuzi na ufahamu na sio elimu. Hili jambo mimi binafsi natamani lingekuja Tanzania. Kwa sababu huko serikalini watu ni hovyo kabisa ila wana degree na vyeti vizuri sana ila hawajui...
 5. YEHODAYA

  Lengo mojawapo la bajeti ya mwaka huu ni kusomesha kwa wingi Wataalamu Fani na Ujuzi Adimu/Maalum, wazazi shaurini watoto vizuri shahada za kusomea

  Watu hawaelewi siri ya bajeti wengine hawataki kusikiliza kabisa matokeo yake hukosea kwenye maisha baadaye kuilalamikia serikali. Bajeti hii moja ya malengo yake iliyoweka ni Kusomesha kwa wingi Wataalamu kwenye Fani na Ujuzi Adimu/Maalum Wahindi na wawekezaji wa ndani na nje na...
 6. musserbuze

  Jinsi ya kutengeneza App ya news bila ujuzi wa Coding wala Programing

  Habari Wana JF, Siyo Kila anayehitaji Android App Kama ya News, Chating,Live Tv ana Haja ya yeye Kujua Programing au Coding. Inabidi Totofautishe Kati ya Kazi na Mahitaji, Programing au Coding ni Kazi Kama Kazi Zingine ila Kuwa na Shauku ya Kuwa na App Yako ni Mahitaji Kama Yalivyo Mahitaji...
 7. miamiatz

  Uchambuzi wa soko ni muhimu kuliko ujuzi wako wa kutengeneza bidhaa ama kutoa huduma

  Changamoto nambari moja inayotajwa kurudisha nyuma vijana wengi ni ukosefu wa mtaji. Ni kweli hii ni changamoto kubwa sana ila kuna kubwa zaidi ya hii. Twende pamoja katika makala hii na tuongeze mchango wetu kwenye comments. Mimi changamoto ambayo naona ni kubwa zaidi kuliko ile ya ukosefu wa...
 8. M

  Chanzo cha umasikini Afrika sio viongozi ila ukosefu wa ujuzi wa sayansi na teknolojia

  Jibu rahisi la waafrika wote ambalo wamepewa na mabeberu, la kwanini Afrika ni masikini, ni 'ubaya na kasoro za viongozi wetu'. Lakini jibu sahihi ni ukosefu wa ujuzi wa kisayansi na teknolojia, kuzalisha na kutengeneza bidhaa kwa kutumia malighafi na madini yetu. Kwa sababu sio rahisi kupata...
 9. MWONA MBALI

  Tupeane maarifa ya biashara ya butcher

  Wadau, natamani sana kupata maarifa ya biashara ya butcher. Naombeni sana wenye maarifa na ujuzi nayo, kuanzia kwenye upatikanaji wa vibali na maarifa ya biashara kiujumla. Je, ni mtaji wa kiasi gani mtu anaweza kuanza nao?
 10. beeper

  Mwenye ujuzi wa kutengeneza Tambi (Spageti) msaada wako unahitajika

  Habari wadau. Naomba mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza Tambi za Kula (Spageti) bila mashine maana Mwezi Mtukufu unakaribia. Kuna kipindi niliona pale Buguruni wanatengezeza.
 11. Joseph Mathew

  Nimemaliza kidato cha nne mwaka 2018 natafuta kazi yoyote ya halali

  Hello wana JF, Mimi ni kijana nimemaliza form four 2018, natafuta kazi nina ujuzi wa kutumia computer, pia nafanya kazi yoyote YA HALALI , pia nafanya kazi yoyote inayohsu mambo ya computer. Msaada wenu wana JF niko Dar Gongo la Mboto
 12. Baba Jadecah

  Msaada wadau. Naomba mwenye ujuzi wa kuinstall application kwenye PC

  Naomba mwenye huo ujuzi wa kuinstall aps mbalimbali kwenye pc, mfano dictionary,bible nk. Au kama kuna link ya kuinstall hizo Apps naomba msaada na maujuzi zaidi, kumbuka sihitaji kuinstall bluestalk maana kwenye pc yangu inazingua sana yaani bluestalk inakuwa slow sana kuload engine...
 13. beth

  Tabibu akamatwa kwa kumuomba mgonjwa rushwa na kufanya upasuaji asio na ujuzi nao

  Katika hali ya kushangaza Tabibu Msaidizi Eliud Humbo anashikiliwa na Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) baada ya kufanya upasuaji asio na ujuzi nao Humbo ambaye andaiwa kumfanyia Upasuaji wa ngili mgonjwa mmoja ambaye alipewa rufaa ya kwenda hospitali ya mkoa Mkuu wa Mamlaka...
 14. Rwazi1

  Hivi ni kweli hadi leo NIDA hawana ujuzi wowote wa mtu kuijua namba yake kimtandao?

  Nimefikiria kwa kina taaruki ya NIDA kutofanikisha waliojiandikisha kupata namba zao hadi sasa. Nimefikiria kwa kina vyuo vyote vya IT tulivyonavyo. Nimefikiria uwezo wa kiuchumi wa Tanzania. Nimefikiria uwezo wa kiuongozi na kiutawala tulionao. Nimefikiria taaruki ilivyo hadi sasa...
 15. Director Chuma

  Sasa nafundisha TV & video production katika chuo cha bagamoyo

  Kwa wanaotaka kujifunza zaidi ya online kupitia YouTube channel yangu ya Director chuma mnaweza kujiunga na chuo ninachofundisha bagamoyo kwa sasa karibuni sana
Top Bottom