kaka

Ricardo Izecson dos Santos Leite (Brazilian Portuguese: [hiˈkaɾdu iˈzɛksõ duˈsɐ̃tus ˈlejt͡ʃi]; born 22 April 1982), commonly known as Kaká (Portuguese: [kaˈka] (listen)) or Ricardo Kaká, is a Brazilian retired professional footballer who played as an attacking midfielder. Owing to his performances as a playmaker in his prime at A.C. Milan, a period marked by his creative passing, goal scoring and dribbles from midfield, Kaká is widely considered one of the best players of his generation. With success at club and international level, he is one of eight players to have won the FIFA World Cup, the UEFA Champions League and the Ballon d'Or.Kaká made his professional club debut at age 18 at São Paulo in Brazil in 2001, and his performances with the club led him to joining Serie A club AC Milan in 2003. In Italy, Kaká helped Milan finish runners up in the 2004-05 UEFA Champions League with him being the top assist provider of the tournament, and named the UEFA Club Midfielder of the Year. He led Milan to win the 2006-07 UEFA Champions League and was the tournament's top goal scorer. His performances saw him win the FIFA World Player of the Year, the 2007 Ballon d'Or, the UEFA Club Footballer of the Year and the IFFHS World's Best Playmaker awards. After six years with Milan, Kaká joined Real Madrid in 2009 for a transfer fee of €67 million, which was the second highest transfer fee at the time. However, after four injury troubled seasons in Spain, which saw his physical mobility rapidly decline, he returned to AC Milan for a single season in 2013, prior to joining MLS expansion club Orlando City. He initially returned to his former club São Paulo on loan, before relocating to the United States in 2015 and retiring in 2017.
Kaká made his debut for the Brazil national team in 2002, and was selected for their victorious FIFA World Cup squad that year, as well as the 2006 and 2010 tournaments. He was also a member of Brazil's 2005 and 2009 FIFA Confederations Cup-winning squads, winning the Golden Ball Award in 2009 as the tournament's best player.
In addition to his individual awards, between 2006 and 2009 he was named in both the FIFA World XI and the UEFA Team of the Year three times. In 2010, he was named in the A.C. Milan Hall of Fame. One of the world's most famous athletes during his playing career, Kaká was the first sportsperson to amass 10 million followers on Twitter. Off the field, Kaká is known for his humanitarian work, where he became the youngest ambassador of the UN World Food Programme in 2004. For his contributions on and off the pitch, Kaká was listed by Time as one of the world's 100 most influential people in 2008 and 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. mcTobby

    Tundu lissu Alitoa pole , lakini yeye hakupewa pole baada ya kufiwa na kaka yake.

    Yeah ,lissu akiwa mahakakamani kwenye mchakato wa kusikiliza kesi yake alitoa pole na akaomba zifike kunapostahili , lakini mbona upande wa pili kutoka kwa her majesty's Queen Elizabeth the second sijaona pole ...au zilitolewa pole kwa niaba?
  2. Sifi Leo

    Nimekaa pahala nimetulia najiuliza Samia ananufaika na nini kumfunga Lissu? Je kuto ruhusu amzike Kaka yake ananufaika na nini? Je ikulu yampa nini?

    Hakika inaumiza najiuliza wewe Ndunguru na Samia mnafaidi nini ndugu zangu? Kesho Kaka yake anazikwa. Nyie mtafaidi nini ? Inaumiza inaumiza inaumiza mnoooo! Dunia sio mbaya walimwengu ndoa wabaya
  3. Pascal Mayalla

    Voices from Within: Tundu Lissu Kuachiwa Huru Kesho? Kujiunga na Ndugu Zake Kumzika Kaka Yake Alute Siku ya J.4!

    Wanabodi, Leo asubuhi hii, nilikuwa najibu kwa hasira, post ya jamaa fulani humu jf, baada ya kuniita "kibaraka" ambayo imenitia hasira sana hadi ku invoke the the voices from within!, sasa hata kabla sijamaliza kuiandika kumjibu, na kuiposti, nikiwa katikati, nikaisikia ile sauti, ya kutoka...
  4. fact only

    Mama na Baba wa Tundu Lissu na kaka yake...

    Hellow wa JF. Wazazi wa Tundu Lisu na Kaka yake wanapitia wakati mgumu sana huu mwisho wa mwaka 2026. Mtoto mmoja jela na mwingine kaburini in the same month. Sio mchezo.
  5. Bishweko

    Mazishi ya Kaka wa Lissu

    Unafikiri sheria hipo hivyo mkuu.. .. Yeye marehem alikua kada mtiifu wa CCM pia
  6. Nyani Ngabu

    Huku ni kupotezeana muda tu. Mwachieni Lissu akamzike kaka yake

    Toka mwanzo hakukuwa na kesi. Pamoja na kwamba hawana akili, lakini wana akili za kutosha kutambua kuwa Lissu kawazidi akili. Hivyo, hawawezi kupambana naye kwenye uwanja wa fikra na hoja. Njia pekee ya kupambana naye ni kumzushia na kumbambikia kesi. Hebu acheni hayo. Imetosha sasa. Hakuna...
  7. BR Stationary

    Sikiliza kaka

    MAN TO MAN Umri wa miaka 25–35 na kuendelea unaweza kuwa kipindi kigumu sana katika maisha. Unaanza kuona wazazi wako wakizeeka, marafiki wakipungua, msongo wa mawazo kuhusu kazi na maisha, huku ukipambana na mashaka juu ya uwezo wako mwenyewe. Familia yako inatarajia uwe imara, uvumilie na...
  8. Tlaatlaah

    Wako wapi wale wafuasi wa kile chama cha saisa cha kushangilia vifo vya wanasiasa, watu mashuhuri na waja wa Allah, walio na maoni tofauti na yao?

    Mbona mko kimya sana leo na hamuonekani kushangilia? Au muda wa kushangilia bado? Au pengine bado mungu wenu hajawapandisha mihemko na kuwapa ujasiri na furaha ya kushangilia kifo cha mwanasheria nguli na mdau wa siasa mashuhuri kilichotokea leo nchini? In fact, ni kitu nonsense sana...
  9. Idugunde

    Mkuu wa Wilaya Abdallah Mwaipaya, mdogo wako Twaha Mwaipaya katekwa lakini umekaa kimya

    DC Abdallah Mwaipaya, mdogo wake Twaha Mwaipaya katekwa huko kenya yeye hajali. Hata kikao cha familia hajahudhuria. Yaani posho za ukuu wa Wilaya zimwmfanya hata asithamini damu ya mdogo wake. Huo ukuu wa Wilaya kesho hutakuwa nao lakini familia yako ipo. Usitelekeze familia sababu ya vyeo
  10. RSM Dominik

    ANGEKUA NDUGU KAKA, DADA AU BABA YAKO UNGEJISIKIAJE?

    Nimeona habari ya vifo vya mahabusu na polisi waliopata ajali wakielekea mahakamani huko singida, na komenti nyingi mitandaoni wanashangilia haswa kwa kifo cha askari sasa nawasihi watanganyika muache masihara kwenye mambo yenye usiriaz nadhani akili zitawakaa sana yakiwakuta personal ktk...
  11. prida

    Ikitokea dada yangu na kaka yangu wamesalitiwa na wenza wao nitamuonea huruma zaidi kaka yangu kuliko dada

    . Leo ngojea nijaribu kuandika kwa kifupi. Kaka zangu,kama una mke/familia ambae unampenda,unamjali na kumlinda kwa namna zote zinazomaanishwa na haya maneno na ikiwa kula yake,mavazi yake,malazi yake na huduma zote anazohitaji binadamu anazipata kutoka kwako halafu ikatokea mke huyu akachit...
  12. Crocodiletooth

    Tetesi:, Rais Dr samia wetu,na Dr.Nchimbi,wapo pamoja na wanawasiliana kwa jina la kaka na dada kila siku.

    Ndiyo habari iliyopo,wanawasiliana kama ndugu kila uchwao, kwa kuitana ""kaka na dada""kazi mnayo nyie vizabina zabina,mnaopenda biff. ""INAITWA CHENGA YA MWILI""
  13. Nyani Ngabu

    Hivi Nchimbi hana watoto, kaka, dada, mabinamu, na ndugu wengine wa karibu?

    Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake. Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake halafu watu tunakuwa...
  14. Tlaatlaah

    Bwana Yesu Asifiwe kaka Goege Boniface Taguluvala Simbachawene!

    Habari za muda mrefu wa ukimya brother. Heri ya mapumziko ya sikukuu ya Maulid kitaifa. Nimejiskia tu leo nikusabahi hadharani kaka. Nashukuru binafsi nasonga mbele vema. Nakutakia majukumu mema brother ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  15. Roving Journalist

    Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga: Tunamtafuta ndugu wa Mtoto ambaye Mama na Kaka yake walifariki katika ajali ya basi

    TAARIFA KWA UMMA Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga inawatafuta ndugu au jamaa wa mtoto huyu wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 5, ambaye hajafahamika jina lake. Mtoto huyo alinusurika katika ajali ya barabarani iliyotokea tarehe 20 Juni 2026 eneo la Wendele, iliyohusisha gari la...
  16. Gospel KTV

    Taabu na Pombe ni Kaka na Dada

    Ukifuatilia vizuri watu wenye taabu fulani maishani ndio hutumia sana pombe ili wasahau uchungu walio nao moyoni ili wajiliwaze. Uzuri ni kwamba biblia imetufunulia yote katika: Mithali 31: 6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. 7 Anywe...
  17. K

    Kwanini Mawifi hawawapendi Wake wa Kaka zao? Madini yaliyojificha kwenye wimbo '12,600 Lettres' wa Franco Luambo

    Hapa chini tuangalie uchambuzi wa wimbo ambao wengi wetu tunaujua kama 'Bandeko Ya Basi', lakini jina lake halisi la usajili ni "12,600 Lettres" (Barua 12,600). Huu ni moja kati ya kazi bora na mahiri zaidi za mwanamuziki mashuhuri wa Kongo, Franco Luambo Makiadi akishirikiana na bendi yake ya...
  18. prida

    Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

    NItasema kweli daima. Maisha ya u singo maza sio maisha. Uwe tajiri uwe masikini sio maisha. Najitahidi sana kuwa mke mwema ila naona haitoshi kwa mwanaume huyu aliyenitoa katika yale maisha machachu ya usingo maza.Natamani niwe mke bora sana kwake kama njia ya kumu apreciate kwa kunitoa katika...
  19. Pascal Mayalla

    Baada ya Machawa Majinga Fulani Kumkufuria Kaka, Akayapuuza kwa Kuyanyamazia Aka..., Sasa Yameanza Kumkufuria Dada!, Ayapuuze, Ayanyamazie au Akemee?.

    Wanabodi, Angalizo. Simple minds discuss people, great minds discuss ideas, hili sio bandiko la kudiscuss people, ndio maana hakuna jina la mtu yeyote limetajwa humu, hivyo nakuomba hata kama wewe ni simple mind, ukajisikia unawashwa washwa kutaja majina, nakuomba jifanye great mind kwa...
  20. Alexido jz instagram

    Mapenzi pesa kaka, akadai si kweli

    Nilikua napita napita insta kama kawa kwenye shughuli zangu, za kila siku, nikakutana na jamaa Mmoja, kashare stori yake. Jamaa anadai tangu 2017 hajawahi ishiwa kwenye acc yake ya bank chini ya milioni 50. Yani NYUMBA, gari, pesa si kitu kwake Alisha tafuta akapata, ila cha kushangaza mapenzi...
Back
Top Bottom