Mgombea Ubunge Jimbo la Ismani kupitia Chama Cha Wananchi CUF Nassim Yahaya Upete ameendelea na Kampeni za kuomba ridhaa kwa wananchi kwenye Uchaguzi Mdogo Jimbo la Ismani katika Kata ya Kising’a ambapo anewaahidi wananchi wa Kata hiyo kumaliza yale yote yaliyoachwa na Hayati William Lukuvi...
MTATIFIKOLO: NITAENDELEZA YOTE YALIYOACHWA NA HAYATI WILLIAM LUKUVI.
Mgombea Ubunge Jimbo la Isimani Ndg. Emmanuela Mtatifikolo ameendelea na kampeni kuelekea Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Isimani katika Kata ya Malengamakali na kuzungumza na wananchi wa Vijiji vya Iguruba, Makadupa, Mgodini...
Kamati Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) iliyokutana leo Jumanne, Mei 5, 2026 Kinondoni jijini Dar es Salaam imemteua Daudi Masasi kuwa mgombea ubunge wa Isimani mkoani Iringa.
Uchaguzi mdogo wa Isimani utafanyika Juni 1, 2026 kujaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa mbunge wake kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Filimbi imepulizwa Rasmi kuanza Mchakato wa Kujaza nafasi ya Ubunge katika jimbo la Ismani Iliyoachwa Wazi na Marehemu William Lukuvi Aliyefariki Dunia Wiki Chache Zilizopita.
Ambapo Mchakato Huo ndani ya CCM Umetangazwa Rasmi na katibu wa CCM wilaya ya Iringa Vijijini...
Palamagamba Kabudi ni kiraka kikubwa cha Idi Amina Mama. Tangu alipojikomba kwa Magu, amekuwa akiendeleza mchezo huo ambao uliasisiwa na Lukuvi alipomruka Lowassa na kujiunga na Magufuli. Je, amejiandaa kufuata kwa lolote kama Lukuvi? Namtakia kila heri kwa lolote na kumshukuru sana mpendwa...
GHATI CHOMETE ASHIRIKI IBADA YA MAZISHI YA MHE. LUKUVI, IRINGA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete (Mb), tarehe 31 Machi 2026 alishiriki ibada ya mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la...
Ndugu zangu Watanzania,
Mamillioni kwa mamillioni ya watanzania wameonyesha kuguswa na kukoshwa sana na Hatua ya Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, shujaa wa Afrika na jasiri muongoza njia kwa hatua yake ya Kutoteua Waziri atakaye ziba nafasi ya...
Kati ya Bwege na Lukuvi nani alikuwa fisadi?
Jibu tunalo wengi ni Bwege pamoja na shida zake alikuwa Mzalendo na tutamkumbuka kwa hilo. Hajauza nafsi yake kwa pesa.
Huyu Bwege alikuwa Mzalendo kweli
Ndugu zangu Watanzania,
Naungana Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia na nuru ya Wanyonge kwa hatua yake ya kumpongeza na kummiminia Sifa Baba Paroko kwa...
Inakuwaje mtu aliezaliwa 1955 ajiunge na TANU 1954.
Kwamba alianza siasa akiwa tumboni mwa mama yake?
Ukute Wasira hata hajui anamuongelea nani hapo.
CCM wampumzishe huyu mzee kabla hajajidhalilisha zaidi. Inatosha sasa.
GHATI CHOMETE AUNGANA NA WAOMBOLEZAJI KATIKA IBADA YA KUAGA MWILI WA MHE. LUKUVI, BUNGENI DODOMA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, tarehe 27 Machi 2026 ameungana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), Spika wa Bunge...
Ndugu yangu Mtanzania,
Habari Ni kama inavyosomeka
===========
Wafanyakazi wa Gerwill Hotel, iliyopo nyumbani kwa marehemu William Lukuvi, eneo la Area D, Dodoma, wameangua vilio baada ya kupata fursa ya kuuaga mwili wa marehemu ulipofikishwa nyumbani jioni ya leo.
Soma Pia: Waziri William...
DKT. MWIGULU: TUENDELEE KUMUOMBEA MHE. LUKUVI
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaomba Watanzania waendelee kumuombea kwa Mwenyezi Mungu aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, marehemu William Lukuvi aliyefariki jana Machi 25, 2026 katika...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Ghati Zephania Chomete, leo Machi 26, 2026, amesaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), marehemu William Lukuvi.
Soma Pia: Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa...
Rais Samia, amesikitika kutangaza kifo cha William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) pamoja na Mbunge wa Jimbo la Isimani.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi, Lukuvi amefariki dunia leo tarehe 25 Machi, 2026, majira ya saa...
Hata saa mbovu kuna muda inasema kweli mara mbili kwa siku.
Kila mtu ana jinsi anamkumbuka Mtu. Mimi Wosia wa Lukuvi ambao nimeuweka moyoni ni tahadhari aliyotoa kuhusu Watu kutoka Zanzibar.
Yaliyotokea 29 Oktoba 2025, yalifanya niamini kauli ya William Lukuvi.
Aliwahi kusema kwamba hatuwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.