Wadogo zetu, watofo wetu mlipo vyuo vikuu na mnaoenda chuo kikuu msione watu wanandamana mkaona hawana maana hii nchi tajiri tena tajiri jiulizeni
Kwanini zamani chuo kikuu mwanafunzi alipewa mkopo bila asilimia yani ukila boom ni ada, chakula, field, stationary unapewa watasema wanafunzi...
Ni kweli inasikitisha na kuhuzunisha kuwa kiongozi usiyekubalika hata na watoto wadogo, ila huo ndio ukweli.
Na kwa hii lockdown iliyotokea na kusababisha masomo kuahirishwa, watoto hawakuelewi kabisa mamaangu. Pole sana.
Muombe Mungu akuoneshe wapi ulikosea. Usione vibaya kurekebisha nafasi...
Ile kofia inavaliwa na maafisa waandamizi kuanzia cheo cha kanali. Tafuta picha za maafisa wa jeshi kisha angalia muundo wa ile nembo ya mbele, zinatofautiana kulingana na makundi ya vyeo. hakuna kapteni anayevaa kofia ya aina ile.
Either ile video ni fake, au Tesha ni tapeli aliyepata uniform...
Zamani nilikuwa nasikia kuwa Dar ni jambo la kawaida
Lakini sasa hadi mikoa ya kanda ya ziwa ambayo ilisadikika kuwa vijana wanamaadili
Kuna nini? Kwa nini wanapenda wanawake wazee?
kuwaamsha watoto saa tisa au saa kumi waende shule
Kuwapeleka boarding wakiwa wadogo
Hakuna mapumziko likizo ni tuition mtindo moja
Halafu bado wana uwezo wa kawaida kabisa ama kupitwa na watoto wengine wanaoamka saa moja, wapo day, likizo ni kwajili ya mapumziko hakuna tuisheni.
Na hapo...
Huyu mwanamke anahisi napenda hii tabia anayoifanya. Wanaume tumelelewa kuwa na roho flani hivi. Ukimuona kijana katika umri ambayo anaogopa kupanga Mipango nankupapambana na maisha roho inanidunda Kwa Sabab anakiwa mzigo.
Kuna wakati naona hata ndoa itaharibiwa na Hawa ndugu maana nahisi na...
Serikali imewataka wachimbaji wadogo kuchangamkia fursa ya kuomba leseni katika maeneo wanayofanyia shughuli zao ili kuepusha migogoro inayojitokeza mara kwa mara.
Wito huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabir Makame baada ya kukutana na wachimbaji hao kutoka eneo la Kampilipili.
Habari Wakuu
Katika Makuzi yetu. Utotoni Mtaani.
Shule ya Msingi. Secondary na hata Chuo kuna wanetu tuliwapoteza ingali bado hatujaanza Maisha hali kwa maana ya Kujitegemea, tulikuwa bado sie ni Wategemezi!
Tuliwapoteza wenzetu ingali bado tuna Ndoto nao!
Tuliwapoteza wenzetu ingali tukidhani...
Kuna mambo nikiyakumbuka naona yalikua ya ajabu sana sema ni vile kukaa kwenye nyumba yenye wadada wengi, yani tulikua tunashindana ni nani anakatika sana, tunafunga kanga kiunoni wanaimba tunacheza aah🙌🙌🙌
Lile suala lingeniletea athari sana, hasa ukizimgatia na muonekano wangu.
Jana nilienda ofisi ya kata kukutana na afisa maendeleo. Lengo langu ni kuingizwa kwenye mfumo wa wajasiriamali wadogo wadogo ili niweze kupata kitambulisho ambacho baada ya kusajiliwa unalipia 20,000 kila baada ya miaka mitatu.
Cha kushangaza ni kwamba inatakiwa niende kusajiliwa...
Ndugu zangu wafanyabiashara wadogo na wa kati.
Katika pitapita zangu za mara kwa mara nchini China nchi ambayo ni epicenter ya ubunifu wa kiuchumi na biashara nimefanya research nyingi sana, nikiwa na nia ya kujifunza, kuchambua na kutathmini mbinu zao za mafanikio.
Nacho nimejifunza ni hiki...
Mwachiluwi ebu njoo uwachanganye wadogo zako
Kuna mtu atasema ni majani ya chai
Kuna mtu atasema hii thermos
Kuna mtu atasema hili ni bomu la hamas
Kuna mtu atasema hii ni nyuzi za kushonea gunia
Kama haukuonea rambo kwenye hii kitu usiongee na mimi🤣🤣
Kuna vijana watasema pesa ya...
NB: Talaka zimekuwa nyingi kwakuwa ndoa nyingi hazina maandalizi ya kutosha
Hii mada ilikuwa ije weekend lakini naona nakumbushwa Sana hivyo sina budi kuileta usiku huu. Maana mchuzi wa umbwa hunywewa wa moto Nitajitahidi kufupisha ili isichoshe kusoma
Ndoa za leo zinatakiwa kwenda nazo kwa...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameishauri serikali kupitia Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) kuwa karibu na wa wawekezaji wote wakiwemo wakubwa, wa kati na wa chini ili kuongeza kazi ya kukuza uchumi.
Wasira...
Ndoa ni stara kwa mwanamke! Hivyo mwanamke anahitaji ndoa kuliko mwanaume
Wanawake wamekuwa wengi ama ni wengi kuliko wanaume... Hivyo ndoa imekuwa kitu adimu hasa ukizingatia kuwa.. Pamoja na uchache huo wa wanaume bado karibia nusu yao si waoaji
Sasa kutokana na hamaniko hilo la kuhitaji...
Sio ushuani, sio uswahilini, kila kijana anacheza namba yake. Inasikitisha sana!
Unakuta binti mdogo wa miaka kama 20 hivi analea jibaba la miaka 45 mpaka unabaki unajiuliza hili jibaba lenye miraba minne nyumbufu linampa nini huyu binti?
Same applied to Boys wa miaka kama 20, unakuta ana...
Magharibi mwa Kenya, mkulima wa mahindi Josephat Ouma alipitia kwenye safu za mabua ya kijani akiwa na simu yake janja mkononi. Alisita na kuinama kabla ya kupiga picha ya jani lililokuwa linaonekana kupatwa ugonjwa.
"Zamani nilikuwa nikisubiri mtu aje kusaidia. Tena baadhi ya wakati alikuwa...
Habari
Tunajihusisha na utoaji wa mkopo Kwa wafanyabiashara kuanzia million Moja Hadi SHILING MILLION 40
Muda wa kurejesha MIKOPO ni miezi mitatu Hadi miaka Tano lakini Kwa mkopo unaoishia Milioni Tano muda wa kurejesha mkopo ni miezi 12 means maximum
F
Riba ni asilimia 3.5 Kwa kila mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.