DC SHAKA AONGOZA ZOEZI LA USAFI STENDI KUU YA MABASI KILOSA
~ Wananchi Wajitokeza kwa Wingi, Wampongeza kwa Uongozi wa Vitendo
Macho ya abiria na wafanyabiashara katika Stendi Kuu ya Mabasi Kilosa leo asubuhi yaligeuka ghafla kuona jambo ambalo hawakulitarajia. Sio basi jipya lililowasili...
Ukifuatilia vizuri culture ya vijana Arusha, kuna makundi fulani yamekuwa na influence kubwa sana.
Wale wadudu mnaowaona wengi, wengi wao ni wa huko Babati.
Muziki wa Arusha umetawaliwa kwa kiasi kikubwa na Warangi, wanyaturu, wanyiramba, wambulu.
Makundi yameanza kuwa kama utamaduni na...
Wasalaam
Kuna jambo limenifanya nitafakari sana baada ya kuwaona baadhi ya viongozi wakifika kumpa pole Rais Samia kufuatia msiba wa mume wake.
Kutoa pole ni jambo la kibinadamu. Hapo hakuna ubishi. Rais naye ni binadamu, ana majonzi, na ni jambo jema viongozi wenzake kwenda kumfariji.
Lakini...
Bi. Khadijah binti Nyambasi kutoka mkoa wa Pwani, akielezea namna mchezo wa bao unavyotumika kufanya maridhiano toka enzi za mababu. Katika mazungumzo yake aliyoyafanya kwenye Tamasha la nne la Kitaifa la Utamaduni amesema kuwa Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN alionekana kucheza mchezo bao...
Katika kuangalia hali ya kisiasa inavyo kwenda sasa, kuna kitu kimoja ambacho wabongo wengi kama hatukioni ila ndo msingi mama wa haya yote na ndo maana hii nchi tumeshikwa kama mburula.
Ni kuwa, watanzania(wamatumbi) culture na tabia zetu ambazo ziko ndani yetu zinatufunga. We've no common...
Kuna clip nimeona Sheikh Walid anatoa daawa mi
sikitini halafu wanainuka watu wanampa pesa kwa kumuwekea kwenye mifuko ya koti, kumshikisha mkononi na nyingine hadi kwenye bargashia!
Huu utamaduni wa kutunza/kutunuku pesa bongo huwa una maana gani hasa ? Huwa naona nchi nyingine utunzaji...
*
Kizimkazi Festival 2026 imeendelea kuthibitisha kwamba tamasha linaweza kuwa zaidi ya burudani. Ni jukwaa la kuunganisha utamaduni, utalii, uwekezaji, biashara na maendeleo ya wananchi. Likibeba kaulimbiu “Kizimkazi Kumenoga!”, tamasha la mwaka huu limekuja katika wakati muhimu wa kuonyesha...
Unadhani kwanini baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vimeaamua kuacha kupambana kutafuta kuungwa mkono na wananchi kwa kutumia itikadi za vyama vyao, sera na agenda za kuvutia wananchi wapiga kura, na badala yake vimeanzisha utamaduni wa kutumia matusi kujitambulisha kwa umma...
Kama kuna tukio moja kubwa linalowakutanisha watanzania wengi kwa mara moja, basi tukio hilo ni Derby ya Kariakoo.
Hizi klabu mbili zinawaunganisha watanzania nje ya mipaka ya itikadi, dini, kabila, jinsia, rika n.k. My fair assessment is, hizi timu zinamchango mkubwa mno kujenga umoja wa...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu gazeti la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/uchambuzi-wa-mayala-tuzo-za-walipa-kodi-bora-nchini-zijenge-utamaduni-wa-uaminifu-5520694
Paskali
Japan kwa mara nyingine wameacha chumba chao cha kubadilishia nguo kikiwa katika hali ya usafi wa hali ya juu baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Uholanzi, Moja ya mila na desturi bora zaidi katika ulimwengu wa soka.
Baada ya mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia dhidi ya Uholanzi, kwa...
Kwa nyakati tofauti, Jeshi la Polisi limekuwa likijikuta kwenye mtihani wa kuaminika mbele ya umma kutokana na matukio yenye utata ambayo huacha maswali mengi bila majibu ya wazi. Mara nyingi, taarifa za awali hutolewa, lakini baada ya hapo umma hukosa mrejesho kuhusu hatua za uchunguzi au...
Kama kunaeneo methali ya "samaki mkunje angali mbichi" inaishi, basi eneo hilo ni eneo la siasa.
Juzi tumemsikia Alli Happy, katibu wa jumuia ya wazazi CCM, kufuatia kurudi kwa Msigwa CHADEMA, akisema kwa jinsi alivyomfahamu Msigwa alijua hawezi kukaa CCM.
Jambo hili ni dhahiri sio kwa Msigwa...
Kwa heshima kabisa, kuna tabia ambayo imekuwa ya kawaida sana siku hizi hasa kwenye mitandao ya kijamii. Wadada wengi wanapojirekodi video mara nyingi hugeuka makusudi kuonyesha maumbo yao hasa makalio, hadi imekuwa kama ni sehemu ya kawaida ya content nyingi za Afrika na hasa Tanzania.
Swali...
Kichekesho cha Mama Samia kusema eti demokrasia yetu sio kama yao inabidi ifuate utamaduni!
Swali ni kwamba utamaduni upi? Utekaji, rushwa, demokrasia, wizi wa kura, undugu kazini ndiyo utamaduni wetu?
Wakina Rutto wanakucheka wenzako tayari wana katiba nzuri na wanashindana kwa hoja!
Yaani eti Samia ndiye anataka kumshauri Rutto aanze kuwateka Gen Z bila kujua wenyewe ndiyo kizazi kijacho. Wenzetu wana katiba nzuri, bunge na mahakama ambazo sio za machawa.
utamaduni gani wa utekaji, wizi wa kura, rushwa na undugu
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira (TRAMEPRO) limetoa limesisitiza kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kulinda urithi wa mila, utamaduni, tiba asili na mazingira kama nguzo muhimu ya maendeleo endelevu ya Taifa.
TRAMEPRO inasisitiza kuwa maeneo ya mila, maarifa ya tiba...
Kikwete ndiyo alianza mambo ya mitandao , akaja dikteta fake mwendazake Magufuli na huyu Mama wa machawa Samia.
Hawa wamechangia sana kwenye kudidimiza tamaduni na ndiyo waliouwa demokrasia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.