wadogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kuja na watoto wadogo kulikuwa kunamaanisha nini?

    Zamani za ujana wetu wakati unafukuzia binti, mkipanga sehemu ya kuonana lazima aje na mtoto au rafiki yake! Ndo kusema mlikuwa nnaogopa nini kuja peke yenu!!
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanaume na vijana wadogo acheni ulalamishi kuombwa pesa na wanawake

    Kwenye mitandao mingi ya kijamii kupitia majadiliano na memes mbalimbali au hata comedy kumekuwepo na tabia ya ulalamishi unaozidi kushika kasia kwa vijana wa kiume kulalamika kuombwa pesa na wanawake au wale walio na wanawake walio na kazi kutoona mchango wa kipato cha wanawake wao kwao au...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wadogo sasa wanapata magonjwa yasiyoambukiza?

    Habarini wanajamiiforums, Hivi sasa kumekuwa na ongezeko la magonjwa yasiyokuwa ya kueneza (non-communicable diseases) kama vile kisukari, shinikizo la damu na kufeli kwa figo miongoni mwa vijana wadogo wenye umri wa kati ya miaka 20-35. Je, unahisi wapi tunakwama na tufanyeje kujikwamua...
  4. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume kwanini mnataka kuwa na girlfriends lakini mnawazuia Dada/ wadogo zenu kuwa na boyfrinds?

    Habari za jioni wana jukwaa... Ni kawaida kwa vijana wa kiume kusaka na kutafuta wapenzi huku na kule, lakini hali huwa tofauti pale ambapo dada zao wanapo kuwa na wapenzi. Wanaume hukasirika na hata kuanzisha vita dhidi ya wanao wataka dada au wadogo zao, ilihali wao wapo tayari kutafuta dada...
  5. The Dictator

    JamiiForums Tanzania WIMBI: Ujauzito kwa mabinti wadogo chini ya miaka 18; nani haswa wa kulaumiwa?

    Nimeona rais Samia akiwa huko ziarani akieleza ni namna gani ameshangazwa na kukuta wamama wazazi (watoto) wodini. "Nilipokwenda kwenye wodi ya kinamama, na hasa watoto ambao hawajatimia,nimekuta mmoja tu ndio mpevu...lakini wengine wote ni kutoka miaka 15-19, niombe sana, wapeni nafasi watoto...
  6. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kwenu wadogo zangu wa kiume ambao hamjafika third floor(miaka 30)

    Kwenu wadogo zangu ambao bado mpo 20's kumbukeni ya kwamba huyo demu ulienae ana uwezekano mkubwa sana wa kutoboa kimaisha hata leo hii tofauti na wewe. Usidanganyike kwamba yupo na wewe kwa sababu anakupenda ukweli ni kwamba yupo na wewe kwa sababu hajapata mwanaume wa fantansies zake. Nataka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Usifanye watoto wako wachukie wajomba na baba zao wadogo kwa matatizo yako 😊

    USIFANYE WATOTO WAKO WACHUKIE WAJOMBA NA BABA ZAO WADOGO KWA MATATIZO YAKO 😊 1.Ukishindwa kuwasomesha wakulaumiwa ni wewe sio wajomba. 2 Wakikuta milo yako ni ya kubahatisha wa kulaumiwa ni wewe kwa 100% 3 Wakikuta una chumba kimoja mnabanana humo wa kulaumiwa ni wewe na sio mjomba...
  8. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Wadogo zangu ngoja niwape stori fulani hivi kwenye muziki wa HipHop nchini Marekani

    Miaka ya 2000 kulikuwa na wanamuziki wanne wenye majina makubwa ambao hao waliamua kuwaita kwa jina la Big Four yani Jay Z, Nelly, DMX na Eminem. Huyu jamaa unayemuona kwenye picha aliibuka tu na kuanza kupiga kelele mitaani na Mixtape yake fulani hivi. Hakuna yeyote kwenye hii Big Four...
  9. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Halmashauri kuanzisha bloks farms na kuzikopesha kwa wakulima wadogo ili kufanya mapinduzi ya kilimo

    Namshukuru Mungu nami kupata nafasi ya kuchangia mawazo yangu katika kuitafuta Tanzania tuitakayo. Maoni yangu yatajikita katika mapinduzi makubwa ya kilimo Kwa maana ya ukulima wa mazao ya mashambani, ufugaji na uvuvi Kwa kuanzisha mfumo wa mashamba vitalu (blok farms) katika Kila halmashauri...
  10. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Arusha: Vibaka wameanza kuwavamia hadi wanafunzi wadogo na kuwapora vitu vyao. Mdogo wangu ni miongoni mwa walioporwa

    Wanafunzi wengi akiwemo mdogo wangu wa mwisho aliye form 1, Iliboru wamevamiwa na kuporwa vitu vyao wakati wakielekea stend kupanda magari baada ya kufunga shule. Wengine wamevamiwa walipokuwa nje ya shule kwa manunuzi kidogo , wamenyang'anywa kila walichokuwa nacho kuanzia kadi ya benki hadi...
  11. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Malezi bora yanayosaidia kuwalinda watoto wadogo wasibakwe wala kulaitiwa au kufanyiwa vitendo vibaya

    Ninaguswa sana ninaposikia stori za watoto kubakwa au kulaitiwa na ndugu au mwalimu au jirani. Tafiti zinaonyesha watoto wengi wanaofanyiwa vitu vibaya ni wale ambao hawana sauti yaani walinyanganywa haki zao za kuongea kwa sababu inawezekana mzazi alikuwa mkali sana au anamchapa au halikuwa...
  12. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Tanzania Ushauri mzuri kwa wadogo zangu.

    MDOGO WANGU! Dada yako Eva Mrema, nimewiwa kukuambukiza maarifa. Haya ni mambo matano ambayo nakuomba sana uyawekee mazingatio katika umri wa ujana kuelekea utu uzima wako. 1. ZINGATIA KUJIKUZA. Katika umri wa ujana mbichi binti wa kisasa unawaza usome, uhitimu; upate kazi, upate mwanaume...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kweli Iran bado Mtoto mdogo sana kwenye game

    Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤 Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi wanatumia helicopter za mwaka 78 tena zilizotengenezwa US?🧐🙄 Je, hawa jamaa wataweza kweli kupambana na...
  14. Stability

    JamiiForums Tanzania Jamani nisaidie mbwa wadogo wanakufa sana hapa kwangu

    Nina mbwa mkubwa. Sasa kila mara nikiongeza wadogo ili niongeze idadi hawakai hata mwezi wanakufa. Wanapitia dalili za kunyongonyea, kupoteza hamu ya kula, wala hawarishi na then hata kam tabibu akija kuwapa dawa huwa wanakufa moja kwa moja. Chakula wanakula makombwe ya nyumbani kwangu na...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali yaainisha Mpango wa Kusaidia Wachimbaji Wadogo Nchini

    Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde ameainisha mpango wa serikali wa kusaidia utatuzi wa changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo nchini. Mh Mavunde ameyasema hayo leo wakati akijibi swali la Mh Dkt. Christine Gabriel Ishengoma Mbunge wa Viti Maalum aliyetaka kujua mpango wa serikali...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shemsa Mohammed: CCM Kuendelea Kutetea Wachimbaji Wadogo wa Madini

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimesema kitaendelea kuwatetea na kuwasimamia wachimbaji wadogo ambao wanaonzisha migodi midogomidogo ili waweze kunufaika kutokana na kuanzisha maeneo hayo. Hayo yamesemwa kwa nyakati tofauti na Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo Shemsa Mohammed kwenye...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Wizara ya Madini Imegusa Kila Sekta Hasa Wachimbaji Wadogo wa Madini Nchini

    MHE. MASACHE KASAKA: Bajeti ya Wizara ya Madini Imegusa Kila Sekta Hasa Wachimbaji Wadogo wa Madini Nchini "Serikali imewasilisha bajeti nzuri ya Wizara ya Madini maana imegusa kila sekta hasa kwa wachimbaji wadogo. Mimi natokea Wilaya ya Chunya palipo na Wachimbaji wadogo nimeona Serikali...
  18. USSR

    JamiiForums Tanzania Serikali haioni mateso ya watoto wadogo kupindi hiki cha mvua kubwa na ikasimamisha kwa muda

    Baada ya maji kuwasomba watoto na kuwauwa kule Arusha nilijua serikali ingeona nini kitatokea, na sasa wanasema itachukua wiki mbili kunyesha kwa kiwango kikubwa namna hii na watoto wa kitanzania wanasota huku wale wa nchi za jirani wamesitisha ukatili huu kwa muda Ukiwa njiani unawaona watoto...
  19. Doto12

    JamiiForums Tanzania Ten Hag hana akili sawasawa kitendo cha kuwatoa wadogo Ganacho na Mainoo kimempalia makaa. Unadhani atachomoka

    Huyu kocha hata mm nilimshangaa ana utoto kwanini alishinda 3 0 akawatoa watoto hao wawili. Akabanangwa 3 3 shukran kwa var iliyokataa hlgoli la 4 la adui. Jamaa anaaminika kumpa nafasi Antony ili ajisafishe kwa gharama kubwa aliyomnunua.... timu ingebaki 3 0 au ushindi wowote sifa kwa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Mtazamo kwa wafanyabiashara wadogo

    Kwanini wanaojihusisha na biashara ndogondogo (wafanyabiashara wadogo) hasa wajasiriamali wanaonekana kuuza vitu vyenye ubora mdogo hata kama vinafanana na wenye biashara kubwa tena kwa bei nafuu zaidi?
Back
Top Bottom