rafiki zangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki zangu wengi niliosoma nao primary na O level wapo vizuri kimaisha. Mimi sijatoboa kwa kweli pamoja na kupambana

    Wadau leo niko very stressed. Nimeamua nianze kula konyagi mapema tu maana kazi siipendi tena. Naenda kazini nikiwa sina raha. Mkuu wa shule anafuatilia maisha yangu. Kijibiashara cha kuuza kangala hakilipi zaidi ya kupata hela ya kula. Rafiki zangu wengi wana maisha mazuri na wametoboa...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wale rafiki zangu ambao wapo confused hawajui uhalisia wa dunia, ukweli ni kuwa ulimwengu ni uwanja wa fujo

    Growing up, nilitambua dunia inamtaka mtu alie honest, mnyenyekevu na mchapakazi HAPANA SIKUWA SAHIHI, dunia inataka mtu alie mchapapakazi, ruthless na aggressive. Kwa wale wa asante mkapa Ruthless= hali ya kutokuwa na huruma na aibu za bure bure Aggressive= yani pitia au tafuta fursa kama...
  3. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Nimekula pilau kwa rafiki zangu wakristo

    Ndio, nimealikwa kwa rafiki zangu wakristo, nami ni mwislamu. Pilau nimekula, nyama za kuchoma, pilipili, kachumbari, samaki, juisi na pombe juu nimekunywa Tunafurahi na hata uzi huu nauandika nipo hapa kwa wakristo ndugu zangu. Siwezi kuacha, eti kwa kuwa kuna shehe karopoka eti tusile...
  4. Tundazuri

    JamiiForums Tanzania Nawapenda walevi mafisi yaan walaji vitu vitamu

    Nawasalimu rafiki, nawapenda walevi jaman wanaojua kula vitu vitamu kwa usafi wake. Ni hilo tu, tufanyeni kazi tukutane jioni japo tupige story mbili tatu maeneo ya Shoppers tunywe kahawa nitalipa bill mimi kwa mtu mmoja, ni karibu na maeneo ya Morena wenyeji mtaelewa
  5. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Rafiki zangu wengi wenye umri wa miaka 35 mpaka 37 ndoa zao zimevunjika nyingine zipo ICU

    Kama mada inavyojieleza Hii hali imenishangaza sana. Nina marafiki wengi wa kike na kiume wenye umri unaocheza miaka 35 mpaka 37 wengi wao ndoa zao zimevunjika na nyingine zipo ICU Wengi wa marafiki hawa walioa baada ya kumaliza vyuo tena kwa mbwembwe nyingi leo hii ndo zimesambaratika na wengi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rafiki zangu Wadigo, pelekeni watoto shule, formal schooling, zipeni msisitizo kama mnavyo zipa msisitizo "chuo" madrasa

    Nimekuta na si mara moja, mwanamume anamchapa mtoto wake kuwa hataki kwenda "chuo"! /Madarasa. Nikamsihi asimchape mtoto (about4-6 yrs) hivyo. Akasema chuo ni lazima, kwingine wala sitamchapa, akitaka aende shule za kawaida , asipotaka basi, lakini "chuo" atakwenda! Nikaacha fimbo zinatembea! Ni...
  7. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kwanini hawa rafiki zangu wanaumia sana mioyo yao

    Wakuu nipo Daressalam yapata mwezi sasa, nilitoka mkoani kuja huku kufukuzia fursa mbalimbali na kuongeza exposure. Ukizingatia mimi sio mtu wa kuishi sehemu moja kwa muda mrefu, kule mkoani kuna ishu zangu ambazo huwa nafanya na zinaniingizia pesa ya kuendesha maisha yangu. Toka nimekuja...
  8. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka mingi, wanawake wapenzi wa rafiki zangu wananitaka kimapenzi

    Nasikitika kulisema hili. Ila wanawake wa rafiki zangu ambao walikuwa na mahusiano ya kimapenzi, sasa wanataka kimapenzi. Wengi wamekuwa ni wapweke licha ya kwamba wanajimudu kiuchumi, wananiomba tu niwe amtunza utamu wao, hawatanighasi kwa lolote, wanachotaka ni dushe na togetherness. Jamani...
  9. Ben-adam

    JamiiForums Tanzania Rafiki zangu wanapooa ukaribu wetu hupotea ghafla, nini kinawapata huko?

    Kuna rafiki zangu tulikuwa tunashibana sana, tulikuwa tunasaidiana kwa hali na mali, lakini baada ya wao kuoa tu, mambo yakawa tofauti! Rafiki zangu vipii!😅 Simu tu siku hizi hautupigiani
  10. Memtata

    JamiiForums Tanzania Huu si unyanyapaa, nimesaidia rafiki zangu

    Habari wadau, Mimi binafsi nilishawahi kupata kashfa ya UKIMWI, nakumbuka ilikuwa wakati mgumu sana kwangu na niliishi kwa mateso, unyonge na hofu kubwa lakini leo hii kuna mmoja nimesema hadharani habari zake za maambukizi. Huyu dada niliwahi kuwa na mahusiano naye sasa kwakuwa mzunguko ni huu...
  11. Glenn

    JamiiForums Tanzania Mikasa ya kusikitisha ya rafiki zangu iliyowahi kunisikitisha sana

    Wakuu sana pokeeni salamu zangu. Naomba leo nisimulie visa viwili vya kusikitisha ambavyo niliwahi kushirikishwa na rafiki zangu kwa nyakati tofauti. KISA CHA KWANZA: Huyu ni rafiki yangu kipenzi sana, na naomba nimpe jina Tonia (jina sio halisi) Tonia nilikutana naye katika mazingira yangu...
  12. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Wadogo na rafiki zangu njooni hapa tuambiane ukweli

    Unajua miaka ya nyuma mambo kwa asilimia kubwa hayakuwa hivi yalivyo. Mimi nakumbuka kipindi hicho cha nyuma hata kupata watoto wazuri ilikuwa tunatumia mbinu za kiume hasa. Kama ni mikoani huko ilikuwa wakati mwingine inabidi ukimbize binti kwenye vichaka na uwe na utaalam wa kumpigwa "Ngwala"...
  13. maji ya gundu

    JamiiForums Tanzania Nawaonea huruma rafiki zangu, usiombe kuzaa na mwanamke asie na akili

    Habari za jumapili wana jukwaa, bila shaka najua mnaendea vizuri na matatizo yenu. Kuna hili jambo haliongelewi sana ila linatesa sana vijana. Iko hivi nna rafiki zangu Kama wanne wamezaa tu na wanawake hawajafanikiwa kuishi pamoja, asee hili jambo usiombe likukute ishia tu kuliona kwa wenzio...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Rafiki zangu wanatafuta kadi za chama cha Mapinduzi kwa Gharama yoyote

    Habari za Leo wakuu, Baada ya kuwashawishi kwa muda mrefu hatimae jamaa zangu wamekubali kujiunga na CCM. Hivyo wanatafuta kadi za chama cha Mapinduzi kwa Gharama yeyote.
  15. Umuzukuru

    JamiiForums Tanzania Mke wangu akiwa nami 'full kununa' ila tukiwa na rafiki zangu anatabasamu na kucheka sana

    Yaani iko hivi Ukiwa na mke wako mkiwa wawili hacheki kabisa yaani full kununiana full ukauzu. Ila sasa wakiwepo washkaji na marafiki zako wa wa kazini au hata mtaani unakuta tabasamu halikauki usoni mwake. Yaani ni kucheka mwanzo mwisho. Bashasha za hapa na pale hatari yaani hadi unaona aahh...
Back
Top Bottom