Mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in the African Great Lakes region to refer to people of European descent. It is a commonly used expression among Bantu peoples in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (but the word changed to become vozongo in malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.
Jana niliona post, Mzungu aliuliza vijana wa Kenya kama wanamwamini Mungu. Vijana walimjibu kuwa hawamwamini Mungu ambaye anayekaa mbinguni, wala dini ya Ukristo wala uislamu bali wanamwamini Mungu aliye ndani yao ambaye ni wao wenyewe
Nilidhani comments za Wakenya zitakemea hili suala ila...
Historia haijifichi na inaeleza wazi namna wazungu walivyojenga uchumi wao kwa vita na unyonyaji wa hali ya juu.
Baadae sana walivyoshiba mema ya nchi zao na nchi nyingine ndipo walipoanza kutangaza demokrasia.
hata hivyo hulka ya unyonyaji haijaisha japo kwa sasa inafanywa kwa ustadi mkubwa...
Ukweli usemwe Tu, Mimi sio muumini wa kuzaa watoto wengi wanaozidi Uwezo wa kuwatunza na kuwalea. Nimekuwa Wakili( Advocate) wa kuzaa kwa mpangilio na kuhimizia familia kuhakikisha wanafanya kazi ili kulea watoto wao kwa uzuri na kujenga Taifa Bora.
Nimezunguka Nchi kadhaa duniani kama 10 tu...
Wakuu salamu,
Kuna ukweli mchungu sana kuhusu Ustaarabu wa Misri ya Kale (Ancient Egypt) ambao mara nyingi haufundishwi mashuleni. Misri haikupotea kwa sababu majengo au mahruba (pyramids) yalibomolewa. Kilichopotea ni kitu chepesi lakini cha thamani zaidi: Mnyororo ulio hai wa watu waliokuwa...
1. Viongozi wakiafrika wanaiba Pesa kwao harafu wanaenda kuziweka kwenye mabenki ya ulaya na Marekani. Kichekesho nchi hizo hizo zinaenda kuomba mikopo huko.wanachofanya ni kutukopesha Pesa zetu zilizofichwa huko na viongozi wetu.
2. Rais wa inchi anaishi ulaya kwa kodi za wananchi wake nchini...
Nje ya hapo Africa kupata maendeleo ni nadri sanaa.
Wazungu wakikabidhiwa bara la Africa kama ambavyo livyo hivi sasa within 10yrs litakuwa very attractive and beautiful place to live.
Vijana jengeni nchi yenu wenyewe kwa akili na mikono yenu, wazungu hawana fedha za kutupa tujenge nchi yetu, wenyewe wamefilisika vibaya sana. Hata wazungu wanakwenda China na Uarabuni kuomba misaada ya fedha na wawekezaji waende kwao.
Inawezekana vijana wetu hawajui kuwa wazungu siku hizi...
Kuna tofauti kubwa sana kati ya sisi watu weusi especially tunavyotumia social social media na wenzetu . hilo group lipo USA na angalia post za mtu anatka msaada anavyoandika jamii forum. wazungu sio kama wana akili sana ila community zao zinafanya mtu anajua kujielezea na fanya watu waweze...
Nimejaribu kuwaza maana maisha wanayoishi raia siyo poa kabisa. Ukiwa mjini utaona mambo yako sawa kiasi nenda vijijini mzee, aseeee
Ni mwendo wa kubeba bendera za Britain na chanting za "Long live the King! 👑"
She worked in a Cafe overtime just to make ends meet na mwamba hakuwa na kazi maalumu kwa miezi 8 mfululizo.
Ila alitiwa moyo na kupewa muda ajitafute. Hakudharaulika kwa kutokuwa na chanzo cha pesa bali aliheshimiwa kwa maono alokuwa akiyapika katika hard time iliyo mkumba
Kuna la kujifunza...
Katika michuano ya World Cup ni timu Moja ambayo sipendi kuona wakitwaa ubingwa.
Hii timu si nyingine, bali hii yenye wazungu waliojipaka masizi.
Timu nyingine tofauti na hiyo ikiwa bingwa freshi tu!
"Unajua inasikitisha sana. Kuna muda inabidi tucheke japo havichekeshi. Watu wanajiita wanaharakati, wanajiita wakombozi wa taifa japo taifa letu limeshakombolewa toka mwaka 1961, tukapata uhuru tukawa taifa huru. Kuna watu wanajiita wanaharakati wanataka kulikomboa taifa.
Lakini nataka...
kuna mwamba anawashangaza watu huko ticktock kwa jinsi anavyo onyesha nguvu asili (raw power) aise ilikuaje Wazungu wakatutawala !! Link hiyo hapo chini:
https://vt.tiktok.com/ZSQEfpWHf/
Nakiri kukubali nadharia kua hata Samson alikua mwafrika mwenzetu
Wakati wa ukoloni, Wazungu waliona thamani ya madini ya Afrika mapema sana. Walitambua kwamba dhahabu, almasi, shaba na madini mengine yalikuwa msingi wa nguvu za kiuchumi na kisiasa duniani.
Badala ya kuruhusu Waafrika kutumia rasilimali hizi kama njia ya kujenga miundombinu na kuendeleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.