asali

Sohan asali (Persian: سوهان عسلی‎, romanized: sohān-e asali; from asal "honey") is a kind of Iranian cuisine pastry or candy (sohan). It is made of honey, sugar, saffron, almond or other nuts and cooking oil.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mauzo ya Asali Tanzania Yapaa kwa 68.4%!

    Thamani ya mauzo ya asali imeongezeka kutoka Sh bilioni 11.4 mwaka 2024 hadi kufikia Sh bilioni 19.2 mwaka 2025, ikiwa ni ongezeko la asilimia 68.4. Mafanikio hayo yanaendelea kuimarisha hadhi ya Tanzania katika soko la kimataifa la asali.
  2. IREPAS AGRICULTURAL CO

    JamiiForums Tanzania Faida za Asali Mbichi isiyochakatwa

    Haina uchakataji mwingi: Asali mbichi haijapashwa joto kali, hivyo huhifadhi virutubisho vyote vya asili. Ina enzymes hai: Ina vimeng’enya vinavyosaidia mmeng’enyo wa chakula na afya ya mwili. Ina bakteria wazuri (probiotics kwa kiasi): Husaidia usawa wa bakteria kwenye mfumo wa chakula. Ina...
  3. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Utamu wa Asali ulivyomkamatisha Jasusi wa Israel kizembe

    Katika maisha ya hapa bongo, unaweza kutana tu na mtu labda tuseme ni mfanyakazi mwenzako, au ni mfanyabiashara au hata bodaboboda akiendelea kupiga mishe zake tu za kawaida na mambo yanaenda. Lakini mtu wa namna hii unaweza kukuta ni mwajiriwa anayefanya kazi kwenye idara ya kijasusi. Japo...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ukiona mtu anatetea sana Serikali hii, jua kuna asali ilipita kwake. Mfano Majizzo

    Hawa wanaotetea serikali hii ukichunguza sana utafahamu nini kipo nyuma ya pazia. angalia hapa Angalia hapa unajua kampeni ya kuleta wasanii na yeye kujifanya kama marehemu ruge. Mimi nawaambia kila siku ukiona utajiri wa mtu gafla ujue nyuma ni mali za watu hizo angalia hapa mwenye mali.
  5. scientificall

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HODI TANGA YA MAZIWA NA ASALI

    Nimekuja kumalizia likizo yangu jiji la upendo na ukarimu kwa wageni hapa. Please wapi naweza pata kampani ya sex tofauti namaanisha pisi kali tule maisha sina kipengele just for enjoyment. Wenye ramani ya machimbo nielekezeni nkatembee na kujionea yasemwayo. Nipo tanga mjini
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kumbukizi: Kabla Baba Levo hajalamba asali, Wasanii wengi wanakimbilia chama tawala kwa sababu ni waoga

    "Wasanii wengi wanakimbilia chama tawala; wasanii wengi ni waoga. Wasanii wengi hawapendi bughudha; wasanii wengi wanapenda vitu vya mteremko, vitu rahisi rahisi; hawapendi ‘fighting’". Clayton Revocatus Chipando 'Baba Levo', akizungumza katika kipindi cha Salama Na, Julai 26, 2020.Ambaye kwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku kimekupata nini? Au tayari umelamba asali

    Heshima uliyojijengea miaka 85 ya umri wako umeiharibu ndaninya dakila 10 za press yako. Ulaaniwe milele na Nyerere akupige kofi huko aliko. Nyote semeni AMEN.
  8. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Ukifanya mzaa unaweza kufa njaa kwenye nchi ya asali na maziwa

    Mbeya vyakula ni bei nafuu lakini amini nakwambia kuna watu wamelala na njaa huko Mbeya. Ukiwa na access ya kupata milo mitatu per day brother wewe umefanikiwa tembea kifua mbele mengine ni minor issues utazisolve ukiwa umeshiba. Mungu amuongezee neema mwarabu wa Africable pale Mivinjeni kwa...
  9. upupu255

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa vijana ni kama maeneo yao hayana changamoto kabisa, wamelambishwa asali au wanajisahau?

    Ukiwaangalia harakaharaka hawa vijana ni kama wameonjeshwa maji wakiwa jangwani halafu wakasahau kuhusu ukame wa maji kwenye jangwa walilopo na kugeuka kumsifia aliyewaonjesha badala ya kutaka suluhu itakayowakomboa wanabaki kuwa watumwa. Fursa kama hizi wanazozipata kwenye media ni nafasi...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hata ashushwe Malaika kuja kuwaongoza Watanzania Bado Watapiga Makelele na kutaka awafanyiage miujiza ya kuwawekea Mabomba ya asali na Maziwa Midomoni

    Ndugu zangu Watanzania, Watanzania hawaeleweki wanataka nini siku zote, Watanzania hawaelewi wanahitaji nini Maishani Mwao. watanzania hawana shukurani wala kuridhika wala kutosheka wala kusema asante kwa juhudi zako . Wao kila kitu kwao ni kibaya. Leo watataka hiki lakini kesho ukiwapa...
  11. Abuu Ibraahiym Sibomana

    JamiiForums Tanzania Nauza asali ya unga. Atakayehitaji tuwasiliane

    TANGAZO. IJUE ASALI YA UNGA ( POWDERED HONEY) Dawa ya asili yenye maajabu ya kipekee. Ni dawa iliyotengenezwa kwa mchanganyiko wa ASALI NA MIMEA (mitishamba) Dawa ambayo imeonyesha mafanikio makubwa kwa kutibu maradhi mbalimbali kama vile: 1.Maumivu ya kichwa , mgongo, kiuno , magoti na...
  12. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Polepole atafutiwe buyu la asali akae kimya

    Huyu jamaa amegewe Ile michango ya madon pale mlimani city abuye akae kimya. Watu wana bills za kulipa unaleta ujuaji!
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Comment ya Kitila Mkumbo JF Kuhusu Chanel ten 2009 kabla hajalamba Asali

    GT Watu wanasema hata shetani zamani alikuwa malaika aha 😆 🤣 😄 😂 kwa kweli wansiaisa wetu wa mchongo wanalithibitisha hilo..
  14. bob_fundi

    JamiiForums Tanzania Nauza asali ya nyuki wakubwa

    Habari wana JF Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu☝️. Nina asali ya nyuki wakubwa 80L Kwa anaye hitaji anaweza nicheki pm au kwa namba yangu cm tufanye biashara . ☎️0744355748 normal call &WhatsApp ✅️ Matajiri 250,000/= kwa lita 20
  15. D

    JamiiForums Tanzania Punguza uzito kwa asali na maji tu

    Kama unapambana na uzito mkubwa au unataka kulinda mwili wako usiongezeke, kuna njia rahisi na salama unayoweza kuanza leo. Soma kwa makini maelezo haya, hasa kama unataka kuondoa kitambi na kufanya ngozi yako ipendeze. wewe ni mwanaume au mwanamke, kitambi kinaweza kupotea kabisa. Faida kwa...
  16. Kekule Wa Benzene Ring

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna vigogo walambishwa asali wameandaliwa kama mashaudi kwenye kesi ya Lissu

    taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za...
  17. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Je, kuchanganya asali na limao kuna madhara?

    Habari, Nimeleta huu mjadala kwa kuwa hofu imejengeka miongoni mwetu hasa linapokuja suala la kunywa mchanganyiko wa asali na limao. Wakati nina kua nilipata kusikia haya na ilifika wakati nikila asali basi hata ikipita masaa naogopa kutumia limao kabisa hata likiwa kwenye mboga au kachumbari...
  18. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania The Beekeeper: Mlinzi wa Siri za Asali"

    Habari wakuu Kuna kijiji kimoja cha kale, kilichozungukwa na misitu yenye giza na miamba mikubwa. Kijiji hicho kiliitwa Kizingo. Watu wa Kizingo walijulikana kwa kutunza nyuki waliotoa asali tamu kuliko zote duniani. Lakini asali ile haikuwa ya kawaida iliitwa “Asali ya Mwangaza”, na...
  19. Ebrahim98

    JamiiForums Tanzania Nauza asali mbichi

    Habari waungwana. Nauza asali mbichi kwa bei ya jumla, kutoka mkoa wa Tabora. Lita 1 ni elfu kumi 10k Lita 5 ni elfu hamsini 50k. Lita 20 ni laki mbili mzigo wako. Baki salama.
  20. B

    JamiiForums Tanzania TRA VS TPDC

    wakuu wapi kuna asali maana jamii forum hakujawai kosekana jibu kati ya TPDC vs TRA
Back
Top Bottom