majani

Anna Majani (4 February 1936 – 28 February 2021) was an Italian entrepreneur. She was nicknamed "the queen of chocolate".

View More On Wikipedia.org
  1. V

    JamiiForums Tanzania Tiba ya macho ya majani yanayoota pembezoni mwa mto

    Kama kichwa cha habari hapo juu. Kuna rafikiangu kwa sasa ni marehemu alikuwa anasaidia yoyote mwenye tatizo la macho,hasa ile hali ya mtoto wa jicho au hata jicho linaloanza kuwa na uoni hafifu au kuwa kama na ukungu hivi. Huyu jamaa yangu marehemu alikuwa anachuma majani fulani mabichi...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba ugumu wa maisha Kwa kiasi kikubwa tunasababisha wenyewe. Fungu la majani ya maboga Tsh300!

    Nipo hapa wife anachambua majani ya maboga Kwa ajiri ya mrenda (nimemuamru aniandalie Leo) Nimemuuliza vipi wanauzaje ka fungu kama haka? Naye kanijibu Tsh300/= nimehesabu majani yapo 8-10 TU Kwa kila fungu. Nikarudisha kumbukumbu Hadi mwaka 2016 nilikuwa naishia Kwa sister. Dada alikuwa na...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Miaka zaidi ya 30 ya bongo flava: Hizi ndio biti kali ambazo siku hio majani alikuwa ameamka vizuri na hakuwa na hangover za billcanas

    1: nini mnataka mazee - piggy black https://youtu.be/dCOyQ05vS68?si=uECRMWaSnpW4Q9CI 2: sonia - juma nature https://youtu.be/uA9-zhfpUjM?si=QhUUlDaEV8M1T-kh 3: ya leo kali - wachuja nafaka https://youtu.be/sB1mDNApBMk?si=M3SI1vQAvIa5ucy4 4: Mitungi/Mikasi - Ngwair...
  4. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Jifunze kupika kitimoto na mboga za majani

    Tulia hapa nikuelekeze jinsi ya kupika kitimoto kizuri cha geto na ugali Kwanza tafuta chainizi au mchicha ukate kama hivi nilivyo kata mimi Kisha anza kukaanga kitimoto chako usiwek mafuta na baada ya hpo weka zako vitunguu kaanga mpaka vilainike na uwke karoti na nyanya usiweke hoho...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuita maziwa na majani ya kuchovya(teabags) chai ya maziwa?

    Hivi ukiagiza chai ya maziwa halafu ukaletewa maziwa na majani ya kuchovya(teabags) pembeni hapo unakuwa umepewa chai ya maziwa au ni maziwa yaliyowekewa majani ya chai? Mimi nafikiri chai ya maziwa ni lazima majani na maziwa vichemshwe pamoja jikoni, tofauti na hapo ni utapeli tu.
  6. Marashaaa95

    JamiiForums Tanzania Master Jay akubali P Funk majani ni bora kuliko yeye

    Katika pita pita zangu huko jamii ya watu wa Facebook nimekutana na hii comment kutoka katika Page rasmi ya MASTER JAY
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanajeshi na polisi mliopo Majani Ya Chai muwahisheni raia mliyegonga na gari hospitali. Tumewaona!

    Ni tukio la dakika tano. Kuna raia amegongwa kama sio na polisi waliopo doriaa hapo majani ya chai itakuwa ni Jeshi maana wote wapo eneo la tukio na wanauzoa mwili na kufuta futa damu Ili kupoteza ushahidi. Tafhadhali mpelekeni hosptali huyo Mtanzania haraka sisi jirani tunawaona kwa madirishaa
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukiiba Kitoweo jikoni ni rahisi kugundulika kuliko ukiiba mboga za majani au maharage?

    Tafakari ya kina
  9. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mboga za majani zilizokaushwa. Anaefanya hii biashara tuwasiliane

    Natafuta mtu anaeuza mboga za majani zilizokaushwa. Kama unafanya au unamjua mtu anaefanya hii biashara naomba tuwaskiliane.
  10. Ma mee

    JamiiForums Tanzania Majani ya Kratom nayatoa wapi?

    Wapendwa naulizia kratom leaves / majani ya kratom kwa hapa Tanzania bara nayapata wapi?
  11. donlucchese

    JamiiForums Tanzania Unanunuaje mboga za majani....!!!???

    Hata kama umepanga nyumba, sio kisingizio cha kushindwa kua na ka-portable garden kako, kwa kutumia chupa za maji Tu, unaweza ukaanzisha bustani yako ya mbogamboga na ukawa hununui mboga
  12. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mkubwa kashtukia mchezo wa July - Sept, anawapukutisha Kama majani ya Kiangazi, bundi katua kwa taita

    Anawasifia mchana usiku anataka maini Yao Ila Israel mtoa roho! Naandika mimi sasa ✍🏻✍🏻✍🏻 Yeye Yule ambaye alitukanwa sana kwenye korido za Nyumba nyeupe mithiri ya Meli, pale kwenye Shombo, sasa akawa mwenyewe. Anafanya kulipiza kisasi kuanzia ameshika hatamu akamuwajibisha aliyeonya SIGARA...
  13. mfereji maringo

    JamiiForums Tanzania Dawa gani sahihi ya kutokomeza majani shambani?

    Asalaam wadau wa kilimo! Naomba kujua ni dawa Gani ya kupuliza shambani ambayo inaweza kuwa mbadala wa kupalilia shamba ili kupunguza gharama za kusafisha shamba? Nimepanda miti msim huu wa kilimo, nimepanda miti ya Michenza Sasa majani yamefumuka hasa baada ya mvua kunyesha, Naomba wajuzi...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Vijana wa 2000 watasema hii ni pakiti ya majani ya chai🤣

    Hii kitu ni bora ilipigwa marufuku maana ilikuwa imeshaanza kula vijana hadi watoto wa primary☠️
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa kutumia majani ya miti

    Wanasema sanaa ni kila kitu hasa ukiwa msanii wa sanaa.. .. Sio usanii wa wizi na udanganyifu lakini Leo tunaangazia kwenye sanaa ya majani ya miti.. Unaweza kuona ni kwa kiasi gani tukiwekeza kwenye ubunifu na sanaa tutatatua tatizo la ajira kwa kiwango gani... Wahitimu wengi watapata ajira na...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa zao la ufuta majani kujikunja na kukakamaa nitumie dawa gani

    Ufuta wangu una wiki 7 majan yanakakamaa je nipige dawa gani nimeshapga dawa ya duduba lakin hali bado haijakaa sawa
  17. The introvert

    JamiiForums Tanzania Kachoka nguo za kijani?

    Kulikoni tena mbona furaha zero kwa Mwamba wetu
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mlenda wa unga unatokana na majani gani na yanapatikana wapi?

    Kuna ule mlenda huwa unapikwa kutokana na majani fulani yanayosagwa kama unga, unaitwa mlenda wa unga. Haya majani yanayotengeneza huu mlenda wa unga yanapatikana wapi? Yanauzwa sokoni kama mboga ? Unaweza kuyapikia mlenda yakiwa mabichi(hayajakauka) kama mboga nyingine za majani?
  19. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania 2025 pombe basi - ni kahawa majani ya chai na maziwa

    Kuanzia hii njanuari ni kahawa, majani ya chai na maziwa. Au kuna mbaya wajameni? - Alisikika mtu mmoja.
  20. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Siku Zote Majani Huwa Ya Kijani Katika Bustani Ya Jirani

    Kuna mdada mmoja anataka talaka kwa kuwa wenzake au mashosti zake wanaishi vizuri,hivyo kumpeleka kuona kwamba majani ya bustani za wenzake ni yakijani sana kuliko ya kwake Anasema mume wake kila baada ya wiki mbili hununua vyakula vyote vya ndani,na kisha kila siku huacha shilingi elfu saba...
Back
Top Bottom