The Cuanza Norte Province (Umbundu: Konano Kwanza Volupale) is province of Angola. N'dalatando is the capital and the province has an area of 24,110 km² and a population of 443,386. Manuel Pedro Pacavira was born here and is a former provincial governor. The 1,400 meter long Capanda Dam is located in this province. Cuanza Norte lies on the northern bank of the Cuanza River. It had been a territory of Ngola Kingdom. In 1914, Norton de Matos created District of Cuanza which was divided into Cuanza Norte and Cuanza Sul Provinces in 1917.
It was badly affected during the Angolan Civil War. It has many mines left over from the Civil War and contracts to clear them were given to several organisations. During the civil war, the insurgents made the province part of the central zone. On 5 April 2001, National Union for the Total Independence of Angola members attacked Samba Caju and killed 120 FAA members. The province's military commander, General Recordacao was also killed in the attack.The most spoken languages are Kimbundu. Mbundu people inhabit the province. Sugarcane and coffee are the most important agricultural crops. Their production is favoured by the tropical humid climate of the province.
Baada ya kuangalia video hii nimejiuliza maswai mengi
Kila mtu anasema kwa mwili ule hakika ni yeye, nguo alizojirekodi akiwa kenye helikopta zinafanana
WHAT IF hata ile video iliyoanza kusambazwa haraka mara baada ya taarifa kuna mtaalam wa kupoteza watu alipewa bilioni 1 kuondoa viulizo...
ajali
chivayo
forgery
hali
jela
kabla
kakimbia
kuanza
kufungwa
kufungwa jela
maisha
maisha mapya
mapya
mara
marais
marejesho
master
tetesi
ughaibuni
utapeli
Labda kweli cheo kikubwa hakibadilishi akili ya mtu, kinachofanya ni kumfichua anavyofikiri na kufanya maamuzi kwa uhuru.
Mwanzoni nilikuwa nikimuona kama mtu smart sana alipokuwa RC Tabora. Hasa namna alivyoshughulikia kesi ya kumkamata tapeli aliyekuwa akiwadhulumu viongozi ilimpa credit...
Shirikisho la Soka Kenya (FKF) limeahirisha tena kuanza kwa msimu wa 2026/27 wa FKF Premier League, ambao ulikuwa uanze leo Jumamosi, Septemba 19, 2026.
FKF iliwasilisha taarifa kwa wenyeviti na maafisa wakuu wa vilabu Ijumaa usiku, ikisema ligi imesitishwa hadi taarifa zaidi itakapotolewa...
Nataka kuanza ufugaji wa kuku kwa hatua ndogo
Habari wakuu,
Nimeamua kuanza ufugaji wa kuku kama njia ya kujiajiri. Nimesomea mifugo, kwa hiyo nina msingi wa elimu ya ufugaji, changamoto yangu kubwa kwa sasa ni mtaji wa kuanzia.
Sina mpango wa kuanza na kuku wengi. Nataka kuanzia chini...
Wengi huangalia bei ya gari na kusahau gharama zinazoweza kuja baada ya kulinunua.
Unaponunua gari, ni muhimu kutenga bajeti ya ziada (Buffer Amount) kwa ajili ya kuboresha au kubadilisha baadhi ya vitu muhimu kama Tairi, Rim na Interior.
Tairi na Rim
Kwa hali ya barabara zetu zilizojaa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna watu wahatari na balaa linapokuja suala la pesa basi ni Viongozi wa CHADEMA. Kama kuna watu unatakiwa uwaweke mbali na pesa ama harufu ya pesa basi ni viongozi wa CHADEMA. Kama kuna watu unapaswa kutokuweka Imani yako linapokuja suala la pesa na harufu ya pesa...
Tangu Rais Rutto aseme foreigners wanaofanya kazi ndogo ndogo wanapaswa kurudi kwao kuanzia Jumatatu hii ya juzi, baadhi ya Wakenya walianza kuingia barabarani Jumatatu na kufukuza Burundians warudi kwao kwa sababu wanadai wamejaa maeneo ya mijini wakiuza kahawa, kitu ambacho baadhi ya watu...
Historia haijifichi na inaeleza wazi namna wazungu walivyojenga uchumi wao kwa vita na unyonyaji wa hali ya juu.
Baadae sana walivyoshiba mema ya nchi zao na nchi nyingine ndipo walipoanza kutangaza demokrasia.
hata hivyo hulka ya unyonyaji haijaisha japo kwa sasa inafanywa kwa ustadi mkubwa...
Serikali imepanga kuanza usajili na utambulisho wa watu wenye umri chini ya miaka 18 kwa lengo la kuwapatia Jamii Namba. Hiki kimekuwa kilio cha muda mrefu sana.
Mpango huu utawezesha kila mtu kuwa na namba ya utambulisho wa kipekee kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali za kijamii na kiuchumi...
Hayo yamesemwa leo na Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa leo 1, Septemba 2026 kwenye uzinduzi wa Septenba ya Utambulisho
Amesema kuwa,
"Ni kuboresha teknolojia ya kuchapisha vitambulisho. Tumekuwa na maoni mengi kutoka kwa wananchi juu ya uboreshaji wa kitambulisho. Sasa ndugu zangu waandishi...
Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo, nina kilo nyingi ambazo sizifurahii kabisa ila kila nikipanga na kuanza mazoezi na diet nafanya wiki moja au mbli upepo unakata najikuta tu nasema nitafanya kesho au ngoja nile kawaida leo tu, baada ya hapo ni mwendo wa...
Ni kuhusu ndege iliyoanguka milima fulani na baadae kuonekana katika ndege hiyo alikuwemo mmoja wa viongozi wakubwa wawili nchini.
Baada ya taarifa kuufikia umma ilionekana kuna vijana wanashangilia na kukebehi kuwa huwezi kushindana na wajuu wakati wewe uko chini. Ndipo nikashtuka
Namwomba...
Mara zote Irani yeye alikuwa haziishi mashambulizi ila alikuwa anajibu Baada ya kushambuliwa na alikuwa anajibu Kwa kiwango kinachofanana nafikiri walikuwa wanafanya Kwa kufuuta Sheria za kiislam
Ila hili shambulio la mwisho la US la kupiga miundombinu Yani reli za mwendokasi, Madaraja ...
Wanajamvi kama kichwa kinavyosomeka, natamani kujua biashara yenye mzunguko na faida nzuri kati ya agrovet na hardware kwa maeneo ya Mbeya.
Kwa faida yangu na ya wengine naomba wazoefu na watalaamu mtupe dondoo kidogo hapa.
Natanguliza shukrani
Watu wanadai kikundi kinachoteka na kupoteza watu alikiunda yeye ili kulinda kiti dhidi ya wapinzani wake wa kisiasa. RIP Polepole.
Watu wanadai aliyetoa amri ya kupiga risasi za moto wananchi wanaoandamana ni yeye.
Aliyeteua kiongozi wa tume huru ya Uchaguzi ambayo ndo iliharibu uchaguzi ni...
Alipopewa tu U-waziri mkuu akajua vile viatu vya JPM au kassimu anaviweza.
Mwisho wa siku kawa yule yule na tabia zake.
Ile siku anajisema yeye ni kama JPM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.