usalama wa taifa

Idara ya Usalama wa Taifa
The Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) is the national intelligence and security agency of Tanzania. The Agency works closely with other National and International intelligence agencies and securities organs in the promotion and maintenance of peace, safety and security in and outside Tanzania’s borders.

----

Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20 mwezi Januari mwaka 1997. Sheria hiyo ndio inayoipa mamlaka Idara ya Usalama wa Taifa kufanya kazi zake ndani na nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na pia ina ainisha majukumu, mamlaka na mipaka ya idara ya usalama wa Taifa. Kutokana na kuwepo kwa sheria hiyo siyo rahisi kwa idara hiyo kufanya mauaji ya raia wasio kuwa na hatia kwani idara itakuwa inavunja sheria na kukiuka mamlaka iliyopewa na Bunge.

View More On Wikipedia.org | Ifahamu Idara ya Usalama wa Taifa
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan huchukua hatua na kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.

    Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu. Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa, JWTZ na Polisi mnatukosea sana Watanzania

    Ninaposema Usalama wa Taifa,Jeshi na Polisi hapa namaanisha nyinyi wakubwa viongozi wa Vyombo hivi,mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Hata hivyo bila kusahau hata ma junior wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Mnatukosea kwa sababu tumekua tunaongea miaka nenda miaka...
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa, JWTZ, na Jeshi la Polisi Tanzania Hivi mnatuonaje?

    Kazi ya kutulinda sisi raia wenu imewashinda? Ikiwa mnaweza kutumia risasi kuwaua majambazi na wahalifu sugu mnashindwa vipi kumtafuta na kumtia nguvuni mhalifu anayehusika na utekaji, mauaji ya raia na uvunjifu mwingine wa amani hapa Tanganyika? Je, ni kwamba hamumjui, mmerogwa au...
  4. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini awamu ya sita imekuwa na migogoro mingi ya kiuongozi nafasi za juu kuanzia Ndugai, Majaliwa na sasa Nchimbi?

    Mlifanya jambo kama hilo kwa Spika wa bunge kwa sasa naomba msijaribu kwa makamu wa rais mtaleta maafa. Kwanini awe Samia pekee anayegombana na wandani wake. Kuanzia kwa Kasimu Majaliwa, VP aliyeamua kupumzika Mpango na sasa huyu Emmanueli Nchimbi? Tafute namna ya kuondoa tofauti zenu bila...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir amezindua kituo cha kuwanyongea Magaidi wa kipalestina!!

    Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir amezindua kitengo maalum cha gereza kwa magaidi wa kipalestina waliohukumiwa kifo, kufuatia kupitishwa kwa sheria inayoanzisha adhabu ya kifo kwa magaidi waliohukumiwa. Kituo kilichopangwa kujengwa katika gereza lililoko katikati mwa Israeli...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israeli Itamar Ben-Gvir ilivyopotoshwa!!!

    Simulizi iliyosambaa kote kwenye vyombo vya habari vya kimataifa inadai kwamba Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israeli Itamar Ben-Gvir aliitaka Israeli kuwaua "Wapalestina 30 hadi 40" au "watu 30 hadi 40 huko Gaza" kila usiku. Kuna tatizo kubwa na usemi huo: katika podikasti hiyo hiyo, Ben-Gvir...
  7. R

    JamiiForums Tanzania David Djumbe: Nilipewa taarifa na mtu ndani ya mfumo kuwa natafutwa na ndani ya siku 3 ningepotezwa

    Msaidizi binafsi wa Mwenyekiti wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), Tundu Lissu, David Djumbe, amefunguka kuhusu mazingira yaliyomfanya akimbie nchini Tanzania baada ya kupokea taarifa za siri kutoka ndani ya mfumo zilizomwonya kuwa alikuwa hatarini kutekwa na kuuawa ndani ya siku...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Siamini kabisa Riz One anatumia madaraka yake ya waziri mwenye kusimamia Usalama wa Taifa kwa ajili ya taifa bali familia yake na kundi la mtandao

    Ni vigumu sana mtu yeyote kunishawishi kwamba Riz One aliteuliwa kuwa waziri katika ofisi ya raisi mwenye kusimamia Usalama wa Taifa kwa ajili ya usalama wa taifa. Ninaamini kwa dhati kabisa kwamba Riz One kawekwa katika nafasi hii kwa kazi maalum, na kazi hiyo kwa kiasi kikubwa si ya maslahi ya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wewe kama ni TISS fikiria yafuatayo kisha uone aibu na ujipime kama uzalendo wako unatosha

    1. Watu wanatekwa wewe upo upo tu. 2. Fedha za nchi yetu zinaibiwa wewe upo upo tu. 3. Watu wanachochea udini na kuanzisha magenge ya kihalifu wewe upo upo tu. 4. Mahakama inadharaulika wewe upo upo tu. Cc: Aione DGIS ili aone aibu zaidi. Soma pia PreGE2025 - Ushauri kwa Mkurugenzi Mkuu wa...
  10. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Alloyce, P.R.: Nguzo za kimkakati kuhakikisha Idara za Usalama wa Taifa zinafanya kazi ipasavyo

    Katika ulimwengu wa sasa unaobadilika kwa kasi ya ajabu, usalama wa taifa hautegemei tu idadi ya watumishi au zana za kivita, bali unategemea ufanisi, weledi, na wepesi wa Idara za Kijasusi na Usalama katika kubaini, kuchambua, na kuzuia matishio. Ili kuhakikisha idara hizi (kama vile TISS...
  11. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Je, kuna failure ya Intelligence? (Usalama wa Taifa)

    Usalama Wa Taifa TISS kwa miaka ya karibuni imeprove failure wa sehemu kubwa katika miaka ya karibuni. Mwaka 1982, kulikuwa na njama za kuipindua serikali ya Mwalimu Nyerere. Wahusika walikuwa kina Mohammed Musa Tamimu, Capt Eugene Maganga, na Uncle Tom na wengine. Usalama wa Taifa miaka hiyo...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wakati wa utawala wa hayati JPM usalama wa taifa ilikuwa idara makini. Taarifa zilitoka kwa wananchi. Ndio maana hayati JPM alifanya kazi kwa ufanisi

    Utawala wa hayati JPM ulifanya kazi kwa ufanisi na uliweza kuwaridhisha wananchi kuwa upo makini na ulijali maslahi ya wananchi. Idara ya usalama taifa ilikuwa karibu na wananchi. Ndio maana hata kama ni kero ndogo namna gani rais alikuwa na taarifa nayo kwa undani. Kero za wananchi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania JWTZ wazalendo waungeni Wananchi 7/7, Viongozi wazalendo kumbukeni mafunzo yenu kutoka chuo cha Taifa cha Ulinzi, kuhusu usalama wa Taifa

    Usalama wa Taifa si tu kutokuwepo kwa vita, usalama wa Taifa unahusu umoja wa Kitaifa, Utulivu wa kisiasa, uchumi, teknolojia, masuala ya kijeshi na mazingira. Chadema kimekwisha kuwa chama cha kitaifa kutumia taasisi za serikali kama Jeshi, polisi na usalama kukizuia kufanya kazi ni...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ona sasa, NCHI imekaa gizani, shughuli za Uchumi, Kijamii ndani ya Masaa hayo yote zimekua Paralyzed, ni hasara ilioje?

    Huenda Usalama wa Taifa wakikaa mezani, vichwa vinawaza namna ya kuzuia Lissu, CHADEMA . Hiii yote ni sababu ya KATIBA MBOVU tulonayo, Watu Smart wanaachwa na kupigwa majungu, huku wale wengine ndio wanapopewa nafasi. Akili sio ELIMU ..... Kwa Bahati mbaya sana siku hizi ELIMU na Vyéti vyake...
  15. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ninaliona tatizo kubwa kwa kamati ya kuu ya ulinzi na usalama wa Taifa letu, HAYA matamko ya wanasiasa ni ushauri wao kweli? 29/10 mlikuwa wapi?

    Sijui ninayo yaona ndiyo mnayoyaona, ILA kiukweli simwamini Katambi, Wala simwamini mwiguru kama kweli Taifa lipo hatarini kuchafuka, km ni kweli kwanini hawakuona hatari ya 29/10/2025?
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kukatika Kwa umeme bila back up system ni dalili ya kukosa vision. Ni hatari Kwa usalama wa Taifa

    Kukatika Kwa umeme bila back up system ni dalili ya kukosa vision. Ni hatari Kwa usalama wa Taifa.
  17. N

    JamiiForums Tanzania Je, unawafahamu wafanya-kazi wa USALAMA WA TAIFA?? Uliwahi kuwaona?? Wasome hapa.

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. #USALAMA_WA_TAIFA Je, unawafahamu watu wa Usalama wa Taifa?? Uliwahi kuwaona?? Uliwaona lini?? Uliwaona wapi?? Uliwezaje kuwatambua kama hao ndio wenyewe na sio wanakudanganya?? Nini maana halisi ya Usalama wa Taifa?? Ndugu yangu Mtanzania, sasa ngoja leo...
  18. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Rais anadanganywa au kufanyiwa maigizo? Huwezi amini juzi tu hapa Karanga na Magereza Moshi kulirekebishwa matuta kisa Rais anatembelea eneo hilo

    Najiuliza hivi kweli hata kurekebisha matuta ya barabarani mpaka waliposikia Rais Samia anakuja Leo hapa MKOANI Kilimanjaro kata ya katanini,katikati ya ili gereza kuu la lukaranga na kata ya katanini. Usalama mkoa mlishindwa kumulika mambo yanayoendelea Kilimanjaro mkamjuza mama, mwishowe...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Naomba tuulizane ukweli kuhusu usalama wa taifa wetu tukajisifu kwa intelejensia zake

    Kwangu mimi mpaka sasa kama naona hii idara hakuna kitu kabisa. Mfano swala la mikabata ya ovyo,rasilimali,hatma ya nchi na mwelekeo wake mfano tu mzuri watu walishauri kuhusu haya ya uchaguzi mpaka kutokea October 29 walikuwa wapi. Napata mashaka na hii idara ilishajifia siku nyingi
  20. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Waziri wa usalama wa taifa nchini Israel, Itamar Ben-Gvir anyimwa visa ya kutimkia Marekani.

    Niaje waungwana Wakuu niliwahi kuandika humu mara kibao, kwamba Dunia inakwenda inabadilika hatua kwa hatua kiasi ya kwamba kuna mabadiliko mengine yanatokea, au yanaweza kutokea katika mazingira ambayo wengine hawakuyategemea. Hii sio bahati mbaya, bali ni uhalisia wa Dunia jinsi...
Back
Top Bottom