Mimi ni mdau katika jamii ya wapambanaji, mjasiriamali ile mbaya. Hata hivyo, kwa sasa naona kama nakata tamaa baada ya kukutana na mama mmoja hivi.
Kiukweli, nilishawahi kumiliki biashara ndogo ndogo kama vile migahwa, duka, na baa. Bila kusahau ufugaji wa kuku wa kienyeji na broiler—hapa...
sio wageni na logo hii kwenye huduma za hospital.Ila kuna sehemu nimegusiwa hawa viumbe kwa ujumla jamii ya reptile zote wana siri kubwa ya dawa ambazo kama tukiwagundua basi leo tunaweza kukichezea kifo mfano ukaweza kuota kiungo kama kimekatika,ukapona hata kama umekufa.Kuna sehemu nyingi...
Viumbe wanne wa kiroho wa asili (spiritual elementals) ni viumbe wa njozi wenye utambuzi na nishati thabiti ambao wanawakilisha na kulinda misingi minne mikuu ya asili ya dunia.
Walipata umaarufu katika karne ya 16 kupitia mwanakemia wa Uswisi anayeitwa Paracelsus. Viumbe hawa wa asili...
Kiumbe cha kwanza - LUCA
Wanasayansi wanakiita LUCA = Last Universal Common Ancestor.
Hicho ndicho kiumbe cha mwisho ambacho wewe, mti, mbwa, na bakteria wote mnatoka kwake.
Kilikuwa vipi? Miaka bilioni 3.8 iliyopita:
1. Muonekano na ukubwa
Kilikuwa kidogo ajabu - kama bakteria. Unahitaji...
Katika vitu ninavyotamani sana kuviona vikitokea duniani miaka ndani ya miaka ishirini ijayo ni siku moja viumbe kutoka sayari nyingine kutembelea duniani kwa wazi kabisa waonekane kwenye camera.
Tukio la aina hii kwa hakika litaupindua ulimwengu juu chini na kuleta mapinduzi na mabadiliko...
Mlango wa siri, chumba kilichofichwa…
Mwaka 2017, wakati wa ukarabati, Makumbusho Ndogo ya Nykøbing Falster iligundua chumba cha siri ndani ya jengo hilo.
Chumba hicho kilikuwa kimejaa masanduku ya zamani, maandishi na michoro, vikifunua urithi wa mmiliki wa awali wa nyumba hiyo, Cornelius S...
Tunaona mara kwa mara operations za kuwaua baadhi ya viumbe hasa wanyama kwa sababu fulani fulani.
Sikatai uhai wa binadamu ni muhimu na unatangulizwa mbele (unapewa kipaumbele) dhidi ya uhai wa viumbe wengine
Lakini nashangaa na ninaona kama muda mwingine hatua inayochukuliwa ni ya juu mno...
Kama Mungu aliumba viumbe vyote kwa thamani sawa inamaana watu na wanyama wengineo pia watatakiwa kuwepo mbinguni.
Sasa kwanini wanadini wanakomaa na watu tu na wameacha viumbe wengine ambao kiuhalisia nao wanafanya dhambi ya ngono,kuua,nk?
Au hoja kuu ni SADAKA YA HELA?
Utasikia bwana ametoa na bwana ametwaa au kazi yake mola haina makosa wakati huohuo anakemewa shetani ashindwe katika jina la yesu.
Waafrika manajifikirisha kwa kuwaza na kuwazua kweli?
Wanawake kwa kulalamika ni hatari na nusu unaweza kujishitukia unaomba msamaha wewe wkt kakosea yeye asee
○ Ukimkosoa kidogo tu kesi zote za nyuma ulizowahi kfanya zinaanza upya tena, apo lzm uomb poo au kimbilie kijiweni adi usiku😁
○ Mara umebadilika sana sio km zamani yaani basi tu
○Utasikia...
Inawezekana umeshtuka kidogo 👋, Naam wanasayansi wanasema viumbe aina ya Aliens vinakuja kuivamia Dunia mwezi novemba mwaka huu 2025.
Kupitia ripoti iliyotolewa na Cbs news , wanasayansi kutoka Harvard wanasema Kuna viumbe aina ya Aliens vinakuja kwenye huu ulimwengu wa Dunia mwaka huu 2025...
Ndugu wanajamii, binadamu, jamii na mataifa yote kwa ujumla, naomba kwa dhati ya moyo mkunjufu mnisaidie majibu.
Je, matendo yangu maovu yanaweza kugeuka kuwa sehemu ya uzao wangu na ukawa intra na inter generational, dhana ile intergenitic DNA.
Nimewaza hivi baada ya kusikia na kuona...
Wakuu hasa wabobevu kwenye dini na biblia hivi Noah (Nuhu) alijuaje jinsia ya viumbe vyote alivyoambatana navyo kwenye SAFINA?
Mfano; Alijuaje jinsia ya sisimizi, sungusungu, kunguni, siafu na viumbe wengine hasa wadogo wadogo watambaai na warukao? Kwamba huyu ni sisimizi dume na huyu ni jike...
Hapo vip!!kwa uhalisia uliopo nikwamba viumbe kama majini,mapepo,mashetani,n.k wapo busy sana kufuatilia na kuharibu maisha ya mwanadamu kwa kushirikiana na wachawi na kwa tafsiri hii inaonyesha hivi viumbe vimekaaa kakaa tu huko pasipo na kazi ya kufanya kama mwanadamu,kwa ujumla ni viumbe vya...
Kwa nini Wanawake wanabadilika badilika alf ni viumbe vya Ajabu?
na kwa nn ni emotional creatures?
Je ww ni vitu gani vya ajabu uliviona au kitu usichotarajia
Na namna gan ya kuishi nao?
Kufikia 2025, wanasayansi wameorodhesha takriban spishi milioni 2.3 Duniani, ikionyesha sehemu ndogo tu ya anuwai ya sayari yetu. Idadi kubwa zaidi—karibu milioni 1.5—ni wanyama, huku wadudu wakiwa sehemu kubwa ya hesabu hiyo.
Mimea hufuata kwa takriban spishi 390,000 zilizorekodiwa...
Naweza kukataa kuwa sisi tuliopo duniani ndio watu wenye uhai pekee.
Kwa tafiti za wanasayansi wanavyo zidi kutambua sayari zenye mfano wa dunia kama kepler na nyingine zinaweza kuthibitisha kuwa uhai wa viumbe hupo sehemu nyingi kwenye ulimwengu wa anga za sayari.
Kama tutaweza kuwa na vyombo...
Heshima kwenu wakuu!
Naomba kujua kwanini, Kuna neno,,
NI VIUMBE DHAIFU? na KUISHI NAO KWA AKILI?
na je usipozingatia Haya Kwa mwanaume ni matokeo gani utayapata? Nawasilisha hoja kwenu wakuu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.