barani afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Diplomasia, Usaliti, na Usalama wa Barani Afrika

    Viongozi wa Afrika, jitahidini kuwa na majasusi wa kimkakati. Kuna ukoloni mamboleo unaorejea barani Afrika, ambapo baadhi ya viongozi wa ndani watatumika kuwasaliti na 'kuwauza' viongozi wenzao wa Kiafrika. Alloyce, P.R.
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Hassan anaweza kuwa rais anayevunja matumaini zaidi barani Afrika

    Ukurasa wa The Economist imeeleza namna Watanzania walikuwa na matumaini kuwa Samia Suluhu Hassan angeingiza jamii iliyo wazi zaidi. Sasa utawala wake wenye ukandamizaji unahatarisha mafanikio ya nchi na mustakabali wake. Kupakwa rangi (kufichwa kwa ukweli) kwa hivi karibuni kwa mauaji ya baada...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tanzania moja ya nchi zenye utajiri mkubwa wa gesi barani Afrika

    Tanzania imeendelea kujipambanua kama moja ya nchi zenye utajiri mkubwa wa gesi barani Afrika, ikiwa inamiliki takribani asilimia 10 ya gesi yote iliyogunduliwa katika bara hilo. Takwimu hizo zimetolewa leo Jumanne, Aprili 21, 2026 na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Dunia nzima yampongeza Rais Samia kwa kuwaunganisha na kuwaleta pamoja nchini mtandao wa wanawake viongozi Barani Afrika

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Amepongezwa na kupewa sifa kutoka kila pembe ya Dunia kwa Hatua yake ya kuwaleta Pamoja Na kufanya Mazungumzo Ya Masuala mbalimbali mtandao wa Wanawake Viongozi Barani...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kongo (DRC) imeipiku Ethiopia na kuwa nchi ya tano kwa uchumi mkubwa zaidi barani Afrika.

    Kongo imeipiku Ethiopia na kuwa nchi ya tano kwa uchumi mkubwa barani Afrika kusini mwa jangwa la Sahara ambapo Afrika Kusini bado ndio inayoongoza kwa kuwa na uchumi mkubwa zaidi barani Afrika. Katika muktadha huu haijulikani Tanzania ni ya ngapi lakini ni ukweli ulio wazi kwamba inazidiwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Papa Leo XIV kuanza ziara yake Barani Afrika

    Papa Leo ameanza ziara ya siku 10 barani Afrika siku ya Jumatatu, akilenga kuwahimiza viongozi wa dunia kushughulikia mahitaji ya bara hilo ambako kwa Takwimu za Vatican zinaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 20 ya Wakatoliki duniani wanaishi Afrika, huku nchi tatu kati ya zile anazotembelea Kusini...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mambo ya mtandao wa Internet waendelea kupunguza pengo la kidigitali barani Afrika

    Mwezi Agosti mwaka 2021, kwenye mkutano wa kwanza wa Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na nchi za Afrika, China ilitangaza kuzindua mpango wa ushirikiano na nchi za Afrika kwenye eneo hilo, ukihusu ujenzi wa miundo mbinu ya mtandao wa Internet pamoja na...
  8. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa umeme wa upepo kati ya China na Afrika wahimiza mageuzi ya nishati ya kijani barani Afrika

    Hivi karibuni, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, Rais wa Djibouti Ismail Omar Guelleh, na Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud walihudhuria hafla ya uzinduzi wa mradi wa umeme wa upepo wa Aysha, uliojengwa na kampuni ya China katika Mkoa wa Somali, mashariki mwa Ethiopia. Kwa muda mrefu...
  9. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania ATHARI YA SIASA kwenye Taarifa za kifedha barani Afrika. Mfumuko wa Bei Washuka, Lakini Hatari Mpya Zaongezeka

    Taarifa za kifedha barani Afrika. Mfumuko wa Bei Washuka, Lakini Hatari Mpya Zaongezeka 🎯Ongezeko la mzozo wa Mashariki ya Kati limesababisha bei ya mafuta duniani kufikia $90 kwa pipa, kiwango cha juu zaidi katika kipindi cha miaka miwili. Hali hii inatishia kudhoofisha kasi ya kushuka kwa...
  10. NGAYANIMO

    JamiiForums Tanzania Vita barani Afrika

    VITA BARANI AFRIKA.. Nchi ya kwanza kujitawala upya katika Afrika ni nchi za Afrika ya Kusini zilizojiunga na kujiendesha wao wenyewe katika mwaka 1910. Misri, katika mwaka wa 1922 walikuwa wanajiendesha wenyewe, na Tangier katika mwaka wa 1925. Madola mengi ya Afrika yalianza kupigania uhuru...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ateuliwa Kuwa Bingwa Wa Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika

    Ndugu zangu Watanzania, Usishindane na aliyebarikiwa na Mungu, huwezi kumshusha aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu,Huwezi Kumpaka matope na kumchafua aliyepewa kibali na Mungu . Rais Samia kwa hakika ni chaguo la Mungu,ni Mpango wa Mungu. Alizaliwa kwa makusudi maalumu katika Ardhi hii.. ni Rais...
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Tanzania imeshika nafasi ya 22 Afrika kwa kuwa na IQ (uwezo wa akili) mkubwa zaidi barani Afrika

    Tanzania imetajwa na mtandao wa International IQ Test kuwa ya 22 barani Afrika kwa kuwa na kiwango cha juu cha uwezo wa akili kwa mwaka 2026, huku Algeria, Tunisia na Morocco zikiongoza orodha hiyo kwa upande wa bara la Afrika. Kwa Afrika Mashariki, Kenya imeongoza imeshika nafasi ya kwanza...
  13. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ulinzi wa Rais Samia ni wa Kikomandoo na haujawahi kutokea barani Afrika. Hata sisiminzi hawezi kukatisha

    Ndugu zangu Watanzania, Sisi Ni Taifa Kubwa,sisi ndio tulio zikomboa na kuzisaidia Nchi Nyingi sana za kusini Mwa Afrika kujipatia Uhuru wake. Sisi ndio Kwa Miaka mingi tumekuwa sauti ya Afrika na waafrika,sisi ndio tumekuwa watetezi wa Afrika na waafrika. Sisi ni Wababe kwa Mambo mengi . Sisi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya kuwepo kwa China Moja inasisitizwa wakati wa ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa China barani Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Bw. Wang Yi, amemaliza ziara yake ya mwaka mpya barani Afrika, kitu ambacho ni sehemu ya desturi ya miaka 36 sasa ya Waziri wa Mambo ya Nje wa China kufanya ziara ya kwanza barani Afrika kila mwaka mpya unapoanza. Moja kati ya mambo aliyofanya akiwa ziarani...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano Kati ya China na Afrika waweka mwelekeo sahihi wa kuboresha kilimo barani Afrika

    Moja kati ya maeneo yanayotajwa kuwa na uwezekano mkubwa wa kuliondoa bara la Afrika kwenye changamoto za umaskini na usalama wa chakula ni kuboresha sekta ya kilimo. Kutokana na bara la Afrika kuwa na ardhi kubwa inayofaa kwa kilimo, idadi kubwa ya watu wanaojishughulisha na sekta ya kilimo, na...
  16. Damaso

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mamlaka: Vurugu za Uchaguzi na Falsafa ya Uongozi Barani Afrika

    Katika historia ya mataifa mengi, uchaguzi—ambao unapaswa kuwa alama ya demokrasia—umegeuka kuwa kumbukumbu ya maumivu, machozi na vifo. Katika baadhi ya nchi za Afrika, imekuwa kawaida kuona majeshi yakimiminika mitaani, mabomu ya machozi yakipiga kelele kila kona, na miili ya vijana ikijaa...
  17. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makundi ya Kidini Barani Afrika

  18. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Dijitali inavyosukuma kwa kasi kete ya mabadiliko ya kisiasa Barani Afrika

    Photo: fintechassociation.africa/ Kwa zaidi ya miongo miwili, tawala nyingi za mataifa mengi ya Afrika zimekuwa zikikabiliwa na lawama nzito kutoka kwa wananchi kuhusu ukosefu wa utawala bora, kuendelea kwa vitendo vya ufisadi na mifumo dhaifu ya uwajibikaji. Hali hii imekuwa ikitazamwa kama...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Jeshi 10 bora zaidi barani Afrika mwaka 2025, uwezo, nguvukazi na bajeti

    Faharasa hupima nguvu kazi, vifaa, na rasilimali za kifedha ili kutoa “Kielezo cha Nguvu” linganishi. Katika ripoti hii, tunaangazia mataifa 10 yenye majeshi bora zaidi barani Afrika, tukielezea uwezo na nguvu zao muhimu, pamoja na takwimu za hivi punde za bajeti ya ulinzi kwa dola za...
  20. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la uwekezaji halimaanishi ongezeko la ushawishi wa Marekani barani Afrika

    Takwimu zilizotolewa katika ripoti ya Mpango wa Utafiti wa China na Afrika iliyotolea na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani zinaonyesha kuwa, mwaka 2023, uwekezaji wa moja kwa moja wa Marekani barani Afrika ulifikia dola bilioni 7.8, ukizidi dola bilioni 4 za China. Hii ni mara ya kwanza...
Back
Top Bottom