Maendeleo ya mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo mbaya sana ya kuharibu kundi la wanawake wenye makalio makubwa. Mitandao yote ya kijamii sasa kila kona imejaa wanawake wanaotingisha/ tikisa makalio.
Kuanzia maofisi ya umma na binafsi, Bar, Pub, barabarani, kwenye usafiri, sherehe, biashara...
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu kuhusu Gaza:
Hakutakuwa na ujenzi mpya huko Gaza isipokuwa, kwanza kabisa, kutakuwa na uondoaji wa kijeshi. Siwezi kukuambia ni aina gani ya ujenzi mpya utakaokuwa; tunajadili hili na marafiki zetu wa Marekani.
Wakati mwingine tunaonana ana kwa ana...
NIkiangalia Marekani, Ulaya, naona matajiri ni wengi sana ukiringanisha na sehemu zingine za dunia.
Na kama wanatengenezwa na nchi zao, kwa sisi waafrika tujifunze nini?, Na kama wanajitengeneza wao wenyewe, ni nini kifanyike?
Nipo hapa nawaza nikawekeze kwenye uchimbaji wa mafuta Iran.
Kuna wakati taifa linapofika mahali ambapo siasa inakuwa si tena suala la uwezo, uadilifu na historia ya mtu, bali ni suala la nani yuko karibu na nani na nani anaweza kupewa nafasi gani. Kinachotokea sasa kinapaswa kutufanye tujiulize: Je, tunapima viongozi wetu kwa viwango gani?
Kwa wale...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali...
Japo najua mtu ukiwa mkweli sana, sometimes ukweli unaweza kukuponza!, ila nilidhani ukweli una wacost malofa tuu na makapuku, sikujua kama unaweza kuwaponza wakubwa kama Balozi Polepole,
Polepole alipoanza kuusema ukweli wake, mimi nilimshauri sana tuu...
kuna msemo wa zamani unasema Mla miwa husahau ila mtupa maganda hasau!
Salam Haitii mimba; Huu msemo unamaana tu kwa watu wenye nidhamu;
Haiwezekani unasalimiwa na mkubwa katika birthday yako huitikii na kibaya zaidi unazomea!
Sasa asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu! NAIMANI wengi...
Hallelujah!
Bado nakusanya ripoti. Bado najifunza na nitaendelea kuwafundisha.
Kuna msemo maarufu usemao, usiingilie ugomvi wa wazazi, msemo huo upo kwenye level ya kifamilia.
Watoto wengi wanaoingilia ugomvi wa Baba na Mama hujikuta katika maisha magumu hapo baadaye kwa namna waijuayo au...
They are soo emotional mature
Mwanamke mkubwa hawezi kuteseka na vitu vidogo vidogo kama kuchelewa kurudi kazini, kuuliza kama una date na mtu kisa amekutext, kufanya upekenyuzi usio na maana
They're so romantic, (sensual)
Wanahisi zaidi in terms of intimacy, na kwa kufanya hivyo humplease...
Katika ulimwengu wa siasa kuna watu wanaitwa wazee wa mfumo,hili ni kundi la watu linalojumuisha wafanya biashara wakubwa katika taifa ,hapa kwetu mfano mzuri ni Rostam Aziz,Mohamed Dewdji,GSM,Kiziga,na wengineo.
Sifa kuu ya hawa watu ni kuwezesha wanasiasa na chama cha siasa ili kishike dola...
Harakati zangu za kilimo juzi kati zilinifikisha Kijiji cha Berega wilaya ya kilosa mkoani morogoro..
Oya wajuba !, huko Kuna kabila la wakaguru Hawa watu ni wanafiki wa kiwango cha lami afu ignorance level Yao ni kiwango cha mchanga.
Niliwahi kifikiri wasukuma ni wabaguzi mpaka nilipokutana na...
Ndugu wanajukwaa la siasa, huu ni mjadala wa kitaifa:
Tunapojadili kwa nini miradi mikubwa ya kimkakati inaweza kwenda nchi jirani, tusitazame tu bandari, ardhi au soko. Tujiulize pia kuhusu ubora wa taasisi zetu za kisiasa na utawala.
CCM imekuwa chama tawala kwa muda mrefu na ina wajibu...
Haiwezekani gari aliunde mwingine halafu wewe ujifanye unajua kuliendesha bila kumuuliza muundaji linaendeshwaje. Nachelewa kusema utasababisha maafa tu.
Si ajabu kuona wimbi la 'vita' Kati ya Wanawake na Wanaume likizidi kupamba Moto siku hadi siku kwa sababu wengi wamechagua kuishi kwa...
Omba omba wengi tiulizoea wakitoka mikoa ya Dodoma. na Singida , sasa wanatoka Mwanza na mikoa mingine kasoro Kilimanjaro na Arusha, yaani Hakuna Mchaga omba omba!
WAOSHA MAGARI: Hawa watu wanasimama kwenye mata na foleni, pale morroco -kinondoni, hata liwe gari la wanaojulikana ama wasio...
Huyu kijana asingejiingiza kwenye mambo ya uchaguzi kwa kauli zile mwaka jana basi angejaza sana kwenye hii retro tour yake.
Perfomance nzuri sana, mziki unapigwa live yaani bila chenga wala auto tune.
Vifaa sasa wamejitahidi sana, trombone, saxophone, na sauti iko swaafi sana, yaani murua au...
Nimekaa hapa nikiwaza baada ya siku kwenda ndivyo sivyo!
Soon naelekea kwenye utu uzima mkamilifu, nika waza siku mtoto wangu akiwa mtu mzima wa kujitegemea akisha kuwa na maisha na familia yake , hivi kwenye contact nita m save kwa jina gani .
Jina lake la kuzaliwa , ama title yake kwangu...
Wadau hawa Wakubwa wa elimu wamepotelea wapi?
By Hata Mimi JF member
Salaam alaikum,
Zamani kabla ya 2010 kurudi nyuma huko tulizoea kuona vitabu vya namna mbalimbali kwa maudhui moja. Namaanisha somo husika kwa darasa fulani linakuwa na matoleo kibao ya vitabu (waandishi na wachapaji)
Hii...
Kuna watu wachache sana duniani ambao pesa sio kipaumbele chao cha kwanza maishani. Yaani wanaweza fanya kitu bila kuzingatia maslahi yoyote ya kifedha. Mwalimu Jambau wa shule ya msingi Lighwa huko Singida ni miongoni mwao. Hauwezi kuzungumzia mafanikio ya wanariadha wakubwa toka mkoani Singida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.