kuendelea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wakati CCM inajiimarisha kimkakati na kujizatiti kuendelea kua chama tawala Tanzania, viongozi na wafuasi wa vyama vingine vya siasa wanatukana tu.

    Halafu matokeo yake sasa,wakati muafaka wa kikatiba hususani wa uchaguzi ukifika, mayowe, visingizio na vilio vya mabadiliko vinaanza. Ooh tume huru ya uchaguzi ibadilishewe, mara sijui sijui yafanyike mabadiliko madogo ya katiba na uchaguzi usogezwe mbele n.k, badala ya kujipanga na kujiandaa...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Vifo vya watumishi sita wa uhifadhi Tabora, Dkt. Ashatu Kijaji. Je, anatosheleza kuendelea kushika nafasi ya Uwaziri wa Maliasili na utalii?

    Vifo vya watumishi sita wa uhifadhi Tabora, pamoja na vifo vya simba 11 na fisi wawili Ngorongoro, ni matukio mazito yanayohitaji uwajibikaji na majibu ya kina kutoka kwa Wizara ya Maliasili na Utalii. Kwa mtazamo wangu, matukio haya yanaibua swali kubwa kuhusu ufanisi wa usimamizi wa sekta ya...
  3. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Lissu ataka kukutana na Mashahidi wake watatu kabla ya kuendelea na kesi

    Katika hatua ya kuendelea kwa kesi ya uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu, Mahakama Kuu imeendelea na hatua ya re-examination ya shahidi wa upande wa utetezi, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche. Baada ya Jaji Ndunguru kumweleza Mhe. Lissu kuwa bado ana mashahidi watatu na kwamba...
  4. Mwalimu Mkuu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali haina nia ya kuendelea na mashtaka ya ugaidi na uhujumu uchumi....Mahakama imemtaka kuripoti kwa RCO kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi saa 2:30

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, ameachiwa huru kwa masharti na Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma baada ya Serikali kuondoa nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili. Kaijage ameachiwa leo, Septemba 10, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Denisi Mpelembwa...
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Eda ni nini? Je, Rais Samia kuendelea kuongoza akiwa eda?

    Kifo cha Hafidh Ameir, mume wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kimeibua maswali kuhusu kipindi ambacho mwanamke Mwislamu huingia baada ya kufiwa na mume wake. Kipindi hicho kinachojulikana kama eda kina masharti gani, huchukua muda gani na kinatofautianaje na maombolezo ya kawaida? Soma...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Si afya kuendelea kutoa matamko, Watanzania hawataki siasa sasa hivi, wameridhika, wamempokea Makamu mpya

    Nukuu ya Steve Nyerere kwa Maandishi "Tukiikubaliane kwamba yaliyopita si ndio yetu, tugange yajayo. Laiti pili, mimi sizani, na hili ninawaomba kwa wenyeviti wa Chama cha Mapinduzi wa mikoa yote, sizani kama kuna afya sana kuendelea kutoa matamko. Kwa sababu tamko limeshatolewa na Kamati Kuu...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi ya Ajabu?, Pamoja na Fursa Zote za Kidigiti, Mpaka Leo Bado Hatuna Sheria ya E-Commerce?!. Usikute Ndio Maana Tunachelewa Sana Kuendelea

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo nikiishangaa jinsi nchi yangu Tanzania tulivyo nchi ya ajabu!, pamoja na fursa zote za kidigiti, na biashara ya mtandaoni, lakini mpaka leo bado sisi Tanzania, kama nchi, hatuna Sheria ya biashara mtandao, E-Commerce...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: John Mnyika Kuendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri kuendelea leo 1, Septemba 2026

    Mahakamani leo tena kesi inaendelea kwa Upande wa Mawakili wa Serikali kumuuliza Mswali ya Dodoso Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Pia soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kutoa Ushahidi kumtetea Tundu Lissu Mahakamani leo Agosti 31, 2026. Kesi imeahirishwa hadi Kesho Leo September...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu mkuu wa KKKT Dr. Alex Malasusa kuendelea na Prof. Faustine Mahali km VC ni kuiangamiza na kufutwa Chuo Kikuu Makumira

    Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichoko mkoani Arusha kinamilikiwa na KKKT ambacho mkuu wake ni Dr. Alex Malasusa. Chuo hiki kilikuwa kikiongozwa na Prof. Joseph Parsalaw, yule masai alikuwa kiongozi mzuri. Alikuwa mkali penye uzembe, alikuwa mwuungwana na aliyetimiza wajibu wake kwa weledi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Drama hizi zisizoisha ndani ya CCM na Lissu kuendelea kuwa topic ya kila siku, kuna dalili za utabiri wa Sheikh Yahya kutimia ?

  11. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Vipi kesho tukaambiwa hana nia ya kuendelea na kesi ilikuzima hili la leo

    Hili haliwezi kupita hivi hivi,kuna mjadala wa mrithi unakuja, huko kwenye chama wanasema katibu nae ana unga tela, mrithi anaweza kutoka pasipo tarajiwa, sasa ili kuzima yule mjamaa akasema hana nia na kesi si mjadala utahama ?
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa CHADEMA kufukuza wachaga wote ndani ya chama chao, hawataweza kuendelea kuvumilia kudhalilishwa kwa Mbowe

    Wiki hii imeanza kwa wafuasia wa Lissu na Heche kumshambulia vikali mwasisi wa CHADEMA mheshimiwa Freeman Aikael Mbowe baada ya yeye kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa bwawa la umeme la Nyerere. Kiukweli Mbowe kadhalilishwa sana kwa siku kadhaa. Ninampongeza kwa ukimya wake kuonyesha ukomavu wa...
  13. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji Kanjibhai: How to become a bilionea

    Baada ya kilimo kulipa na kuvuna nusu ekari ya bamia huko kisarawe. Jana nimenunua kitabu cha Mo dewji how to become a bilionea ili niwaze kama matajiri wenzangu Ile kukifunua kuanza kukisoma page ya kwanza inasema alienda kusoma na alianza kupambania maisha yake akiwa new york Marekani...
  14. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Maonesho ya wakulima (Nane Nane): Serikali itafakari mambo haya 9

    1. Je, maonesho Kilimo ya Nane Nane uendeshwaji wake uko sawa sawa? 2. Je, wakulima wanahudhuria na kujifunza kupitia maonesho haya 3. Nani mwenye jukumu la kuhakikisha wakulima wanashiriki maonesho haya? 4. Je, ni kwanini kwenye baadhi ya viwanja vya maonesho waoneshaji wanalipishwa gharama...
  15. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Malizia hii wikiendi kwa kuendelea kukataa pombe na ulevi. Jilinde dhidi ya kufirisika, magonjwa, talaka, kudumaa na kufanya vituko ukiwa umelewa

    Marafiki wakikuita velvet waambie upo na famila beach kwa zena Marafiki wakikuuta kitambaa cheupe waambie upo plaza unacheki movie na wadogo zako. Malaya zako wakikuita zile pubs za tabata, waambie wiki hii una marejesho Washkaji wakisema wanakulipia bill kwa leo, waambie unaumwa na hauwezi...
  16. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Heche kuendelea kuwepo ofisini licha ya kashifa za ubadhirifu wa mali za chama ni maana halisi ya Siasa biashara

    Wanasiasa wa Tanzania (hawa wa upinzani) wameshajijengea dhana ya kuwa watakula ofsini kwahyo hawana mubadala wa kupata Hela nje ya Siasa ndo maana ni vigumu sana kuachia madaraka licha ya kuwa wanakashifa za kula Hela za chama. Heche hakutakiwa kuendelea kuwepo ofsn mpaka muda huu nadhani ni...
  17. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na mtu anajibu text message>short, mpaka unashindwa kuendelea!?

    Basi, Haaland ni mmoja wao😆🤣.
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mwanamume Aishi Kama Mama Yake Aliyekufa kwa Miaka Mitatu Ili Kuendelea Kuchukua Pensheni Nchini Italia

    Mwanamume mwenye umri wa miaka 56 nchini Italia anakabiliwa na tuhuma za kufanya udanganyifu wa kipekee baada ya kudaiwa kujifanya kuwa mama yake aliyefariki kwa takribani miaka mitatu ili kuendelea kupokea pensheni yake. Kwa mujibu wa wachunguzi, mama huyo alifariki mwaka 2022, lakini kifo...
  19. Slim

    JamiiForums Tanzania Rafiki Wa kike anahitajika kuanzia miaka 35 kuendelea tuienjoy tu akiwa sio mwanasiasa itakuwa vizuri zaidi dm me

    urafiki ni upendo, mawazo na utulivu.
  20. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupewa na mwanamke wako/rafiki pesa, laki na kuendelea ?

    Hbari Sio mishangazi, , Kuna Ile unakuwa na mahusiano na mwanamke wa makamo Yako then ikatokea ukamuazima pesa alishawahi kukupa laki na kuendelea je hakukudai hiyo pesa au ajakusimanga Kwa namna yeyote Ile Au rafiki Yako wa kike ameshawahi kukusave swala la pesa laki na kuendelea...
Back
Top Bottom