viumbe hai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Sitaki kuamini kuwa aliyetuumba alituumba ili tumuabudu, bali alikuwa na malengo mengine na inawezekana viumbe hai wote kwake ni mifugo

    Mtanisamehe kwa mada hii inayoweza kuleta ukakasi ila hili ni Jukwaa huru. Tumekuwa tukiambiwa kuwa alietuweka hapa duniani alifanya hivyo ili tumuabudu. Binafsi hili swala kwangu linanifanya nikjiule maswali mengi sana; 1. Yaani alijichosa kisa tu kuabudiwa? Na kama ni kweli ili tumuabudui...
  2. IBRAHIM EMMILIAN MBAWALA

    Pata ushauri juu ya ufugaji viumbe hai majini ikiwemo samaki, mwani,kaa n.K kisasa (aquaculture)

    Pata ushauri jinsi yakufuga viumbe hai majini kisasa kama samaki aina ya sato, kambale n.k Elimu kidogo juu ya ufugaji samaki aina ya SATO Ufugaji Samaki Aina ya Sato Ufugaji samaki aina ya sato, au tilapia, ni shughuli nzuri na yenye faida. Hapa kuna baadhi ya ushauri muhimu kuhusu ufugaji wa...
  3. B

    SoC03 Tunu ya Mazingira

    Wakati wote wa vipindi vya majira ya mwaka hali ya mazingira haikuwa na hiana kwani ilitulia tuli mithili ya maji yaliyomo ndani ya mtungi. Anga tulivu na angavu lenye rangi ya samawati lilizidisha uzuri wa mazingira. Naam!hakuna ambaye angeliangalia bila kulimwagia sifa kedekede. Ndege nao...
  4. emmarki

    Nawahurumia sana viumbe hai ninapowakuta kwenye matatizo

    Habari wanajamvi, Nina hali ambayo sijui niiterm kama tatizo au ya kufurahisha. Ninajikuta navionea huruma sana viumbe hivi visivyokuwa na hatia wanyama, ndege na wadudu wa aina zote (kufugwa na wasiofugwa), ninapokutana navyo vikiwa kwenye hali yoyote itakayohatarisha uhai wao. Nikupe...
  5. Ivyson

    SoC02 Almasi katikati ya miiba

    Vipi nikikuambia kuwa leo hii inawezekana kutumia viumbe hai vidogo visivoonekana kwa macho kama Bakteria au Kuvu kutengeneza kinga ya mwili, dawa kwa ajili ya kutibu magonjwa yanayaothiri afya zetu, au kusafisha mazingira, au kutengeneza bidhaa mbalimbali kama pombe, maziwa, sabuni, dawa za...
  6. Mabula marko

    SoC02 Matumizi ya teknolojia ya viumbe hai wadogo (Bacteria na Archaea) katika uchimbaji madini katika kutunza mazingira na viumbe hai

    DIBAJI Shughuli za binadamu zimekuwa zikiongezeka siku hadi siku kulingana na mahitaji ya mwanadamu kuongezeka , hali hiyo kwa namna moja ama nyingine imekuwa ikisababisha ama kupelekea uharibifu juu ya ardhi na kusababisha uharibifu wa mazingira na kuhatarisha baadhi ya jamii ya mimea kama...
  7. Chris wood

    Rais Samia Suluhu tunaomba sana uturudishie biashara ya viumbe hai nje ya nchi

    Kwanza niwasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania. Bila kupoteza wakati niende moja kwa moja kwenye mada, Rais wetu mama samia Kama unavyojua mwaka mmoja baada ya hayati JPM kuingia madarakani 2016, kwa kushirikiana na wizara ya maliasili na utalii chini ya jumanne maghembe alipiga marufuku ya...
Back
Top Bottom