wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Inawezekana kuna wabunge wameomba wasichaguliwe mawaziri

    Inawezekana kuna wabunge wameomba wasichaguliwe mawaziri. Hawawezi kusema wote lakini inawezekana kabisa kwa mazingira ya sasa mabunge wengine wakaomba wasichaguliwe kuwa mawaziri. Hivyo wanaosema wameachwa tujiulize hu ni wakati mgumu
  2. R

    Rais Samia hajui Idadi ya Wabunge wa Serikali yake

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 18, 2025 akiwa katika hafla ya uapisho wa baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Dodoma ameshindwa kujua idadi ya wabunge ambao wapo katika Serikali yake
  3. President of China

    PostGE2025 Rais Samia: Asilimia 56.7 ya wabunge wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania ni wapya

    "Takwimu, zinaonesha kuwa wabunge 223 kati ya wabunge 393 sawa na asilimia 56.7 ni wabunge wapya kabisa. Aidha, asilimia 45 ya wabunge wote ni wanawake." - Rais Samia Suluhu akihutubia na kufungua Bungea la 13
  4. Waufukweni

    Rais Samia: Nitakao wateua mjiandae kisaikolojia, tutawabadilikia

    Rais Samia amesema Nitakao wateua mjiandae kisaikolojia, tutawabadilikia
  5. Mafyangula

    PostGE2025 Wananchi: Wabunge waache "uchawa" wafanyekazi ya kuwatumikia watanzania

    Kufuatia kuanza rasmi kwa shughuli za Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wananchi jijini Dodoma wametoa wito kwa Wabunge kuachana na tabia ya ushabiki na kusifia kila jambo linalowasilishwa Bungeni, ambapo wameeleza kuwa ni muhimu kwa Wabunge kusimamia haki, misingi ya Katiba na...
  6. Roving Journalist

    GE2025 Ifahamu Orodha ya Wabunge wote wa Kuchaguliwa wa Tanzania Bara katika Majimbo 222

    Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2025, uliofanyika Oktoba, ulilenga kuchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani. Licha ya maandamano yaliyotokea baada ya uchaguzi na kupelekea vifo vya raia kutoka kwenye silaha za moto za Polisi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)...
  7. W

    PostGE2025 Pastor Ng’ang’a awalaumu wabunge wa Kenya kwa kushindwa kuzungumzia vifo vilivyotokea nchini Tanzania

    Pastor Nganga kutoka Kenya amewata wabunge wa Kenya kuzungumzia kile kilichotokea Oktoba 29, 2025 Tanzania akidai zaidi ya watu 3000 kuuliwa lakini wamegoma kulizungumzia hilo bungeni.
  8. R

    Ndonge Said Ndonge: Nikipata ridhaa ya kuwa Spika wa bunge nitainua vipato vya wabunge

    Mgombea nafasi ya Spika wa bunge la Jamuhuri la Muungano wa Tanzania, Ndonge Said Ndonge kutoka chama cha Alliance for African Farms Party (AAFP) akizungumza leo Novemba 11, 2025 kuomba ridhaa ya wabunge kumuunga mkono na kumchagua katika nafasi hiyo amewahaidi kuongeza vipato vya wabunge...
  9. R

    Said Miraji: Tunahitaji wabunge wenye uelewa na ufahamu zaidi wa kukosoa hoja

    Mchambuzi wa siasa na mwanasiasa mkongwe Saidi Miraj amesema kuwa Bunge la Tanzania linapoteza maana yake halisi iwapo halina mijadala yenye upinzani wa kweli na mawazo mbadala yanayowakilisha matakwa ya wananchi. Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV, Miraj amesema kuwa mijadala ya...
  10. DuaZaMama

    PostGE2025 Tume Uhuru ya Taifa ya Uchaguzi INEC yatoa orodha wabunge viti maalum CCM wapo 113, CHAUMMA 2

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa orodha ya majina ya wabunge wanawake wa viti maalum 115 kati ya 116, huku ikibakiza nafasi moja ambayo jina litatangazwa baada ya kufanyika uchaguzi jimbo la Fuoni na jimbo la Siha uliohairishwa. Katika orodha iliyotolewa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata...
  11. Analogia Malenga

    Demokrasia itaanza na wajasiriamali siyo Wanasiasa

    Ameandika ndugu mmoja muathirika wa udikteta wa Belarus kuwa, Kwa miongo kadhaa nchini Belarus, kulikuwa na kauli ya kwamba: “Usiguse mamlaka — na mamlaka haitagusa biashara yako.” Lakini baada ya mwaka 2020, maelfu ya wajasiriamali waligundua kuwa hali ya kutokujihusisha kisiasa haipo tena...
  12. PAYE

    Uchaguzi wa Spika wa Bunge na uthibitisho wa Waziri Mkuu mpya kufanyika Novemba 11, 2025

    Kufuatia Tangazo la Rais la kuitisha Bunge lililotolewa kwenye Gazeti la Serikali, Toleo Maalum Na. 11 (Special Supplement) la tarehe 4 Novemba, 2025 Tangazo Na. 647A Wabunge Wateule wote wanafahamishwa kwamba shughuli za usajili na taratibu nyingine za kiutawala zitafanyika Ofisi ya Bunge...
  13. K

    Wabunge na Madiwani wa Mchongo na Familia za Mapolisi watakuwa na wakati mgumu na kujutia maisha yao

    Yaani nawaona wakiwa na wakati mgumu wa kuitumikia jamii yao, sababu watu waliyo wengi wamewakataa Yaani Tanzania inaenda kuingia kwenye Siasa ngumu kabisa za uhasama kuliko zile za Somalia za kipindi kile. Hawa Viongozi hawataweza kujumuika tena na jamii maana watajikuta mda wowote maisha yao...
  14. Lord Denning

    Uzi Maalum: Weka hapa makazi wa Mawaziri, Wabunge na Chawa wote

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza tunaomba wanabodi mtiririke hapa. Tuna kazi kubwa iliyotukuka Oktoba 29. Mimi ninashughulika na makazi ya Mbunge wangu wa Ukonga Jerry Silaa.
  15. Hance Mtanashati

    Ikumbukwe rais ana nafasi 10 za kuchagua wabunge anaowataka, msishangae Abduli akipewa ubunge baadaye uwaziri moja kwa moja

    Ikumbukwe rais ana nafasi 10 za kuchagua wabunge anaowataka, msishangae Abduli akipewa ubunge baadaye uwaziri moja kwa moja.
  16. Echolima1

    Wabunge nchini Israel wakaidi agilo la waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuhusu Gaza na West-Bank (Judea & Samaria )

    Wakiasi dhidi ya Waziri Mkuu, MKs walipitisha usomaji wa awali wa mswada wa upanuzi wa Ukanda wa Magharibi Kikao katika ukumbi wa kusanyiko wa Knesset huko Jerusalem mnamo Oktoba 22, 2025 (Chaim Goldberg/Flash90) Katika hali ya aibu kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, wabunge wa mrengo wa...
  17. baz kaiza

    Siku tukifuta posho zote za Wabunge wakabaki na Mishahara tu ndo siku tutakua tumekomboa nchi

    Sehemu pekee iliyobaki ina pesa za bure ni Bungeni ndo maana watu wanapambana kwa kila namna siko kwamba wana wapenda wananchi au kutumikia wananchi hapana. Ila ndo sehemu pekee bunge unapata utajiri wa haraka sana bila kutumia nguvu ni vigumu sana kupata wawakilishi wa wananchi wa kweli wengi...
  18. Desierto

    GE2025 Huu uchaguzi Raha sana mpaka Kuna wabunge hawahangaiki hata kufanya kampeni majimboni mwao

    Wanazunguka tu na mama mm jimboni kwangu gari ya kampeni imepita tu mara Moja Tena kipindi Rais amekuja. Hamna cha kampeni za mbunge Wala diwani.
  19. DuaZaMama

    Indonesia: Serikali yakata 'marupurupu' ya wabunge kutuliza waandamanaji

    Rais wa Indonesia, Prabowo Subianto, ametangaza kupunguza mishahara na baadhi ya marupurupu kwa wanasiasa wa taifa hilo, ikiwemo wabunge, ili kutuliza maandamano yanayoendelea nchini humo. Hatua hiyo inakuja kutokana na maandamano ya wiki kadhaa katika taifa hilo la Kusini-Mashariki mwa Asia...
  20. leefrankne

    GE2025 INEC yajadili rufaa kuhusu uteuzi wa wabunge

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, leo tarehe 31 Agosti, 2025 imekaa na kujadili rufaa kuhusu uteuzi wa wagombea Ubunge katika Jamhuri ya Muungano na Udiwani kwa Tanzania Bara zilizowasilishwa Tume kwa ajili ya uamuzi. ============= KUHUSU UAMUZI WA RUFAA DHIDI YA UAMUZI WA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI...
Back
Top Bottom