waziri mkenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda Anendesha Sera ya Wizi Kupitia Samia Scholarship Program

    Hali ya Tanzania kwa sasa ufisadi hakuna sababu ya kusema kuna ufisadi, kwa sababu ni kama imeruhusiwa na viongozi wa nchi, lakini ni vibaya sana kwa tunaoona yanyaofanyika kunyamaza bila sababu pia. Waziri Mkenda anaendelea kung'ang'ania sula la Samia scholarship kwa kisingizio cha kuinua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu wekeni muongozo wa maombi (ya zawadi) ya machapisho bora ya watafiti katika website yenu kama alivyoahidi waziri Mkenda

    Baada ya kumsikia waziri Mkenda akitangaza msimu wa kuwazawadia watafiti ambao machapisho yao yatakuwa bora zaidi nikaamua kutemebelea tovuti ya wizara ya elimu ili kuona muongozo huo una nini. Nilichokiona Kuna matangazo ya zawadi na muongozo wa namna ya kuomba zawadi hiyo kwa msimu wa mwaka...
  3. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Mkenda lini utasimamia na kuondoa uzembe katika Uongozi wa Vyuo Vikuu?

    Waziri umeshirikiana na UD kutatua 'mgogoro' wa kijana aliyeshindwa kuendelea na masomo kwa faini ya kizembe. Au tuseme uonevu wa UD kwa wanafunzi. Hiyo ni ishara kwamba Vyuo vikuu vyetu vinaendeshwa kishenz. Nasema tena Kishenz! Ni aibu kuwa na viongozi wa aina hiyo, halafu ukasema ni chuo...
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkenda akabidhi shilingi Milioni 5 kwa kikundi cha ujasiriamali Rombo

    Mlezi wa Kikundi cha Marsho Manufacturing Company kinachojishughulisha na shughuli za ujasiriamali kupitia zao la ndizi ambae pia ni Mbunge wa Rombo Prof. Adolf Mkenda, Jumanne ya March 11,2025 amekikabidhi hundi ya Shilingi Milioni 5 ikiwa kama sehemu ya ahadi yake yakukisaidia kikundi hicho...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA Mkoani Rukwa

    Salaam Wakuu, Awali, ikidaiwa kwamba Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha...
  6. Natafuta kiki

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkurugenzi na Afisa Elimu Kibaha mji: Wamewasimamisha kazi Walimu Watano wa Shule ya Mwambisi Sekondari

    Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu. Mkurugezi kwa kushirikiana na afisa elimu halmashauri ya Kibaha mji wamewasimamisha kazi walimu wapatao watano wa shule moja ya Mwambisi sekondari sekondari iliyopo kata ya Kongowe halmshauri ya mji kibaha kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Ni marufuku kumfukuza Mwanafunzi kwa kushindwa kuchangia mchango wowote

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ni marufuku Mwanafunzi yeyote kufukuzwa kwenye shule za umma, kurudishwa nyumbani kwa sababu mzazi ameshindwa kuchangia mchango wowote ikiwemo huduma za chakula. Mkenda ametoa agizo hilo Julai 26, 2024 jijini Dodoma wakati...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Upanuzi wa Elimu ya Juu ni mkubwa kwa sasa kuliko wakati mwingine wowote Nchini

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ujenzi wa Kampasi za Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya katika Mkoa wa Rukwa ni moja ya mradi unaojengwa chini ya Mradi wa Higher Education for Economic Transformation zinazojengwa katika Mikoa isiyo na Taasisi za Elimu ya...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda: Waziri hana mamlaka ya kuingilia chuo kama umefukuzwa kwa kudanganya

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kama Waziri mwenye dhamana ya Elimu nchini hatoingilia mamlaka za Vyuo Vikuu zinapochukua hatua mbalimbalu za kinidhamu katika udanganyifu wa mitihani Kauli hiyo ameitoa Julai 12, 2024 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na...
  10. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda, TCU, na wabunge saidieni wanafunzi wa SUA kuna shida ya maamuzi ya uongozi

    Tufahamishane kwamba, ni kweli takribani nusu ya wanafunzi wa SUA wameshindwa kuhitimu ktk mahafali ya mwezi Novemba 2023 kama ilivyo kawaida ya miaka yote, na wanatakiwa kurudia mitihani baada ya mwaka mzima wa kusubilia mitihani. Sababu kubwa ni maamuzi mabaya ya viongozi wa chuo. Waliamua...
  11. SHANTI

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Waziri Mkenda umechemka, acha kutumia vibaya cheo chako kwa nidhamu ya woga

    Nimefuatilia maamuzi ya waziri Mkenda kwa wakuu wa shule na walimu waliohusika kwenye kucheza wimbo wa zuchu Binafsi naona maamuzi ya Waziri Mkenda ni ya kukurupuka na hofu ya kutenguliwa nyadhifa yake. : 1. Maadili ya mtoto yaanzia nyumbani, Hawa watoto huu wimbo wamjifunza makwao kupitia...
  12. cupvich

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ili kumuwezesha mhitimu wa chuo kujiajiri, serikali ikate asilimia 25 ya pesa yake ya kujikimu (boom) na kumlipa baada ya kuhitimu kama mtaji

    UTANGULIZI Ndugu msomaji wa MAKALA hii Utakubaliana nami kwamba neno "KUJIAJIRI" sio geni masikioni mwako, hususa ni pale linapo kugusa moja Kwa moja. Huenda Kwa nyakati fulani umelisikia neno hili likitamkwa na Watu mbalimbali wakiwemo viongozi pamoja na watu maarufu na kulipokea Kwa mtazamo...
Back
Top Bottom