kuharibu

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Kaka yake shetani

  Wazazi ndio chanzo cha kuharibu ndoto za vijana wengi wanapotaka kufanya maamuzi ya kujichagulia wakasome nini vyuoni

  Mtoto akifikisha miaka 18 huyo sio mtoto sababu kashakuwa huru wa kufanya maamuzi nini anataka kwenye ndoto yake. kuna mada nyingi hapa jf nikiona wazazi wakiomba ushauri mtoto asome nini ? kwa nini wazazi tusiwape uhuru wa kujua wanataka nini na kuwashauri kuliko kulazimisha wasome wasicho...
 2. Buyaka

  Trump apokea rasmi tiketi ya Republican Party. Alaani wavamizi kutoka kwenye majela ya vichaa Venezuela, El Salvador, Afrika, wanaokwend kuharibu USA

  Nchi yao imevamiwa na wahamiaji haramu. Wauaji, wabakaji, maharamia na wagonjwa wa akili kutoka kwenye majela ya vichaa. Ameahidi anaenda kukata mzizi wa fitina wa tatizo hili akichaguliwa. Na kwenye uchumi, viwanda na biashara ya kimataifa ameahidi anaenda kumaliza exploitation ya mataifa...
 3. The lost

  Serikali ya Marekani ichukue hatua Kali kwa viongozi wa Iran kwa kuharibu kuua wanasiasa na viongozi wa Marekani

  Hili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya Kiislamu ya Irani. Sisi wapenda amani tunaomba serikali ya Marekani ichukue hatua Kali sana dhidi ya...
 4. Tlaatlaah

  Gen z wapanga kuharibu nchi yao wenyewe

  vuguvugu la mabadiliko linalochochewa na vijana hususan Africa Mashariki, yaani katika nchi za Kenya, Tanazania, Uganda, Rwanda, Burundi, Somalia, Sudani Kusini, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC, limechukua sura mpya hivi sasa.... mathalani, kuibuka kwa gen z wa Kenya kulichochewa zaidi na...
 5. Kabende Msakila

  Vijana wa Tanzania tutajifunza mengi Kenya lkn siyo maandamano na kuharibu mali

  Uvumilivu hata katika kipindi kigumu Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika. Hii ndiyo misingi ya kujivunia kwa taifa letu. Wakati waziri mmoja anatuambia kuwa asiyetaka tozo ..... Burundi (tulitulia). Lkn pia wakati waziri mwingine...
 6. Robert Heriel Mtibeli

  Namna pekee ambayo wanawake wanaweza kutukomoa wanaume tukaumia au kuharibu future yetu

  Kwema Wakuu! Juzi kuna dada mmoja alinicheki na kuniomba ushauri kuwa afanyeje ili amkomeshe kijana mmoja ambaye kwa madai yake anasema amemkatili. Sisi wanaume wengi wetu hatukomolewi wala kuumizwa na Matusi yenu. Sisi wanaume wengi wetu hatuumizwi wala kukomolewa na maringo au kejeli au...
 7. Lycaon pictus

  Super League(AFL) imekuja kuharibu ushindani wa league za ndani.

  Moja ya sababu kubwa inayofanya timu za ndani kung'ang'ania kushika nafasi za juu ni kucheza mashindano ya kimataifa. Sasa leo CAF wamekuja na mashindono makubwa yanayohusisha timu kutokana na points zao za CAF. Matokeo yake timu inaweza kuwa ya mwisho kwenye ligi yao lakini inaweza kushiriki...
 8. BARD AI

  Mambo Matano yanayochangia Kuharibu Ujasiri na Kujiamini kwa Mtoto

  Kuna mambo kama Wazazi huwa tunafanya kwa watoto bila kujua kama vinawaharibu na kuwashushia kujiamini au kuondoa ujasiri wao katika maisha yao yote. Mambo Matano yanayochangia Kuharibu Ujasiri na Kujiamini kwa Mtoto 1. Kuingilia Uhuru wake kupita kiasi 2. Kumtaja kwa Udhaifu wake (Mzembe...
 9. Mr Why

  Madereva wa kampuni za Usafiri Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara ya usafiri

  Madereva wa Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara hii ya usafiri na endapo kampuni hizi hazitachukua hatua basi zitakufa hivi karibuni -Madereva hawa huwa wanachelewa sana kumfwata mteja -Kuwashusha wateja katikati ya safari na kudai hawafiki hadi mwisho kwasababu watakosa abiria...
 10. GoldDhahabu

  Watu wanaogopa kujaribu mambo mapya?

  Ninazungumzia baadhi ya wenzetu humu jukwaani ambao ama sijawaelewa, au wana "tatizo". Nimeliona hili pindi mtu anapouoandisha uzi ambao una chembe za kifursa. Mathalani , mtu anaweza akawa anaelezea fursa zinazopatikana kwenye shughuli fulani kama kilimo, biashara, n.k. Imeshuhudiwa mara...
 11. Insidious

  KERO Malori yanaegeshwa karibu na makazi ya watu Tabata, yanaharibu barabara na kuvamia maeneo ya wazi

  Kumekuwa na ongezeko ya idadi kubwa ya malori yanayopaki ama kuegeshwa katika mitaa ya tabata mfano; mtaa wa shule ya st.mary’s na NSSF huku malori hayo ikileta maafa yafuatayo; 1. Kuharibu barabara 2. Kuziba njia kwa kupaki vibaya au kuharibika pamoja na kuziba njia zilizokuwepo hapo awali...
 12. R

  Madereva wa Mwendokasi wengi wana msongo wa mawazo. Waziri kaa na hawa watu uwasikilize itapunguza kuharibu magari

  JPM alipoona Mwendokasi Madereva wanadai maslahi alikwenda kuchukua vijana serikalini na JKT akawapa kazi za ulinzi, kukata tiketi,ufundi na udereva. Walioletwa kwa sababu wanawekwa bila sifa wameendelea kujifunza kazi taratibu lakini wakiwa na msongo mkubwa wa mawazo kuhusu lini watapata...
 13. U

  TANESCO watorosha Maji Bwawa la Nyerere, na kuharibu mazao Kwa mafuriko

  Licha ya TANESCO kutoa adhabu ya kugawa Umeme Kwa wananchi wa TANZANIA na kuendeleza mateso hawajaridhika na sasa wameamua kufungulia maji ya bwawa la nyerere na kusababisha mafuriko makubwa na uharibifu wa mazao katika vijiji vilivyopo mkondo wa chini wa bwawa hilo. Maji hayo ambayo...
 14. P

  Ni kwamba nchi ilikuwa na barabara nzuri muda wote mvua za El Nino ndio zimekuja kuharibu?

  Katika kipindi cha maswali na majibu, wakati maswali yakielekezwa kwa Naibu Waziri, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Ndg. Deogratius Ndejembi, wabunge wote wanauliza nini mpango wa serikali baada ya barabara kuharibiwa na mvua za El Nino. Yaani ni kama huko...
 15. Jaji Mfawidhi

  Mkenda kuharibu Elimu Kama Waziri wa Zamani au Kuboresha? Kubadili miaka ya darasani inabadili quality ya elimu?

  Tanganyika tangu mkoloni wa kijerumani mpaka Mkoloni wa Kiingereza elimu yetu ilikuwa bora sana, watu wengi ikiwamo wazungu walikuja kusoma Tanganyika kwenye shule za St.John, St Thomas, St Jude, [Ilboru,Old Moshi, Moshi Technical, Pugu, Minaki, Ifunda] hizi zote ni shule za Wakristo kwakuwa...
 16. Jaji Mfawidhi

  Mapinduzi Cup imeoza, mshindi amepangwa. Rwanda kutoshiriki tena? Simba inatolewa leo kwa Maelekezo?

  Baada ya APR kunyimwa goli lililoonekana ni halali likifungwa na mchezaji Shiboub aliyewahi kuchezea Simba Sports. Baada ya mechi kocha wa APR alilalamika kubebwa waziwazi kwa timu ya nyumbani Mlandege jambo ambalo si la kiuanamichezo na kwa kuzingatia heshima ya mashindano hayo yanayoshirikisha...
 17. F

  CCM imuadhibu Ole Sendeka kwa kuvamia mashamba na kuharibu amani

  Katika hali ya kuishiwa na akili za uongozi, Ole Sendeka ameendelea kusababisha vurugu na kushawishi wananchi kuvamia mashamba ya wawekezaji halali. Baada ya vikao anavyodai vya siri na baadhi ya wanachi ,Jana tarehe 11/12/2023 na leo 12/12/2023 wananchi wa Naberera walienda kuvamia shamba la...
 18. Execute

  Hawa wanajeshi wa uokoaji walipe fidia kwa kuharibu hii hiace pale Katesh

  Kwanini wameamua kuharibu hii gari? Taarifa nilizonazo ni kwamba hiyo gari ilikuwa nzima kabisa na ilikuwa imepaki takribani mita 50 kutoka hapo iliponasa. Yaani mtu kapata hasara ya injini halafu nyie mnakuja kumuongezea hasara ya bodi? Kweli hii gari ingekuwa ya mwanajeshi au polisi...
 19. M

  Nimeamua kuharibu mwili Ili nipate pesa

  Straight to the point. Ni hivi nimeamua kuuharibu mwili Ili nipate pesa kwanza mambo ya "afya ni uhai" kwangu niujinga tu. Sasa wakuu nahitaji kujua mambo manne yafuatayo. 1. Nataka kujua ni energy drink gani nzuri? 2. Nataka kujua nichanganye energy drink na kitu gani Ili nisichoke haraka...
 20. L

  Jaribio la nchi za magharibi kuharibu uhusiano kati ya nchi za BRICS litashindikana

  Mkutano wa 15 wa wakuu wa nchi za BRICS utafanyika kuanzia Agosti 22 hadi 24 mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Hii sio tu itakuwa shughuli kubwa kwa nchi za BRICS, bali pia itatoa fursa zaidi za maendeleo kwa nchi za Kusini duniani. Hata hivyo, nchi za magharibi na vyombo vya habari vimetoa...
Back
Top Bottom