tcu

  1. Roving Journalist

    TCU yaongeza muda wa Udahili wa Shahada ya Kwanza katika Programu zenye nafasi 2024/2025

    1.0 UTANGULIZI Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na wadau wa Elimu ya Juu ndani na nje ya nchi kuwa udahili katika awamu zote mbili kwa ngazi ya Shahada ya Kwanza katika Taasisi za Elimu ya Juu nchini kwa mwaka wa masomo 2024/2025 umekamilika. Majina...
  2. Roving Journalist

    TCU yafungua Dirisha la Udahili kwa vyuo Awamu ya Pili, kuanzia Septemba 3 hadi 21, 2024

    Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na wadau wa Elimu ya Juu ndani na nje ya nchi kuwa Awamu ya Kwanza ya udahili wa Shahada ya Kwanza katika Taasisi za Elimu ya Juu nchini kwa mwaka wa masomo 2024/2025 imekamilika. Majina ya waliodahiliwa katika awamu...
  3. Ngufumu

    Hizi hapa Kozi zaidi ya 40 zinazoweza kusomwa na Muuguzi mwenye Diploma

    Zijue Kozi 40+ za degree ambazo Muuguzi/Nurse wa Diploma anaweza kuzisoma Tanzania kwa mujibu wa Guidebook ya TCU 2024/2025 If your a Nurse Midwifery with an ordinary Diploma save this👇🏾 1. Bachelor of Science in Nursing - MUHAS, UDOM, St. John, Kcmc, KiU, Kairuki, Agakhan, ZU, miaka 2.5 - 4...
  4. Bonsipele69

    Tunawasaidia wanachuo kukamilisha maombi (applications) ya vitu mbalimbali, karibuni

    Hello good morning guys Leo tuna huduma zifuatazo;- 1. Heslb Loan application 2. Tin no application 3. Ajira portal(ajira za ualimu) 4. Birth and death certificate 5 .University application Karibuni kwa huduma 0711406248
  5. A

    DOKEZO Serikali itupie jicho Chuo cha St. Joseph kwa madudu haya

    Kwenda: Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania – TCU 23 Julai 2024 Mimi ni mwanafunzi wa Chuo cha St. Joseph kilichopo Mbezi Luguruni, Dar es Salaam, ambacho kinatoa kozi mbalimbali za sayansi, ikiwemo udaktari. Dhumuni la barua hii ni kuomba Taasisi yako tukufu kutembelea na kufanya ukaguzi wa matatizo...
  6. Roving Journalist

    TCU yafungua dirisha la udahili kwa waombaji wa vyuo vikuu kwa Mwaka 2024/25

    1.0 UTANGULIZI Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na Wadau wote wa Elimu ya juu ndani na nje ya nchi kuwa dirisha la maombi ya udahili kwa waombaji wa Shahada ya Kwanza kwa mwaka wa masomo 2024/2025 limefunguliwa kuanzia leo tarehe 15/7/2024...
  7. The introvert

    𝗧𝗖U Admission Guide Book 𝟮𝟬𝟮𝟰/𝟮𝟬𝟮𝟱

    Rasmi TCU (Tume inayosimamia Vyuo Vikuu Tanzania) imerelease GUIDEBOOK ya Mwaka Huu 2024/2025 itakayowasaidia Wanafunzi Kuchagua Kozi kulingana na Ufaulu wao na kuzingatia Cutting points zilizowekwa na Vyuo Husika. Elimu Kuhusu Usomaji wa TCU guidebook nitaitoa Muda sio Mrefu hili kila mtu...
  8. copyright

    TCU mbona mnapingana na taarifa zenu?

    Wakuu habari ya majukumu! Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Katika Bachelor's Degree Admission Almanac for 2024/25, TCU wametanabaisha kwamba ifikapo tarehe 30/06/2024 wataweka hadharani 2024/25 Admission Guidebook lakini mpaka kufikia leo 08/07/2024 (zaidi ya wiki moja) kwenye website...
  9. Nyafwili

    Vyeti vya Elimu ngazi ya chuo Vitofautishwe Sababu za Kurudia Mwaka na Kuahirisha Masomo, Itasaidia kujua yupi ni kilaza au alipitia ugumu wa kimaisha

    Habari wana jamiiforums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hili bandiko sijagusa Maisha ya mtu/watu. Lakini Kwa njia hii, vyeti vya wanachuo vitoe picha kamili na sahihi kuhusu sababu za muda mrefu wa masomo yao, hii itasaidia kuepusha mkanganyiko kuhusu uwezo wao wa kitaaluma na changamoto...
  10. Aziz ibra

    Msaada: Ufafanuzi wa TCU guide book

    Habari wanaJF, mimi nimemaliza Form Six mwaka huu 2024. Katika pita pita zangu nimekutana na TCU guide book mwaka Jana. Naomba UFAFANUZI kwenye hicho kipengele 👇👇 maana nimesoma sielewi. Natanguliza shukran za dhati 🙏🙏
  11. tpaul

    TCRA na TCU wachukue hatua kali kwa Wasafi TV kutokana na 'kiki' ya mapacha kufanyiana mtihani

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kuna hiki kipande cha video kinachobamba mtandaoni kuhusu mapacha wawili ‘wanaokiri’ hadhrani kufanyiani mtihani ‘chuoni’. Ukisikiliza kwa makini na kwa utulivu wa hali ya juu, utagundua kuwa hawa watu wanaigiza tu. Haiingii akilini watu...
  12. robinson crusoe

    Waziri Mkenda, TCU, na wabunge saidieni wanafunzi wa SUA kuna shida ya maamuzi ya uongozi

    Tufahamishane kwamba, ni kweli takribani nusu ya wanafunzi wa SUA wameshindwa kuhitimu ktk mahafali ya mwezi Novemba 2023 kama ilivyo kawaida ya miaka yote, na wanatakiwa kurudia mitihani baada ya mwaka mzima wa kusubilia mitihani. Sababu kubwa ni maamuzi mabaya ya viongozi wa chuo. Waliamua...
  13. G

    TCU inakwepa majukumu yake kuhusu Postgraduate Studies?

    Habari Members ! Kumekuwa na changamoto ya Baadhi ya vyuo vikuu/Taasisi za elimu kuendesha programu zao za Uzamili(Masters) pasipo Uwazi uliopo baina ya Vyuo vikuu vya Tanzania/baadhi Taasisi husika za elimu na TCU umekaa kimya. 1. Baadhi ya vyuo vikuu/Taasisi za elimu kuendesha masters...
  14. P

    Ushauri na mapendekezo yangu kwa Serikali, TCU na wizara ya elimu

    Habari wana bodi, moja Kwa Moja niende kwenye mada. Dunia ina badilika Kila siku,dunia inahitaji mawazo na uvumbuzi mpya kutokana na jamii husika. Napendekeza Kuwa kuanzia 2024 Mfumo wa kupima Wanafunzi kwa njia ya Test, assignment, quiz na university examination ufutwe mana naona una...
  15. Angyelile99

    TCU tazameni hili

    Kati ya maeneo ambayo bado tunashindwa kuyafanyia kazi ni pamoja na ukaguzi wa elimu ya juu, yaani ngazi ya vyuo vikuu na vyakati. Kama ilivyo kuwa ni ugonjwa komavu wa ukosekanaji wa vifaa saidizi vya kufundishia (teaching aids) kwa shule nyingi sana hapa nchini, hivo hivo imekua ni tatizo kwa...
  16. Pascal Mayalla

    Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?

    Wanabodi, Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!. Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za honoris causa lakini hawakuitwa kwa title za Dr. Lakini Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa aliitwa...
  17. I

    Msaada- Cheti TCU kwa waliosoma nje

    Ndugu yangu anatakiwa kuverify cheti TCU alisoma nje miaka kadhaa nyuma, nchi na chuo vinajuliakana na wamesoma wengi tu huko. Amewasilisha vitu vyote vinavyohitajika anasubiri wampe majibu. Sasa kuna sehemu wanahitaji hiko cheti cha TCU haraka, ili apate ajira, tunaomba msaada kwa anayemjua mtu...
  18. JanguKamaJangu

    TCU yasema hakuna Mwanafunzi atakayelazimishwa kusoma katika chuo ambacho hakitaki

    Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Charles Kihampa Baada ya kuibuka kwa malalamiko kadhaa mitandaoni kuhusu udahili wa Wanafunzi wanaofanya maombi ya kujiunga na Vyuo Vikuu wakati huu ambao dirisha la udahili limefunguliwa, Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetoa...
  19. A

    DOKEZO TCU tunaomba msaada, Chuo cha St. Joseph kinatoza ada na direct costs kwanza ndipo uweze ku-confirm udahili wako

    Leo tarehe 25.08.2023 TCU wametoa majina ya wanafunzi wa kidato cha sita waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali. Kama inavyojulikana, kuna ambao hupata "multiple selections", yani mwanafunzi mmoja anadahiliwa na vyuo zaidi ya kimoja kwa kozi tofauti au kwa kozi ileile. Hii ni stage ambayo...
Back
Top Bottom