Hongera sana Mheshimwa Lissu kwa kuipasulia ukweli mahakama kuhusu kusikiliza kesi za kupikwa. Mheshimiwa Lissu kaiambia mahakama ya kwamba kitu ambacho kilitakiwa kiamuliwe ndani ya wiki Moja, imechukua mwaka na nusu kuamua. Lissu ameyasema hayo katika Hali ya kuonesha masikitiko yake kwa...
Je,
Makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa kwa sasa ana ubavu, nguvu, ushawishi na mikakati ya kisiasa ya kufanya hilo kutokea, ili hatimae kumdhibiti Lema asikatizekatize kwenye 18 za uongozi wake wa matamko na kula bata kwa pesa cha chama?
In fact,
Lema akiendelea kua mjumbe wa kamati kuu ya...
Hatua hiyo itasaidi pakubwa kuimarisha demokrasia, uwazi, utawala bora na utawala wa sheria nchini.
Kufutwa kwa Chadema kama chama cha siasa itakua ni ni fursa muhimu kwa vyama vingine vya siasa kukomaa, lakini pia itakua ni mwanzo mpya wa zama za siasa za kistaarabu Tanzania. Kubwa zaidi...
Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichoko mkoani Arusha kinamilikiwa na KKKT ambacho mkuu wake ni Dr. Alex Malasusa. Chuo hiki kilikuwa kikiongozwa na Prof. Joseph Parsalaw, yule masai alikuwa kiongozi mzuri. Alikuwa mkali penye uzembe, alikuwa mwuungwana na aliyetimiza wajibu wake kwa weledi...
Wanabodi,
Wakati wengi wengi bado tumepigwa shock na bumbuwazi kwa kilichotokea haswa hii double tragedy ya VP. Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi, hili ni bandiko la kuwaelimisha watu na kuwasisitiza tuwe na heshima kwa viongozi wetu, kwasababu licha ya kujiuzulu mwenyewe na kufukuzwa CCM kwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Juni 2, 2026, .
Akizungumza mahakamani hapo, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kuwa walipofika mahakamani waliarifiwa kuwa Lissu alifikishwa kwa ajili ya kesi...
Dunia yote, ukifanya uhalifu, au kutumia gari au kitendea kazi kufanya uhalifu, ili kukomesha tabia za kihalifu, matunda ya uhalifu au kitendea kazi huwa vinataifishwa.
Jiulize, kwa nini PM amekuja leo ati ametumwa kuwa sheria ya kutaifisha mali ifutwe?
Awamu hii wameiba sana, wanaogopa wao au...
Mwanzo wa ngoma lele, hivyo ndivyo tulivyofundishwa.
Sasa hivi ni wazi mzigo wa lawama kwa yaliyotokea Octoba 29, atabebeshwa nani.
Ukitaka kumuua mbwa wanasema sharti umpe jina baya.
Jaji Chande katika ripoti yake kaeleza yaliyotokea yalipangwa, yaliratibiwa na kufadhiliwa. Hii ni hatua...
Kwa jinsi Irani anawatesa Wamerekani na Swahiba wao Muisilaer naona wenda ndiyo ikawa mwisho wa ubabe wa Marekani,maana vita ianendeshwa kama kete kwenye draft tunamuona kila siku trump akilialia huku Irani wakifaidika na Vita
Credit to Hilda Newton (X)
1960, polisi wa Makaburu katika kitongoji cha weusi cha Sharpville nchini Afrika Kusini walifyatua risasi kwa umati wa watu wasio na silaha waliokuwa wakiandamana kwa amani kupinga sheria kandamizi na kuua watu 69 na kujeruhi 186.
Serikali ya Makaburu ilidai kuwa...
Habari zenu ,poleni na majukumu ya kazi.
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu kuna dogo alikuwa alikuwa anasoma bachelor degree mwaka 2023/2024 chuo cha st john lakn alikapiliwa na changamoto za kipato ikafanye afute usajili (diregistration).
Sasa akaomba chuo mwaka huu akapata lakn kwa...
Katika miaka ya karibuni, kumekuwepo na ongezeko la malalamiko kutoka kwa wanafunzi na wazazi kuhusu hatua ya NACTE kufuta matokeo ya baadhi ya wanafunzi bila kutoa sababu za wazi. Hali hii imekuwa ikileta mkanganyiko mkubwa (dilema) hasa kwa wanafunzi wa kozi kama Diploma in Health Information...
Hizi taasisi japo hazina nguvu kali za kidola zimehusika sana kuvuruga mchakato wa mabadiliko, kufifisha na kurudisha nyuma hata jitihada kidogo za kutetea raia, siku moja kama tutafanikiwa kupata demokrasia ya kweli zinapaswa kufutwa kabisa.
1. Jukwaa la Wahariri(TEF)
2. BASATA
3. Chama cha...
Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni inawataarifu wamiliki wa viwanja vya matumizi mbalimbali ndani ya Manispaa hiyo kufanya usafi kwwenye viwanja vyao ndani ya siku saba (7) tangu leo Agosti 07, 2025.
Taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkuu Kitengo cha Mawasiliano wa Manispaa imesema kwamba baada...
Shalom shalom
Wanasayansi wanasema Dunia yetu imeanza kuzunguka kwa kasi zaidi kuliko kawaida. Kwa kawaida, Dunia huchukua sekunde 86,400 kumaliza mzunguko mmoja (siku moja kamili). Lakini hivi sasa, kasi hiyo imeongezeka kidogo sana, kiasi kwamba siku moja inaweza kuwa sekunde chache fupi...
Salamu Ndugu Heche.
Pole sana na majukumu yako, Kwa sasa mmewekwa katika mtego mkubwa, na mtego wenyewe ni kuwa mahakama imetumika kisiasa kuizuia CHADEMA kufanya siasa.
Hili jambo usidhani ni dogo, ni kubwa. Baada ya Madhalimu kuona kuwa hawawezi kuidhibiti CHADEMA kwa kutesa, kununua, kufunga...
Kuna Pimbi wa Lumumba Jana kaja na Uzi ukisema "Gwajima kaangukia Pua Rufaa yake".
Ruling hii maana yake, Mahakama inasema ,Kanisa la The Glory of Christ Tanzania Church hamna Mahali limefungiwa, Wala Kufutwa, Kwa sababu Barua ilosambazwa mitandaoni SIO Barua ilioelekezwa kwenye Kanisa la The...
Serikali ya CCM haipoi na haijawahi kupoa. Ndivyo unavyoweza kusema. Baada ya serikali kulifuta kanisa la Gwajima kwa kuhoji kuhusu utekaji na mauaji yanayoendelea hapa nchini kila kukicha, kanisa la KKKT nalo limeanza kuleta chokochoko kwa kutetea usawa, haki na uwazi kwenye uchaguzi, kutungwa...
Kwa nyakati tofauti, viongozi wa hayo Madhehebu wametoa matamko ya kuikosoa Serikali. Mengine ni makali hata kuzidi ya Askofu Gwajima!
Je! Hayo nayo yatafungiwa kama ilivyofanyika kwa Kanisa la UFUFUO NA UZIMA?
Lipi litatangulia kufungiwa kati ya RC na KKKT?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.