Ahadi za Wabunge Batili, Weka Ahadi ya Mbunge wako na Je aliitimiza?

Makamura

JF-Expert Member
May 19, 2022
356
550
Huyu mbunge wa kawe ambaye alikuwa napesa mingi sana kiko wapi? Kapata ubunge Kawe ni Hovyo barabara chafu, mbovu, miundombinu ni mibaya, wazo yote ila Mungu anawaona wanasiasa aisee

Wale watu wa kawe meli zenu za uvuvi zimeshafika tayali huko 🤔🤔 wale mlioahidiwa kepelekwa uingereza na Marekani mnaendeleaje huko Leicester na California 🤔🤔
 
Mbunge wa Vunjo ni ksti ya mizigo Ccm iliyo tuletea. Haja saidia wala kuonekana Mamba Kusini tangu awe mbunge. Na akitokea mtu kusaidia Mamba kusi i humzuia.
 
MBUNGE WA KIBAMBA,
TUNAMSUBIRI WANANCHI WA MBEZI MSAKUZI - MPIGI MAGOHE MAANA HATUWAHI MUONA TENA TOKA APATE KURA ZETU NA BARABARA AKAPELEKA KWAKE KIBAMBA.
 
Kuna mbunge kwetu aliwahi kuahidi kuwanunulia bodaboda vijana wote watakaosoma hadi kufikia level ya degree jimboni lakini ikabaki story
Kama mliipokea hiyo ahadi nyie ni wajinga sana. Kuendesha bodaboda kunahitaji digrii? Ni dhambi kwa vijana wa taifa hili walio na elimu ya chuo (tertiary education), halafu wanaendesha bodaboda au kulima kwa jembe la mkono au shughuli nyingine kama hizo. Sio dhambi zao kwa vile wao lazima watafute riziki kwa njia yoyote wapate kuishi, lakini ni dhambi kwa viongozi na watunga sera wa taifa hili.
 
Huyu mbunge wa kawe ambaye alikuwa napesa mingi sana kiko wapi? Kapata ubunge Kawe ni Hovyo barabara chafu, mbovu, miundombinu ni mibaya, wazo yote ila Mungu anawaona wanasiasa aisee

View attachment 2902106
Wabunge kazi yao kikatiba ni kuisimamia Serikali na kutunga sheria, kazi ya Mbunge sio kuleta Maendeleo, hizi ni hadaaa, na wajinga kama wewe mnaingia king.

Mbunge anawambia atatoa ajira na nyie mlivyo mazezeta mnashangilia
 
Mbunge wa Vunjo ni ksti ya mizigo Ccm iliyo tuletea. Haja saidia wala kuonekana Mamba Kusini tangu awe mbunge. Na akitokea mtu kusaidia Mamba kusi i humzuia.
Kazi ya Mbunge kikatiba sio kuleta maendelea kama hakuna maendelea hapo muulize Mkrugenzi wa Halimashauri. Mbuge anasimamia Serikali na kutunga sheria.

Mnadanganywa kipimbi sana
 
MBUNGE WA KIBAMBA,
TUNAMSUBIRI WANANCHI WA MBEZI MSAKUZI - MPIGI MAGOHE MAANA HATUWAHI MUONA TENA TOKA APATE KURA ZETU NA BARABARA AKAPELEKA KWAKE KIBAMBA.
Kamuulize Mkurugenzi wa Halimashauri yako, Mbuge haleti maendeleo,Taifa limejaa wajinga sana
 
Wabunge wanacheza na akili za wajinga katika Taifa hili.Ujinga ni mtaji mkuu wa wanasiasa.

Mbunge anawaambia atatoa ajira azitoe wapi? cha ajabu hadi Diwani unakuta anawahadaaa wajinga kwamba atatoa ajira.

Nchi imejaa wajinga mno na hawa ndio mtaji mkuu wa wanasiasa
 
Peleka Mat..ko huko...,Mkurungenzi ndiye anaenda Bungeni kuwakilisha shida/kero za wananchi.
Angalia ulivyo mjinga nyie ndio mtaji wa wanasiasa, kasome majukumu ya Mbunge, Hilo la maendeleo sio moja wapo. Nchi imejaaa wajinga sana. Wanawahadaa wajinga kama wewe hapo.
 
Peleka Mat..ko huko...,Mkurungenzi ndiye anaenda Bungeni kuwakilisha shida/kero za wananchi.
Endeleeni kuwa mtaji, Mwakani huko kwenu mtapata mgombe mpya naye atakuja na swagwa za kuwaletea maendelea mmchague. Wajinga nyie
 
Back
Top Bottom