Kama mnakipenda chama chenu na nchi hii sehemu pekee iliyobaki ni hapa.
Mtumieni salamu ajuwe hamjapendezwa na kitendo alichokifanya.
Huwezi kumfukuza mtu uanachama eti kwa sababu anataka tupate katiba mpya. Mkizubaa huyu bibi atawatesa sana. Kazi kwenu sasa mkubali kuwa mateka au muamue kuresist.
Wabunge wa CCM wanajua kuperemba kweli. Tangu atunukiwe shahada za heshima za udaktari, sasa kila sentensi inaanza na kuishia kwa 'Daktari Mbobevu Samia'. Heshima ipo, lakini shobo nayo imezidi kidogo!"
Kwa mwendo huu, muda si mrefu tutaanza kusikia Profesa wa Maprofesa!"
"Waheshimiwa wabunge, kuna kundi lingine la utoro ndani ya bunge. Mtu anakuja asubuhi, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani kwake. Anakuja jioni, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani kwake. Huu ni utoro vilevile. Kuna wengine wanachukua nafasi ya kutokuwepo, lakini wenzao kuwasainia...
Hakuna sababu hata moja ya kuvumilia wanachama wa CCM hususani wabunge wasio na adabu kwa mamlaka za nchi, na kuendelea kuachwa tu akidunda kama mwana ccm, hali ya kua amezua taharuki, amefanya uchochezi na kutoa kashfa nzito za uzushi dhidi ya viongozi wetu wa kitaifa.
Hili halikubaliki hata...
Kumbukumbu yaonyesha kwama yale maneno ya tume kama
1. Wanajiteka
2. Wanatekana sababu mapenz
3. Wameenda kutafuta maisha
4. Hakuna utekaji
5. Walilipwa kuandamana
6. Namengineyo
Soma pia PostGE2025 - Jaji Chande: Kati ya watu 758 waliopotea wengine walijiteka kutokana na sababu kama mapenzi...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kasulu Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Martina Mturano, amejinadi mbele ya wananchi wakati wa ziara za kampeni zilizoongozwa na aliyekuwa Kiongozi wa Chama hicho, zilizofanyika katika eneo la Stendi Mpya, Kasulu Mjini mkoani Kigoma, Oktoba 8, 2025
Mturano...
Wanachama wote , milokatwa katika nafasi mbalimbali za kuwania Ubunge , msivunjike Moyo.
There's so many opportunities in Ccm.
Tutakula Sana, hii ni nyama ya Tembo hauwezi kuimaliza MTU mmoja .
Katika kile kinachoonekana kama mabadiliko ya upepo wa kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wabunge kadhaa waliokuwa wakitetea nafasi zao wamejikuta wakitemwa na wajumbe wa chama hicho katika kura za maoni zilizofanyika Agosti 4, 2025, katika maeneo mbalimbali ya Tanzania.
Ingawa...
Nianze kwa kumpongeza mwenyekiti wetu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapa nguvu Wajumbe waamue viongozi wanaowataka kupitia kura. Hongera sana mwenyekiti wetu Samia kwa kuongoza chama chetu kwa akili kubwa na maono makubwa.
Wajumbe wameshachagua wabunge na...
Fuatilia mijadala yao Bungeni kwa ujumla utaona kuwa wapo kwa ajili ya kupata posho na mshahara tu.
Mbunge anaropoka hovyo kuwa Watu washughulikiwe kwa kutekwa! Mbaya Zaidi anakazia kuwa Waanziwe wana CCM baadae wapinzani na wasio wapinzani.
Msukuma hovyo kabisa...
Bunge hili ni lile ambalo...
Yaan Mambo ya Msingi huwezi kuwakuta wanajadili, ila wako tayari kumzomea LUAGA MPINA, Gambo wanapojadili masuala mapana ya Nchi hii!!.
Mnakumbuka kile kipindi suala la ushoga linajadiliwa sana Bungeni, Kila Mbunge Kilaza ambaye hajawahi kuongea , ndio ilikua nafasi yake ya kusimama na kuongea...
Wengi wanalalamika sana. Kuwa huu ni ubaya na utaratibu huu sio ridhaa ya wanaCCM majimboni.
Wanahoji kwa nini majina matatu yatoke Dodoma na kisha ndio yapigiwe kura?
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema wabunge ambao hawakufanya vizuri katika majimbo yao wala kurudi kwa wananchi watambue Chama kuwa hakitakuwa ba namna ya kuwasaidia kwa sababu walipewa nafasi wakashindwa kuzitumia.
Akizungumza na wanachama na viongozi wa Chama katika Wilaya Sikonge mkoani...
Hamfai na hamna sifa ya kurudi. Hilo mnalithibitisha wenyewe ndani ya bunge.
Kila anayezungumza anasifia kila jambo kuwa Rais Samia kafanya yeye sasa nyie mmefanya nini kutumiza wajibu wenu? Msije mkasema wajibu wenu ni kupiga makofi kwa kila kiletwacho na serikali.
Yale ya wajibu wenu...
WABUNGE wa CCM walalamikia utaratibu mpya uliotangazwa na Chama cha Mapinduzi wa kuchukua fomu kuanzia tarehe 1 Mei 2025 tofauti na miaka yote ambapo mchakato wa kura za maoni huanza baada ya kuvunjwa Bunge na kueleza kuwa katika kipindi hicho itafika siku Bunge litakosa Mbunge hata mmoja kwani...
Wanaokusudia kutetea nafasi zao kwa kutegemea pesa, bila kua na hoja mahususi, kuibua au kuchangia mijadala yenye maslahi mapana kwa wananchi wao majimboni na Taifa kwa ujumla, hali ya thank you iko wazi kabisa miongoni mwao kutoka kwa wananchi wanao wawakilisha.
Na wote hao watakua replaced na...
Ni wabunge gani waliopo bungeni wamehudumu kwa muda mrefu zaidi?
Nani anashikilia rekodi ya kuhudumu kwa muda mrefu zaidi? Muda wa wastani wa mbunge kuhudumu ni miaka mingapi?
Hawa wakina Job Ndugai, Zungu, Shabiby, Olesendeka,na Simbachawene mbona hawaongolewi hawa tangu 2005 ni wabunge hawataki kung,atuka
kama ni CCM ni wapenda demokrasia mbona wamekalia viti.
Why double standard kwa Freeman Mbowe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.