washauri

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. technically

  Rais Samia bado anapotoshwa, hajapata washauri wenye weledi

  Rais bado ananua ndege cash wakati uchumi unapumlia mashine? Rais anakopa kujenga madarasa ambayo hayalipi Kodi Wala kulipia mikopo. Unakopa pesa ili kununua barakoa seriously pesa za kulipa huo mkopo zitatoka wapi? Unatakiwa kukopa kutengeneza project kubwa kama SGR na Bwawa la umeme Rufiji...
 2. P

  Mheshimiwa Rais kuongelea mno jinsia yake pengine ni kukosa washauri wa dhati na wa maana

  Mwanzoni nilidhania ni suala la muda tu kwa Rais Samia kuongelea 'uanamke' wake. Nilidhani ni sehemu ya udhaifu wake kuzungumzia wanawake ni kunyanyasika kwao, nikaona ni suala la muda tu atakuja kuachana na udhaifu huu wenye ukakasi masikioni mwa watu haswa wanaume. Ikaja hotuba ya pili, ikaja...
 3. Memento

  #COVID19 Madaktari waishauri Serikali chanjo ya Corona kuwa ya lazima

  Madaktari wameishauri Serikali chanjo ya Corona iwe lazima. Si jambo baya na wapo sahihi kwa kuwa wao ni wataalamu. Serikali haipaswi kukataa ushauri wowote wa wataalamu kwa maana mambo yakienda ndivyo sivyo watakuwa hawana wa kumwajibisha. Hivyo ushauri uzingatiwe pia. Na mimi binafsi Sina...
 4. Nyani Ngabu

  Washauri wa Rais Samia ni akina nani?

  Kuna hii ‘narrative’ inayoendelea sasa hivi kuwa Rais Samia anashauriwa vibaya. Kila jambo linaloonekana kwenda mrama, lawama wanapewa hao washauri wake! Yeye hakosei [kwa maneno yake mwenyewe aliwahi kunena kuwa Rais hakosei]. Ikitokea kuonekana kafanya makosa, wapenzi wake wanakimbilia...
 5. MSAGA SUMU

  Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na kufanya mazunguzmo na Tony Blair

  Samia Suluhu akutana na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair. Taarifa zaidi
 6. Saint Ivuga

  Ushauri kwa Rais na washauri wake: Anzisha vipindi vya televisheni kusikiliza kero za wananchi na kupokea simu zao

  Ushauri kwa Rais na watu wake, hii itasaidia sana kusikiliza kero za Tanzania nzima kwa wakati mfupi. Anaweza kuwa live kwenye TV na radio. Kuliko sasa hivi anatupotezea muda bara barani anafunga bara bara na ni hatari kwake. Hakuna mkuu wa wilaya au mkoa anayeweza kuzuia mwananchi asipeleke...
 7. Msanii

  Rais Samia Suluhu, stuka kabla hawajakuingiza mkenge

  Mwaka 2015 niliandika maoni yangu hapa JamiiForums kumshauri Hayati JPM mara baada ya kuapishwa kushika nafasi ya Urais wa Tanzania. Pamoja na kelele zinazopigwa hapa na pale lakini haiondoi ukweli kwamba wewe ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa...
 8. OKW BOBAN SUNZU

  Wanawake wengi wameshikiwa akili na washauri wa mitandaoni?

  Sijui kama ni mfumo wa maisha umebadilika au lah. Kumeibuka kundi kubwa la washauri wa mambo ya mahusiano huko mitandaoni hususasi facebook. Baadhi yao wanatumia majina ya Iddi Makengo, Chrisa Mauki na wengine wengi Tatizo langu sio hao washauri, bali ni hawa baadhi ya watu wanaopeleka...
Top Bottom