Katika mkutano wa hadhara wa Chama cha ACT Wazalendo wa Septemba 11, 2026, uliofanyika Kata ya Dutwa, Jimbo la Bariadi mkoani Simiyu, mwananchi Fulani amesimama na kumhoji Katibu Mkuu wa chama hicho ambaye pia ni Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, kuhusu sababu za yeye kuendelea kubaki...
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeanza rasmi maandalizi ya utekelezaji wa majukumu yake.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 24, 2026 jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa...
Akizunguma kwenye mahojiano na M & S podcast yaliyorushwa Agosti 13, 2026, Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema rushwa ni tatizo kubwa katika mchakato wa uchaguzi, akidai kuwa katika uchaguzi uliopita baadhi ya watu waliteuliwa kwa sababu ya kuwa na fedha na uwezo wa kugawa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amedai kuwa alishawishiwa kupewa fedha ili akubali chama hicho kiingie kwenye uchaguzi.
Heche ameyasema hayo wakati akihojiwa na Clouds TV, akieleza kuwa chama hicho kinapigania demokrasia na kwamba demokrasia hiyo inapaswa kuanza ndani ya chama...
https://www.youtube.com/watch?v=lTwq-sOG2Is
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Ikulu jijini Dar es Salaam...
Kama ambavyo ilitokea kabla na katika uchaguzi mkuu wa oct.2025, wenye misimamo ya vyama vyao ikiwa ni pamoja na kususia uchaguzi mkuu walipuuzwa. Nadahni ni muhimu sana kama taifa kusonga mbele katika utaratibu huo huo kwamba atakae suasia au kuja na mashariti ya chama chake kuelekea maridhiano...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ametetea uhalali wa serikali iliyopo madarakani na matokeo ya uchaguzi mkuu, akieleza kuwa vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi zilianza tarehe 29 usiku baada ya wananchi wengi kote nchini kuwa tayari wameshapiga kura...
Wawakilishi wa Azaki Tanzania, Julai 16, 2026, wamesema kuwa hali ya usalama, amani, haki na uwajibikaji nchini imekuwa tete tangu kukamilika kwa Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025. Walibainisha kuwa mivutano ya kiusalama na ukiukwaji wa haki za binadamu umechochewa na hatua za watawala...
Salum Mwalimu aliyekua Katibu Mkuu wa CHAUMMA na Mgombea Urais wa chama hicho 2025, akizungumza kupitia kipindi cha One on One cha Wasafi TV amesema kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwenye kampeni chama kilitumia milioni 400
Tumetumia kama shilingi milioni 400 hivi".
"Tulilazimika kutumia...
Ukishinda uchaguzi kwa kwa 98% maana yake unakubalika. Yaani wananchi wanakukubali na utendaji kazi wako unakubalika.
Nashangaa huyu kiongozi wetu kushinda uchaguzi kwa 98% alafu mitaani kila raia anaonyesha chuki dhidi ya serikali yake. Na hata kila jambo analolifanya hakuna anayelikubali...
Wakuu;
Ukitoa lile la Maraidhiano ambalo Serikali na CCM wameamua kulibeba na kutumia chawa na kupe wao kusambaza, haya ni mambo mengine manne ambayo wakiyafanya na baada ya Marekani kuthibitisha kuwa kweli yamefanyika ndio wataondoa vikwazo vyao na kuendelea kushirikiana na Tanzania...
(1)...
Wakuu,
Script ni ile ile yaani, serikali ikivurunda badala ya kutafuta njia ya kutatua tatizo yenyewe ndio kwanza inamwagia Petroli kwenye moto!
Bado Tanzania wana machungu juu ya kilichotokea, upande wa Magharibi wanaendelea kutupiga nyundo kila siku, serikali na CCM wako bize kulipa online...
Wakuu,
Yaani akisimama nchale akikaa nchale, hakuna kupumbua, ni mwendo wa kula mabanzi back to back mpaka kieleweke!
Ila haya yote ameyataka mwenyewe, kila kitu ameshauriwa lakini wapiii, sikio la kufa! Hapo bado hujaangalia upinzani wa ndani. Badala yake anajaza watu wa nyumbani kwenye...
Chadema kwa ujinga wao tu bila kuzuiwa na yeyote waliamua kutoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025.
Waliamua kutosaini kanuni za uchaguzi, ilhali vyama vingine 18 vilisaini na kushiriki uchaguzi.
Baada ya kujinyima haki hiyo wenyewe kwa mahaba yao, wameamua kuita kila kitu ni haramu,
Wanataka...
Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Othman Chande
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, (Maarufu tume ya Jaji Chande) inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake rasmi leo Alhamisi, Aprili 23, 2026 kwa Rais Samia Suluhu.
Siku ya Uchaguzi Mkuu, Oktoba...
RAIS SAMIA AKUTANA NA WAGOMBEA URAIS WA TANZANIA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, jana tarehe 31 Machi, 2026, alikutana na wagombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira amewataka viongozi na makada wa chama hicho kuachana na vinyongo na hasira iliyosababishwa na uchaguzi mkuu uliopita na badala yake waunganishe nguvu katika kuijenga nchi.
Wasira amesisitiza kuwa viongozi wanaoomba kuchaguliwa katika nyadhifa za...
Serikali ya Uingereza imeifikisha Tanzania katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), ikitaka kufanyika kwa uchunguzi huru na wa kina kufuatia kile ilichokiita "ukatili wa kushtua" uliotokea baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, ikiwemo tuhuma za mauaji ya kinyume cha sheria na...
Ya kweli haya ndugu zangu?
Kila kitu pipo shwari baada ya uchaguzi? Mambo yamerejea kama kawaida na uchumi umekua?
=====
"Tanzania tuko watulivu na tuko sawa. Kisiasa, kila kitu kiko chini ya udhibiti baada ya uchaguzi wetu wa Oktoba. Sasa nchi imerejea katika hali ya kawaida na tunaendelea...
Kuzimwa kwa intaneti wakati wa uchaguzi mkuu kuanzia Oktoba 29 hadi Novemba 3, 2025 kumesababisha hasara inayofikia zaidi ya dola milioni 250, sawa na shilingi za Tanzania bilioni 637.8
Hayo yamebainishwa kwenye Ripoti ya Tathmini ya Utawala wa Mtandao 2025, iliyochambua uadilifu na uhuru wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.