Katibu Mkuu ADC: Tulipanga kufanya maandamano kuunga mkono miswada ipitishwe kuwa sheria lakini CHADEMA wakatuwahi

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
397
993
Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo akiwa kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya upinzani ambao hawana wabunge amesema wao walikuwa wamejipanga kufanya maandamano ya muswada wa vyama vya siasa pamoja na Tume ya Uchaguzi irudi bungeni kwa mara ya pili na ya tatu ipite kuwa sheria lakini CHADEMA waliwawahi.

Hapo vipi Wakuu?
 
Attachments

  • 1705490246917.png
    1705490246917.png
    91.2 KB · Views: 1
Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo akiwa kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya upinzani ambao hawana wabunge amesema wao walikuwa wamejipanga kufanya maandamano ya muswada wa vyama vya siasa pamoja na Tume ya Uchaguzi irudi bungeni kwa mara ya pili na ya tatu ipite kuwa sheria lakini CHADEMA waliwawahi.

Hapo vipi Wakuu?

Bado ccm inatumia mbinu za kizamani sana. Hayo matawi yake ndio wanadhani watatupoteza maboya.
 
Attachments

  • 1705490283267.png
    1705490283267.png
    82.8 KB · Views: 2
Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo akiwa kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya upinzani ambao hawana wabunge amesema wao walikuwa wamejipanga kufanya maandamano ya muswada wa vyama vya siasa pamoja na Tume ya Uchaguzi irudi bungeni kwa mara ya pili na ya tatu ipite kuwa sheria lakini CHADEMA waliwawahi.

Hapo vipi Wakuu?
Kwa hiyo CHADEMA waliwaweka JWTZ mabarabarani hadi wakashindwa kuandamana kushajihisha hoja zao?Muda mwingine wawe wanatafakari kitu halisi kilichowakwamisha na si kusingizia hoja mfu!
 
Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo akiwa kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya upinzani ambao hawana wabunge amesema wao walikuwa wamejipanga kufanya maandamano ya muswada wa vyama vya siasa pamoja na Tume ya Uchaguzi irudi bungeni kwa mara ya pili na ya tatu ipite kuwa sheria lakini CHADEMA waliwawahi.

Hapo vipi Wakuu?
Huyo ni mwakilishi wa vyama vinavyopo kwenye payroll ya ccm
 
Ndiyo maana hoja yao kubwa kwenye Kikosi Kazi ilikuwa Ruzuku kwa vyama vyote vya siasa ....!!

Yaani serikali ilipe ruzuku kwa vyama vya mfukoni. Si wachukue huko huko CCM wanaowafanyia kazi.
Umemaliza kazi yoote
 
Back
Top Bottom