Uchaguzi 2025 : Sauti Yako Katika Uchaguzi, Tuchambue Mapambano Ya Rais, Wabunge, na Madiwani - Maoni, Utabiri, Na Mjadala!

Nyafwili

JF-Expert Member
Nov 27, 2023
2,773
6,881
.Kwa mujibu wa kalenda ya uchaguzi wa Tanzania, uchaguzi wa Rais, Wabunge, na Madiwani unafanyika kila baada ya miaka mitano. Hivyo, uchaguzi wa Rais 2025 unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba, ingawa tarehe inaweza kubadilika kulingana na ratiba rasmi itakayotolewa na mamlaka husika.

(b) Mwaka 2025 unakaribia haraka na uchaguzi wa Rais, Wabunge, na Madiwani utaleta maamuzi muhimu kwa mustakabali wa nchi yetu. Huku tukiona baadhi ya vyama vikiendelea kumwaga sera zao tararibu tararibu. Hii ni fursa yako kutoa sauti yako! Tuje pamoja kuchambua wagombea, kujadili sera, na kubadilishana maoni kuhusu mwelekeo wa Tanzania. Sio tu kuchagua, bali pia kufanya maamuzi sahihi kwa siku zijazo. Sauti yako ni muhimu - toa maoni yako na uchangie kujenga mustakabali wa taifa letu. Kushiriki katika uchaguzi kuna faida ambazo :-

Kuwa na Sauti : Kwa kupiga kura, unachangia kuchagua viongozi na kushiriki katika maamuzi muhimu kuhusu mustakabali wa nchi yako.

Kuimarisha Demokrasia : Kushiriki katika uchaguzi ni sehemu muhimu ya mchakato wa kidemokrasia. Inaimarisha mfumo wa serikali kuwa wa uwazi na kutoa nafasi kwa wananchi kuchangia.

Kutimiza Wajibu wa Kiraia : Kupiga kura ni njia mojawapo ya kutimiza wajibu wa kiraia. Inaonyesha kujitolea kwako kwa jamii na nchi yako.

Kuhamasisha Mabadiliko : Kwa kuonyesha ushiriki wako, unaweza kuhamasisha wengine kujiunga na mchakato huo wa kuchagua viongozi na kuleta mabadiliko.

Kupata Haki : Kupiga kura ni haki yako ya msingi katika demokrasia. Kwa kushiriki, unatumia haki yako kutoa maoni yako kuhusu jinsi nchi inavyopaswa kuendeshwa.

Kuwajibisha Viongozi : Kwa kushiriki, unawawezesha viongozi kujua kwamba wanahitaji kufanya kazi kwa bidii kwa maslahi ya wananchi ili kuendelea kuwa na imani ya wapiga kura. Kwa ujumla, kushiriki katika uchaguzi ni njia muhimu ya kuchangia katika mchakato wa kidemokrasia na kujenga jamii inayowajibika.

• Kifungu cha 10(1)(d) cha Sheria ya Vyama vya Siasa namba 5 ya mwaka 1992 kikisomwa pamoja na Kifungu cha 6(d) cha Sheria ya Marekebisho ya Vyama vya Siasa Namba 7 ya 2009 kinasema:

“Hakuna Chama cha Siasa kitakachostahili kusajiliwa isipokuwa 10(1)(d), kimewasilisha kwa Msajili eneo la ofisi yake kuu ndani ya Jamhuri ya Muungano, na anuani ya posta ambayo matangazo na mawasiliano mengine yanaweza kutumwa. (6(d) imewasilisha kwa Msajili mahali ilipo ofisi yake kuu na ofisi yake ndogo kwa msingi kwamba, kama ofisi kuu itaanzishwa Tanzania Bara, ofisi hiyo ndogo itaanzishwa Tanzania Zanzibar. Vyama vilivyo sajiliwa na vitakavyo shiriki uchaguzi mpaka sasa ni :-

1. Nambari 0000001 :
. Chama cha Mapinduzi (CCM)
. Usajili : Tarehe 01 Julai, 1992
. Mwenyekiti : Mh. Samia Suluhu Hassan

2. Nambari 0000002 :
. The Civic United Front (CUF)
. Usajili : Jan 21, 1993
. Mwenyekiti : Mh. Profesa Ibrahim Haruna Lipumba.

3. Nambari 0000003 :
. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
. Usajili : Jan 21, 1993
. Mwenyekiti : Mr. Freeman Aikael Mbowe

4. Nambari 0000004 :
. Umoja wa Demokrasia wa Vyama Vingi (UMD)
. Usajili : Jan 21, 1993
. Mwenyekiti : Mr. Mohammad Omari Shaame.

5. Nambari 0000005 :
. Mkataba wa Kitaifa wa Ujenzi na Mageuzi (NCCR-Mageuzi)
. Usajili : Jan 21, 1993
. Mwenyekiti : Mr. Haji Ambari Khamis

6. Nambari 0000006 :
. Ligi ya Taifa ya Demokrasia (NLD)
. Usajili : 21 Jan 1993
. Mwenyekiti : Mr . Mfaume Khamis Hassan

7. Nambari 0000008 :
. United Peoples Democratic Party (UPDP)
. Usajili : 4 Feb, 1993
. Mwenyekiti : Mr. Twalib Ibrahim Kadege

8. Nambari 0000009 :
. Muungano wa Kitaifa wa Ujenzi (NRA)
. Usajili : 8 Feb, 1993
. Mwenyekiti : Mr. Khamis Faki Mgau

9. Nambari 00000011 :
. African Desmocratic Alliance Party (ADA-TADEA)
.Usajili : 5 April, 1993
. Mwenyekiti : Mr. Juma All Katib

10. Nambari 00000012 :
. Tanzania Labour Party (TLP)
. Usajili : 24 Nov, 1993
. Mwenyekiti : Mr Hamad Mkadam Rajab

11. Nambari 00000013 :
. United Democratic Party ( UDP)
. Usajili : 24 Machi 1994
. Mwenyekiti : Mr . John Momose Cheyo

12. Nambari 00000053:
. Chama cha Demokrasia Makini (MAKINI)
. Usajili : 15 Nov , 2001
. Mwenyekiti : Mr . Mohamed Ally Abdullah

13. Nambari 00000057 :
. Democratic Party ( DP)
. Usajili : 7th June 2002
. Mwenyekiti : Mr. Philipo John Fumbo

14. Nambari 00000066 :
. Sauti Ya Umma ( SAU)
. Usajili : 17th Feb 2005
. Mwenyekiti : Ms. Bertha Nkango Mpata

15. Nambari 00000067 :
. Alliance For African Farmers Party ( AAFP)
. Usajili : 3 Nov, 2009
. Mwenyekiti : Mr Said Soud Said,

16. Nambari 00000079 :
. Chama cha Kijamii (CCK)
. Usajili : 27th Jan , 2015
. Mwenyekiti : Mr. David Daudi Mwaijojele,

17. Nambari 00000080 :
. Muungano wa Mabadiliko ya Kidemokrasia (ADC)
. Usajili : 20 Augusti 2012
. Mwenyekiti : Mr. Hamad Rashid Mohamed,

18. Nambari 00000081 :
. Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)
. Usajili : 4 Juni, 2013
. Mwenyekiti : Mr. Hashim Rungwe Spunda,

19. Nambari 000000083 :
. Muungano wa Mabadiliko na Uwazi (ACT- Wazalendo)
. Usajili : 5th may, 2014
. Mwenyekiti : Mr. Juma Duni Haji,

"Uchaguzi 2025! Je, unadhani ni nini kitakachosukuma mwelekeo wa nchi yetu? Toa maoni yako, changia mawazo, na tujadili pamoja. Sauti yako ni muhimu! Karibu uwe sehemu ya mjadala."
 
Huu Uzi utafutwa Sasa hivi. Maana mods hawataki Uzi wa hivi.

Ni hivi, Tanzania hakuna uchaguzi Bali maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Ni mtu mjinga tu, au anayefaidika na chaguzi hizi za kihayawani anaweza kupoteza muda wake kupanga mstari eti anachagua viongozi.
 
Huu Uzi utafutwa Sasa hivi. Maana mods hawataki Uzi wa hivi
🤔🤔, nitawashangaa sana, hao Moderators.

Ni hivi, Tanzania hakuna uchaguzi Bali maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura
Mkuu, huoni sasa kuwa huu ndo mda muafaka wa kufanya maamuzi yaliyo sahihi, hasa katika viti vya ubunge.
 
Huu Uzi utafutwa Sasa hivi. Maana mods hawataki Uzi wa hivi.

Ni hivi, Tanzania hakuna uchaguzi Bali maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Ni mtu mjinga tu, au anayefaidika na chaguzi hizi za kihayawani anaweza kupoteza muda wake kupanga mstari eti anachagua viongozi.
UZI SASA UFUNGWE TU..
 
Huu Uzi utafutwa Sasa hivi. Maana mods hawataki Uzi wa hivi.

Ni hivi, Tanzania hakuna uchaguzi Bali maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Ni mtu mjinga tu, au anayefaidika na chaguzi hizi za kihayawani anaweza kupoteza muda wake kupanga mstari eti anachagua viongozi
Mpaka hapa napendeza kusisitiza kuwa uzi ufungwe rasmi. TANZANIA HAKUNA UCHAGUZI, TUNAPOTEZEANA MUDA.
 
🤔🤔, nitawashangaa sana, hao Moderators.

Mkuu, huoni sasa kuwa huu ndo mda muafaka wa kufanya maamuzi yaliyo sahihi, hasa katika viti vya ubunge.
Mkuu anzisha chama ukachukue hivyo viti vya ubunge, ndio utajua ni kwa kiwango gani chaguzi zetu ni za kipuuzi.
 
Mpaka hapa napendeza kusisitiza kuwa uzi ufungwe rasmi. TANZANIA HAKUNA UCHAGUZI, TUNAPOTEZEANA MUDA.
Usiewe mvivu na mwenye kukata tamaa kiasi hicho mkuu, Maisha bora hayapigiwi magoti, ni mjadala wa mda mrefu.
 
Usichanganye kukata tamaa na kupuuza. Watu wamepuuza uchaguzi maana hauna tija, wanatafuta njia nyingine ya kupata viongozi wa kweli, sio huo uhayawani.
 
Mkuu anzisha chama ukachukue hivyo viti vya ubunge, ndio utajua ni kwa kiwango gani chaguzi zetu ni za kipuuzi.
. 😟😟 Vyama vilivyopo vinatosha mkuu, Sema jamii yetu inatabia ya kusahau mambo haraka sana(hata kama wametendewa vibaya kiasi gani) . Hivyo wananchi wanahitaji kuelimishwa faida za kiongozi bora katika muskabali wa maendeleo ya taifa.

. Unajua hata kama ni mwizi wa kura kiasi gani, Hata uibe vipi, utadondoka tu.
 
Usichanganye kukata tamaa na kupuuza. Watu wamepuuza uchaguzi maana hauna tija, wanatafuta njia nyingine ya kupata viongozi wa kweli, sio huo uhayawani.

wanatafuta njia nyingine ya kupata viongozi wa kweli, sio huo uhayawani.
Utapaje viongozi wa kweli bila kupiga kura mkuu,,
 
.Kwa mujibu wa kalenda ya uchaguzi wa Tanzania, uchaguzi wa Rais, Wabunge, na Madiwani unafanyika kila baada ya miaka mitano. Hivyo, uchaguzi wa Rais 2025 unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba, ingawa tarehe inaweza kubadilika kulingana na ratiba rasmi itakayotolewa na mamlaka husika.

(b) Mwaka 2025 unakaribia haraka na uchaguzi wa Rais, Wabunge, na Madiwani utaleta maamuzi muhimu kwa mustakabali wa nchi yetu. Huku tukiona baadhi ya vyama vikiendelea kumwaga sera zao tararibu tararibu. Hii ni fursa yako kutoa sauti yako! Tuje pamoja kuchambua wagombea, kujadili sera, na kubadilishana maoni kuhusu mwelekeo wa Tanzania. Sio tu kuchagua, bali pia kufanya maamuzi sahihi kwa siku zijazo. Sauti yako ni muhimu - toa maoni yako na uchangie kujenga mustakabali wa taifa letu. Kushiriki katika uchaguzi kuna faida ambazo :-

Kuwa na Sauti : Kwa kupiga kura, unachangia kuchagua viongozi na kushiriki katika maamuzi muhimu kuhusu mustakabali wa nchi yako.

Kuimarisha Demokrasia : Kushiriki katika uchaguzi ni sehemu muhimu ya mchakato wa kidemokrasia. Inaimarisha mfumo wa serikali kuwa wa uwazi na kutoa nafasi kwa wananchi kuchangia.

Kutimiza Wajibu wa Kiraia : Kupiga kura ni njia mojawapo ya kutimiza wajibu wa kiraia. Inaonyesha kujitolea kwako kwa jamii na nchi yako.

Kuhamasisha Mabadiliko : Kwa kuonyesha ushiriki wako, unaweza kuhamasisha wengine kujiunga na mchakato huo wa kuchagua viongozi na kuleta mabadiliko.

Kupata Haki : Kupiga kura ni haki yako ya msingi katika demokrasia. Kwa kushiriki, unatumia haki yako kutoa maoni yako kuhusu jinsi nchi inavyopaswa kuendeshwa.

Kuwajibisha Viongozi : Kwa kushiriki, unawawezesha viongozi kujua kwamba wanahitaji kufanya kazi kwa bidii kwa maslahi ya wananchi ili kuendelea kuwa na imani ya wapiga kura. Kwa ujumla, kushiriki katika uchaguzi ni njia muhimu ya kuchangia katika mchakato wa kidemokrasia na kujenga jamii inayowajibika.

• Kifungu cha 10(1)(d) cha Sheria ya Vyama vya Siasa namba 5 ya mwaka 1992 kikisomwa pamoja na Kifungu cha 6(d) cha Sheria ya Marekebisho ya Vyama vya Siasa Namba 7 ya 2009 kinasema:

“Hakuna Chama cha Siasa kitakachostahili kusajiliwa isipokuwa 10(1)(d), kimewasilisha kwa Msajili eneo la ofisi yake kuu ndani ya Jamhuri ya Muungano, na anuani ya posta ambayo matangazo na mawasiliano mengine yanaweza kutumwa. (6(d) imewasilisha kwa Msajili mahali ilipo ofisi yake kuu na ofisi yake ndogo kwa msingi kwamba, kama ofisi kuu itaanzishwa Tanzania Bara, ofisi hiyo ndogo itaanzishwa Tanzania Zanzibar. Vyama vilivyo sajiliwa na vitakavyo shiriki uchaguzi mpaka sasa ni :-

1. Nambari 0000001 :
. Chama cha Mapinduzi (CCM)
. Usajili : Tarehe 01 Julai, 1992
. Mwenyekiti : Mh. Samia Suluhu Hassan

2. Nambari 0000002 :
. The Civic United Front (CUF)
. Usajili : Jan 21, 1993
. Mwenyekiti : Mh. Profesa Ibrahim Haruna Lipumba.

3. Nambari 0000003 :
. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
. Usajili : Jan 21, 1993
. Mwenyekiti : Mr. Freeman Aikael Mbowe

4. Nambari 0000004 :
. Umoja wa Demokrasia wa Vyama Vingi (UMD)
. Usajili : Jan 21, 1993
. Mwenyekiti : Mr. Mohammad Omari Shaame.

5. Nambari 0000005 :
. Mkataba wa Kitaifa wa Ujenzi na Mageuzi (NCCR-Mageuzi)
. Usajili : Jan 21, 1993
. Mwenyekiti : Mr. Haji Ambari Khamis

6. Nambari 0000006 :
. Ligi ya Taifa ya Demokrasia (NLD)
. Usajili : 21 Jan 1993
. Mwenyekiti : Mr . Mfaume Khamis Hassan

7. Nambari 0000008 :
. United Peoples Democratic Party (UPDP)
. Usajili : 4 Feb, 1993
. Mwenyekiti : Mr. Twalib Ibrahim Kadege

8. Nambari 0000009 :
. Muungano wa Kitaifa wa Ujenzi (NRA)
. Usajili : 8 Feb, 1993
. Mwenyekiti : Mr. Khamis Faki Mgau

9. Nambari 00000011 :
. African Desmocratic Alliance Party (ADA-TADEA)
.Usajili : 5 April, 1993
. Mwenyekiti : Mr. Juma All Katib

10. Nambari 00000012 :
. Tanzania Labour Party (TLP)
. Usajili : 24 Nov, 1993
. Mwenyekiti : Mr Hamad Mkadam Rajab

11. Nambari 00000013 :
. United Democratic Party ( UDP)
. Usajili : 24 Machi 1994
. Mwenyekiti : Mr . John Momose Cheyo

12. Nambari 00000053:
. Chama cha Demokrasia Makini (MAKINI)
. Usajili : 15 Nov , 2001
. Mwenyekiti : Mr . Mohamed Ally Abdullah

13. Nambari 00000057 :
. Democratic Party ( DP)
. Usajili : 7th June 2002
. Mwenyekiti : Mr. Philipo John Fumbo

14. Nambari 00000066 :
. Sauti Ya Umma ( SAU)
. Usajili : 17th Feb 2005
. Mwenyekiti : Ms. Bertha Nkango Mpata

15. Nambari 00000067 :
. Alliance For African Farmers Party ( AAFP)
. Usajili : 3 Nov, 2009
. Mwenyekiti : Mr Said Soud Said,

16. Nambari 00000079 :
. Chama cha Kijamii (CCK)
. Usajili : 27th Jan , 2015
. Mwenyekiti : Mr. David Daudi Mwaijojele,

17. Nambari 00000080 :
. Muungano wa Mabadiliko ya Kidemokrasia (ADC)
. Usajili : 20 Augusti 2012
. Mwenyekiti : Mr. Hamad Rashid Mohamed,

18. Nambari 00000081 :
. Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)
. Usajili : 4 Juni, 2013
. Mwenyekiti : Mr. Hashim Rungwe Spunda,

19. Nambari 000000083 :
. Muungano wa Mabadiliko na Uwazi (ACT- Wazalendo)
. Usajili : 5th may, 2014
. Mwenyekiti : Mr. Juma Duni Haji,

"Uchaguzi 2025! Je, unadhani ni nini kitakachosukuma mwelekeo wa nchi yetu? Toa maoni yako, changia mawazo, na tujadili pamoja. Sauti yako ni muhimu! Karibu uwe sehemu ya mjadala."
Utitiri wa vyama lakini hatuvioni mpaka unapofika wakati wa uchaguzi
 
Kwa taarifa yako wenzako wako madarakani bila hizo kura. Na Sasa ni kama mfumo umeoza kabisa. Kwenye nchi ambayo CDF anatoka hadharani kulalamika kuwa Kuna viongozi wako madarakani ambao ni wakimbizi na hakuna hatua yoyote, hapo Kuna uchaguzi au upuuzi kama upuuzi mwingine?
 
. 😟😟 Vyama vilivyopo vinatosha mkuu, Sema jamii yetu inatabia ya kusahau mambo haraka sana(hata kama wametendewa vibaya kiasi gani) . Hivyo wananchi wanahitaji kuelimishwa faida za kiongozi bora katika muskabali wa maendeleo ya taifa.

. Unajua hata kama ni mwizi wa kura kiasi gani, Hata uibe vipi, utadondoka tu.
Ni vyama chini ya vitatu vinaweza kuitishia mikutano ya wazi na kupata watu 500+. Sasa hapo Kuna vyama au kupoteza muda? Naona bado unajikita kwenye wingi na sio ubora.
 
Utitiri wa vyama lakini hatuvioni mpaka unapofika wakati wa uchaguzi
• Hao wote, wanakula tu ruzuku,. Bila faida yeyote ile,

• Kuna baadhi ya wenyekiti, hata sura kuziona tu kwenye mitandao ni mtihani
 
Kwa taarifa yako wenzako wako madarakani bila hizo kura. Na Sasa ni kama mfumo umeoza kabisa. Kwenye nchi ambayo CDF anatoka hadharani kulalamika kuwa Kuna viongozi wako madarakani ambao ni wakimbizi na hakuna hatua yoyote, hapo Kuna uchaguzi au upuuzi kama upuuzi mwingine?

Kwa taarifa yako wenzako wako madarakani bila hizo kura
• Ni kweli kabisa unachosema mkuu, Hili ni tatizo la Mwendazake, kwa Sasa hakuna mtu wa kumlaumu, maji yalishamwagika.
• Sasa kama tutaendelea kukata tamaa huoni ndo tutazama kabisa kwenye shimo.

Kwenye nchi ambayo CDF anatoka hadharani kulalamika kuwa Kuna viongozi wako madarakani ambao ni wakimbizi na hakuna hatua yoyote,
Kwa uongozi uliopo, kwanza viongozi wenyewe hawajielewi kabisa, bado sisi wananchi tunajiuliza imekuwaje CDF atamke hadharani mambo kama haya? Je, alitoa taarifa akapuuzwa? Au ni siasa za kuelekea uchaguzi?
 
• Ni kweli kabisa unachosema mkuu, Hili ni tatizo la Mwendazake, kwa Sasa hakuna mtu wa kumlaumu, maji yalishamwagika.
• Sasa kama tutaendelea kukata tamaa huoni ndo tutazama kabisa kwenye shimo.

Kwa uongozi uliopo, kwanza viongozi wenyewe hawajielewi kabisa, bado sisi wananchi tunajiuliza imekuwaje CDF atamke hadharani mambo kama haya? Je, alitoa taarifa akapuuzwa? Au ni siasa za kuelekea uchaguzi?
Narudia tena, ni ujinga kama ujinga mwingine, kuendelea kushiriki kwenye chaguzi zenye mazingira yale Yale baada ya miaka 30+ ukitegemea matokeo tofauti. Ni kweli wakati wa Magufuli malalamiko ya wapinzani yalikaa wazi peupe, lakini mambo hayo yataendelea kuwepo hata kama sio kwa kiwango kile Cha magu.

Hapa ilipo tumefikia wasemacho waingereza enough is enough. Tutatafuta njia nyingine ya kupata viongozi, njia ya kura ni njia ya kistaarabu, ambayo haiheshimiwi, ila njia ziko nyingi hata kama zina madhara. Kuendelea kushiriki kwenye chaguzi ambazo tume ina wajibika kwa mgombea mmojawapo ni kukosa akili.
 
🤔🤔, Asante Sana mkuu, kwa Ushauri 🤝🤝
 
.Kwa mujibu wa kalenda ya uchaguzi wa Tanzania, uchaguzi wa Rais, Wabunge, na Madiwani unafanyika kila baada ya miaka mitano. Hivyo, uchaguzi wa Rais 2025 unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba, ingawa tarehe inaweza kubadilika kulingana na ratiba rasmi itakayotolewa na mamlaka husika.

(b) Mwaka 2025 unakaribia haraka na uchaguzi wa Rais, Wabunge, na Madiwani utaleta maamuzi muhimu kwa mustakabali wa nchi yetu. Huku tukiona baadhi ya vyama vikiendelea kumwaga sera zao tararibu tararibu. Hii ni fursa yako kutoa sauti yako! Tuje pamoja kuchambua wagombea, kujadili sera, na kubadilishana maoni kuhusu mwelekeo wa Tanzania. Sio tu kuchagua, bali pia kufanya maamuzi sahihi kwa siku zijazo. Sauti yako ni muhimu - toa maoni yako na uchangie kujenga mustakabali wa taifa letu. Kushiriki katika uchaguzi kuna faida ambazo :-

Kuwa na Sauti : Kwa kupiga kura, unachangia kuchagua viongozi na kushiriki katika maamuzi muhimu kuhusu mustakabali wa nchi yako.

Kuimarisha Demokrasia : Kushiriki katika uchaguzi ni sehemu muhimu ya mchakato wa kidemokrasia. Inaimarisha mfumo wa serikali kuwa wa uwazi na kutoa nafasi kwa wananchi kuchangia.

Kutimiza Wajibu wa Kiraia : Kupiga kura ni njia mojawapo ya kutimiza wajibu wa kiraia. Inaonyesha kujitolea kwako kwa jamii na nchi yako.

Kuhamasisha Mabadiliko : Kwa kuonyesha ushiriki wako, unaweza kuhamasisha wengine kujiunga na mchakato huo wa kuchagua viongozi na kuleta mabadiliko.

Kupata Haki : Kupiga kura ni haki yako ya msingi katika demokrasia. Kwa kushiriki, unatumia haki yako kutoa maoni yako kuhusu jinsi nchi inavyopaswa kuendeshwa.

Kuwajibisha Viongozi : Kwa kushiriki, unawawezesha viongozi kujua kwamba wanahitaji kufanya kazi kwa bidii kwa maslahi ya wananchi ili kuendelea kuwa na imani ya wapiga kura. Kwa ujumla, kushiriki katika uchaguzi ni njia muhimu ya kuchangia katika mchakato wa kidemokrasia na kujenga jamii inayowajibika.

• Kifungu cha 10(1)(d) cha Sheria ya Vyama vya Siasa namba 5 ya mwaka 1992 kikisomwa pamoja na Kifungu cha 6(d) cha Sheria ya Marekebisho ya Vyama vya Siasa Namba 7 ya 2009 kinasema:

“Hakuna Chama cha Siasa kitakachostahili kusajiliwa isipokuwa 10(1)(d), kimewasilisha kwa Msajili eneo la ofisi yake kuu ndani ya Jamhuri ya Muungano, na anuani ya posta ambayo matangazo na mawasiliano mengine yanaweza kutumwa. (6(d) imewasilisha kwa Msajili mahali ilipo ofisi yake kuu na ofisi yake ndogo kwa msingi kwamba, kama ofisi kuu itaanzishwa Tanzania Bara, ofisi hiyo ndogo itaanzishwa Tanzania Zanzibar. Vyama vilivyo sajiliwa na vitakavyo shiriki uchaguzi mpaka sasa ni :-

1. Nambari 0000001 :
. Chama cha Mapinduzi (CCM)
. Usajili : Tarehe 01 Julai, 1992
. Mwenyekiti : Mh. Samia Suluhu Hassan

2. Nambari 0000002 :
. The Civic United Front (CUF)
. Usajili : Jan 21, 1993
. Mwenyekiti : Mh. Profesa Ibrahim Haruna Lipumba.

3. Nambari 0000003 :
. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
. Usajili : Jan 21, 1993
. Mwenyekiti : Mr. Freeman Aikael Mbowe

4. Nambari 0000004 :
. Umoja wa Demokrasia wa Vyama Vingi (UMD)
. Usajili : Jan 21, 1993
. Mwenyekiti : Mr. Mohammad Omari Shaame.

5. Nambari 0000005 :
. Mkataba wa Kitaifa wa Ujenzi na Mageuzi (NCCR-Mageuzi)
. Usajili : Jan 21, 1993
. Mwenyekiti : Mr. Haji Ambari Khamis

6. Nambari 0000006 :
. Ligi ya Taifa ya Demokrasia (NLD)
. Usajili : 21 Jan 1993
. Mwenyekiti : Mr . Mfaume Khamis Hassan

7. Nambari 0000008 :
. United Peoples Democratic Party (UPDP)
. Usajili : 4 Feb, 1993
. Mwenyekiti : Mr. Twalib Ibrahim Kadege

8. Nambari 0000009 :
. Muungano wa Kitaifa wa Ujenzi (NRA)
. Usajili : 8 Feb, 1993
. Mwenyekiti : Mr. Khamis Faki Mgau

9. Nambari 00000011 :
. African Desmocratic Alliance Party (ADA-TADEA)
.Usajili : 5 April, 1993
. Mwenyekiti : Mr. Juma All Katib

10. Nambari 00000012 :
. Tanzania Labour Party (TLP)
. Usajili : 24 Nov, 1993
. Mwenyekiti : Mr Hamad Mkadam Rajab

11. Nambari 00000013 :
. United Democratic Party ( UDP)
. Usajili : 24 Machi 1994
. Mwenyekiti : Mr . John Momose Cheyo

12. Nambari 00000053:
. Chama cha Demokrasia Makini (MAKINI)
. Usajili : 15 Nov , 2001
. Mwenyekiti : Mr . Mohamed Ally Abdullah

13. Nambari 00000057 :
. Democratic Party ( DP)
. Usajili : 7th June 2002
. Mwenyekiti : Mr. Philipo John Fumbo

14. Nambari 00000066 :
. Sauti Ya Umma ( SAU)
. Usajili : 17th Feb 2005
. Mwenyekiti : Ms. Bertha Nkango Mpata

15. Nambari 00000067 :
. Alliance For African Farmers Party ( AAFP)
. Usajili : 3 Nov, 2009
. Mwenyekiti : Mr Said Soud Said,

16. Nambari 00000079 :
. Chama cha Kijamii (CCK)
. Usajili : 27th Jan , 2015
. Mwenyekiti : Mr. David Daudi Mwaijojele,

17. Nambari 00000080 :
. Muungano wa Mabadiliko ya Kidemokrasia (ADC)
. Usajili : 20 Augusti 2012
. Mwenyekiti : Mr. Hamad Rashid Mohamed,

18. Nambari 00000081 :
. Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)
. Usajili : 4 Juni, 2013
. Mwenyekiti : Mr. Hashim Rungwe Spunda,

19. Nambari 000000083 :
. Muungano wa Mabadiliko na Uwazi (ACT- Wazalendo)
. Usajili : 5th may, 2014
. Mwenyekiti : Mr. Juma Duni Haji,

"Uchaguzi 2025! Je, unadhani ni nini kitakachosukuma mwelekeo wa nchi yetu? Toa maoni yako, changia mawazo, na tujadili pamoja. Sauti yako ni muhimu! Karibu uwe sehemu ya mjadala."
Moshi mjini mbunge Priscus Tarimo ameanza kuhonga majiko ya gesi, kawaha na vitenge kwa wamama, huyu harudi hata afanyeje.
d
 
🙂🙂, uchaguzi 2025 , kwa upande wa wabunge unaweza kuwa mgumu sana,

Shida sugu: Tatizo letu sisi wananchi mda mwingine kama tulilogwa vile yani akipewa kanga/kitenge na kofia 😥, mgombea amesha maliza kazi..
 
Back
Top Bottom