Je, Serikali haioni umuhimu wa kuweka wabunge maroboti ili kupunguza gharama za kuendesha bunge?

amicky008

Member
Jan 6, 2019
15
20
Matumizi ya akili bandia/mnemba tayari yameshaanza kutumika hapa nchini kwetu, tarehe 27 Januari yalifanyika majaribio ya mwalimu akiwa Kibaha akafundisha shule ya Dodoma na limefanyika jaribio lingine la daktari akiwa Dar es Salaam akafanya upasuaji Zanzibar na ukafanikiwa, je hatuoni sasa kwamba introduction ya artificial intelligence inawaondolea watu ajira zao kabisa?," - Askofu Josephat Gwajima

"Matumizi ya roboti yanalenga kutatua tatizo la upungufu wa watu duniani na nchi za magharibi mahali ambapo roboti inatokea watu ni wachache huku kwetu bado tuko na watu wengi sana, itakuwaje itakapofikia wakati mwalimu roboto, daktari na rubani roboti tutawapeleka wapi watu tunaowa-train leo je serikali imejiandaa kujua cha kufanya baada ya roboti kuchukua ukanda wa ajira zote?," - Askofu Josephat Gwajima

Screenshot_2024-02-09-13-10-07-42_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
Kweli roboti hawaitaji mishahara,posho,vieti wala pensheni. Sisi wananchi tupewe mfumo tu kuwasiliana na roboti naye roboti kazi yake ni kukusanya data za malalamiko,kero na hoja mbali mbali Kwa kila mwanachi kwa uwakilishi na kuikumbusha serikali yetu tukufu juu ya matatizo yetu huku majimboni.

Kama ni kutembelea majimboni basi watakagua kupitia drone.Alafu fedha za kuwalipa binadamu zinaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo.
 
Mimi naona na viongozi wote wa serikali nchini kuanzia ile ngazi juu kabisa mpaka chini; na wenyewe wangekuwa ni maroboti tu. Maana hata faida yao kwa sisi wananchi hata siioni.
 
Back
Top Bottom