Mh. Spika Refa kutoka Kenya Alichezesha vizuri na fainal ya Simba na Yanga kila mtu ameridhika.
Je hatuoni ni wakati sahihi sasa kuleta pia wageni katika nyanja mbalimbali kama Urais, Uwaziri, Ubunge, Majaji na sehemu nyingine zilizojaa rushwa na ukosefu wa weledi?
Mbunge wa Viti Maalum, Asha Baraka amemwomba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kutoa uwanja kwa ajili ya klabu ya Simba kama ilivyopewa klabu ya Yanga
Kweli pamoja na kero chungu nzima mbunge anaenda kuomba Simba apewe uwanja kama alivyopewa Yanga, hivi ndio vipaumbele vya wabunge wa CCM...
Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba levo amesema kuwa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hawapo bungeni kwa ajili ya kukubaliana na kila hoja inayowasilishwa, bali huchambua na kuchukua msimamo kulingana na maslahi ya wananchi.
Ameongeza kuwa tayari kuna baadhi ya...
Nimesoma humu kuwa wabunge hupokea lita 1,000 za mafuta kila mwezi. Hii wanapewa mafuta kama mafuta au pesa kulingana, bei ya mafuta ya wakati huo au pesa fulani fixed kila mwezi?
Wakuu sijawah kuongelea siasa, wala kutanabai uwezo wa viongoz wa CCM kutawala nchi na kuzitapanya kama si kuzibananga rasilimal za nchi kwa maslah yao binafsi. Ila kwa hili naomba niliseme tu!
Kusini maenedleo hali sio nzuri, uchawi uchawi! Kila Ng'anya basi N'ganya, viongoz wanaotoka kule...
TAKUKURU GEITA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WABUNGE NA MADIWANI MAJIMBO YA CHATO KASKAZINI NA CHATO KUSINI
Ndugu Wanahabari,
Kati ya tarehe 28.11.2025 na tarehe 30.11.2025 TAKUKURU (M) Geita ilipokea taarifa za uwepo wa vitendo vilivyoshukiwa kuwa ni vya rushwa vilivyofanywa na Mhe. Cornel Lucas...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ametoa rai kwa wabunge kupinga na kusahihisha upotoshaji wa taarifa kuhusu Muungano, hususan kupitia mikutano ya hadhara na mitandao ya kijamii.
Ametoa rai hiyo wakati wa semina kuhusu Muungano na...
Bunge kama la Tanzania huwa na maana pale nchi inapokuwa ni ya kidemokrasia na mihimili mitatu ya utawala iko huru.
Unapokuwa na mfumo wa utawala ambao serikali inaloamua ndilo linakuwa huku bunge likiwepo kugonga muhuri tu bila kuwa na uwezo wa kuiwajibisha serikali kunakuwa hakuna sababu ya...
Ni vyema sasa na wabunge wetu wakapewa nafasi ya kuwajibu hawa mabeberu wenye kushirikiana na vibaraka wao ambao kazi yao ni kuchafua taswira ya Tanzania.
Utashangaa kabunge kabinti hata ubwabwa wa shngo haujatoka kabasimama kuiongelea Tanzania vibaya
Kuna tetesi kuwa baadhi ya Wabunge wetu huwa wana kawaida ya kuwanyonya madereva wao kwenye suala la mishahara kwa kuwa inapitia kwao Wabunge.
Nashauri kama inawezekana mshahara wa dereva upite moja kwa moja kutoka Bungeni uingie kwenye account ya dereva.
Ipo hivi mshahara na posho ya dereva...
Wabunge wote wa CCM wanaoandikisha majina kutaka kuzungumza wanafuatwa au kuitwa na Lukuvi na kuulizwa wanataka kuzungumza nini, ili kama kuna chochote ambacho hakiendani na wanachokitaka wenye mamlaka, Mbunge aelekezwe nini cha kufanya.
Baadhi ya Wabunge wakongwe wameonekana kugomea wito huo...
Chama cha mapinduzi kimepoteza wabunge watatu kwa muda mfupi kuanzia disemba 2025 mpaka February 2026
Mbunge Jenista Mhagama alifariki 11 Disemba 2025
Mbunge Halima Nassor alifariki 18 January 2026.
Munde Tambwe alifariki tarehe 3 February 2026
Pole ziende kwa rais na chama chake.
kuwapangia wabunge nini cha kuongea bungeni wasifie tu ni kinyume cha sheria na hakina msingi wowote ni ujinga na upumbavu.
Nimesikia wabunge wanapangiwa cha kuongeea bungeni tena huongei mpaka uwe kwenye list kama watoto wa shule ya maingi. suala hili linalivua nguo taifa zima kwa ujumla na...
Miaka mingi sasa kumekuwa na trend kuwa budget bora ya nchi ni ile ambayo inazidi ya mwaka uliopita.
Spending inaongezeka na badala ya makusanyo ya ndani yalioongezeka kutumika kuweka budget isiyotegemea misaada, tunafikiria kuongeza matumizi.
2023/24: TZS 44.4 trillion
2024/25: TZS 49.36...
Baba Askofu Mwamakula!
Wabunge waliitishwa kikao kupewa maelekezo ya kuwa wakati wa kuchangia Hotuba ya Rais, wasigusie kabisa mambo ya mauaji ya halaiki ya Watanzania wasio na hatia ya tarehe 29 - 31 Oktoba 2025.
Waliambiwa kuwa wachangie kwenye mambo ya kimaendeleo. Waseme mambo aliyoyafanya...
Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Hamis Ulega, alimkumbusha aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, kuhusu agizo la Spika wa Bunge linalokataza kuwachokonoa chokonoa viongozi wastaafu, Bungeni Julai 3, 2027, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu maelekezo ya Spika wa Bungeni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.