Kero yetu sisi walimu wa kujitolea au wa mkataba katika shule za msingi kupitia mradi wa gpe, ambao tuliletwa na tamisemi. tupo nchi nzima, lakini mpaka sasa hatujalipwa. mara ya mwisho kulipwa ilikuwa mwezi februari 2026, tena baada ya kutoa kero yetu hapa jamii forums ndipo malipo yakafanyika...
Anonymous
Thread
gpe
kero
kujitolea
kupitia
mkataba
mpaka
mradi
msingi
nchinchinzima
shule
shule ya msingi
walimu
walimu wa kujitolea
Ukienda kununua mafuta hauoneshi kadi ya CCM wala hausemi, Samia mitano tena. Badala yake unatakiwa ulipe kulingana na EWURA walivosema au zaidi.
Angalia mwenendo wa bei Dar:
Petroli: Feb TZS 2,788 → Mei TZS 4,115
Dizeli: Feb TZS 2,701 → Mei TZS 4,248
Ndani ya miezi mitatu petroli imepanda...
Ndugu zangu Watanzania,
Mpaka sasa ,mpaka muda huu mpaka wakati huu sielewi ni kwanini na kwa sababu ipi Msajili wa vyama vya siasa hajasitisha na kuilima barua CHADEMA ya Kusitisha mikutano yote ya hadhara Nchi nzima pamoja na ile ya Ndani .
Kinachoendelea na kufanyika kwa sasa katika...
Katika kipindi hiki ambacho watanzania wanahitaji majibu ya matatizo yao hasa dhuluma, unyanyasaji, unyang'anyi wa mfumo ,maonevu ya kijamii hasa ndugu Mungu amemuinua Mwigulu kuja kuwapa majibu ya haraka na yauhakika wa haki zao papo kwa hapo hapa Mungu anamtumia Mwigulu kuwa masihi wa taifa...
Katibu mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Khamis Abdulla ameyasema hayo katika hafla ya uzinduzi wa minara 758, Maunganisho ya Mkongo wa Mawasiliano katika Wilaya 85 na leo 10 Aprili, 2026 jijini Dodoma.
Mazungumzo ya wachungaji, mashehe, wanasiasa ni kana kwamba mwanaume kukoswa pesa ni jambo la kujitakia na uzembe.
Mtu wa namna hii hupuuzwa na kushambuliwa kama ni mvivu hata kama ni kipindi cha mpito anapitia.
Hii tabia inawaweka wanaume wenye changamoto za kiuchumi katika hali ngumu sana...
Yawe ni maandamnao makubwa ambayo hayajawahi kutokea hapa nchini.
Majiji yote maandamano yafanyike kushinikiza na kupinga mateso anayopewa Tundu Lissu wakati sio mhaini.
Hakuna Jeshi lolote ambalo lilisha weza kushinda nguvu ya umma.
Nguvu ya umma ndio njia pekee ya kumnasua Lissu.
Kusema ukweli Tanzania tunahitaji apartments kwa sasa. Kwa nini tusijifunze kutoka kwa nchi kama China, South Korea, Singapore nk? Hizi nchi watu wake walikuwa wanaishi kwenye makazi duni sana miaka ya 1960s. Serikali zao zikaanza ujenzi wa apartments ili kuhakikisha wananchi wengi wanapata...
Leo Januari 27, 2026, katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa Rais Samia, akiongoza zoezi la upandaji miti katika eneo la Bungi Kilimo na Kizimkazi, Zanzibar, ameagiza mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchini kote kuhakikisha kwamba katika upimaji wa maeneo mapya, kunatengwa maeneo ya...
SHUGHULI zangu zinanifanya nisafiri kila uchwao na njia kuu ninazotumia ni BARABARA, na kupitia kwenye stand zetu zilizojengwa kwenye HALIMASHAURI mbalimbali.
Nikianza na stend kuu ya Magufuli, Kuna habaria wengi wanatumia stend Ile na WANALIPA viingilio lakini hawapewi risit wao wanalipishwa...
Waziri Nanauka anaonekana na msafara wake anazunguka vijiweni, Stendi kusikiliza kero za Vijana. Je huu utaratibu utachukua muda gani ili kupata maoni ya vijana kwa nchi nzima?
Hello Wakuu
Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa
Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili tatizo lipo?
Hii hali ikiendelea hivi mbele kutakuwa kubaya sana
Miaka yote tumezoea kuona Rais anayeshinda kiti cha urais akizunguka nchi nzima kuwashukuru wananchi kwa kumpigia kura za ushindi. Safari hii, licha ya Rais Samia kushinda kwa kishindo (98%) na kujinyakulia karibu viti vyote vya ubunge, amekuwa mzito sana kuwazungukia wananchi na kuwashukuru kwa...
Sijawahi kuwa fan wa huyu dada lakini siwezi kupuuza uwezo wake wa jinsi anavyoweza kufanya vingi kwa mpigo kwa kutumia mtandao tu lakini ninachojua kuna muda huwa anaongeza chumvi.
kuconnect dots na ku analyze taarifa, kupewa taarifa ni kitu kimoja ila kukipangilia kiwe data inayoleta maana ni...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Wegesa Heche amesema chama hicho kwa kitatoa mawakili kwa wote walioshtakiwa kesi za uhaini nchi nzima
Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Novemba 12, 2025 baada ya...
Watu wengine 25 wameongezwa kwenye mashtaka ya Uhaini Dodoma, idadi yafikia 187 nchi nzima.
Awali, watu 17 walipandishwa kwenye mahakama hiyo hiyo ya Hakimu Mkazi Dodoma.
Kwa sasa, mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu ina watuhumiwa 145 na Hakimu Mkazi Dodoma ina watuhumiwa 42.
Pia soma GE2025 -...
Ubalozi wa Marekani umetoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchi ili kuhakikisha wanakuwa salama wakati huu. Waambiwa waepuke maandamano, wajitulize ndani wakati wanaendelea kufuatilia taarifa kwenye vyombo vya habari.
Sasa mtandao wenyewe umekatwa, watakuwa wanapata hizo taarifa...
Taarifa ninazozitoa hapa zote ni takwimu rasmi za Serikali. Kwa nini Polisi hawana uwezo wa Kuzuia Maandamano na Kulinda/Kusimania Uchaguzi na kulinda Usalama wa Raia kwa wakati mmoja.
Vituo vya Kupigia kura nchi nzima vipo 99,895 ambapo Tanzania bara kuna vituo 97,348, Tanznaia nzima ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.