usawa

Lawndale is a town in Cleveland County, North Carolina, along the First Broad River. The population was 606 at the 2010 census.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Mfumo wa Pointi Leseni: Usawa Wapi?

    Habari za wakati huu wadau, Mimi ni dereva binafsi sipingani na mpango wa suala la ukataji wa pointi katika leseni za udereva, lakini suala hili limekuwa na lengo la kukandamiza upande mmoja tu. Suala la dereva kupewa piont 15 kwa muda wa miaka 5 sio sawa, labda ingewekwa kila mwaka dereva...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Rambirambi zigawanywe kwa Wajane wote kwa usawa

    Tunaambiwa Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir alikuwa na wake watatu, basi ni busara rambirambi zitagawanywa kwa usawa hasa kwa bi mdogo. Ni hayo tu kwa leo.
  3. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania NDEGE KAMA HIZI BOEING HURUKA FUTI 34,000 JUU YA USAWA WA BAHARI,b NI SAWA NA VIWANJAVYA SOKA KARIBU 100!

    Kuna kitu cha kushangaza sana kuhusu safari za ndege ambacho wengi wetu hatukifikirii. Ndege kubwa za abiria kama Boeing 737 zinaweza kusafiri katika mwinuko wa karibu futi 34,000 (34,000 ft) kutoka usawa wa bahari. Lakini futi 34,000 ni kiasi gani kwa lugha tunayoielewa vizuri? 34,000 ft =...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni Wazanzibari! hatua zenu si za kubeza; mnasuka usawa ndani ya Muungano. CCM Bara hatuna wasiwasi, kiongozi yeyote anaejiuzulu nafasi itajazwa

    Tunaendelea kuuenzi Muungano wetu wa Tanzania, ambao baba yetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye Muasisi. Zanzibar kama upande mmoja wa Muungano tunawapa pongezi kwa kuendelea kuunogesha Muungano kwa kuweka mifumo yenye kujali usawa zaidi. Na huo ndio Muungano tunaoupenda...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa huu usawa acha nihamie tu Hybrid, kutumia milioni 5 kwajili ya mafuta, its above my grade,

    Kwenda kazini: 13 km Mizunguko : 12 km Kurudi nyumbani: 13 km Jumla ni takribani 38 km kwa siku. Gari langu linatumia wastani wa lita 1 kwa km 9 hadi 10, hivyo kwa siku natumia takribani elfu 15 hadi 16 Kwa mwaka hata nikipumzika jumapili, matumizi ya mafuta yanakaribia milioni 5. Baada ya...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Wanapingana na Marekani Super Power: Wanataka Usawa au Nao Wanataka Kuwa Juu Kama Marekani?

    Kwa muda mrefu Marekani imekuwa ikiongoza dunia kama taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi, kijeshi na kiteknolojia. Lakini katika miaka ya hivi karibuni, nchi kama China na Urusi zimekuwa zikiongeza ushawishi wao na kupinga baadhi ya sera za Marekani. Swali, Je, wanachotafuta ni dunia yenye usawa...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mangungu: Tukitendewa kwa usawa bingwa atapatikana kwa haki

    Baada ya kukosa ubingwa kwa mara ya tano mfululizo, Murtaza Mangungu, Mwenyekiti wa Simba SC amesema; "Kukiwa na mazingira ya kiushindani na timu zote 16 zinazoshiriki Ligi Kuu zikitendewa kwa usawa, na kukiwa na mashindano ya haki, naamini bingwa anaweza akapatikana vizuri."
  8. idiomer

    JamiiForums Tanzania Kiinua mgongo cha 40M kwa usawa huu kweliii?

    Hivi bado watu wakistaafu watapewa 40M na hali ya maisha ilivyo ? Utumishi au utumwa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Manyara Kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Simanjiro, Sendiga Asisitiza Usawa

    Na Ruth Kyelula, Manyara Mkoa wa Manyara unatarajia kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kimkoa tarehe 8 Machi 2026 katika Wilaya ya Simanjiro, huku Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Queen Sendiga, akitoa wito kwa jamii kuhakikisha haki za wanawake na wasichana zinalindwa na kuheshimiwa. Akizungumza na...
  10. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kijiji gani kipo usawa huu?

    Ukifika mjini/mkoani nauli ya kwenda huko ni eldu 20 au 30 mkoa huo hio wapi huko pako hivyo kuna kitu nataka nikaangalie
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali mikoani, serikali inajali usawa kulingana na uhitaji katika kutekeleza miradi l?

    Ni muhimu kuangalia kama rasilimali zinagawanywa kwa haki, zikihakikisha mikoa yote inapata fursa sawa ya maendeleo, bila upendeleo wowote. Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali atika kila mkoa ? Je, serikali inazingatia usawa kulingana na uhitaji halisi wa wananchi katika...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kwenu Waharakati wa Usawa

    Kuna Kitu Sijaelewa bado. Unakuta Mdada au Mmama au hata Baadhi ya Wanaume wakijenga Hoja kuwa Suala la Malezi ya Watoto na Kusimamia Nyumba ni jukumu la Sawa kwa sawa baina ya wanandoa(yaani Mwanamke na Mwanaume) Hivyo Ile dhana ya kwamba mwanamke abaki nyumbani alee watoto na atunze mji ni...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kutoa magari kwa wagombea ndiyo kunatumika kama kipimo cha usawa?

    Chama cha ACT Wazalendo kimefafanua sababu zilizopelekea kukataa kupokea gari maalum alilokuwa amekabidhiwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa chama hicho Luhaga Mpina na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Akizungumza na wanahabari kwenye viunga vya makao makuu...
  14. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa Usawa katika Mikopo ya Kibiashara

    Ni jambo la kushangaza na lenye kuibua maswali makubwa kuhusu usawa katika mazingira ya biashara kati ya Tanzania na China. Mfanyabiashara wa China anapokopa katika benki za kibiashara nchini kwao hulipa riba ya takribani asilimia 3 pekee. Lakini mfanyabiashara wa kitanzania anapokopa katika...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Katika usawa huu ambao babalevo anaweza kuwa mbunge, mwambie mwanao anaweza kuwa chochote kile atakacho wish ilimradi alinde utimamu wake

  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Trump aweka mguu usawa Nyambizi tayari kuishambulia Urusi ikiwa watamlazimisha

    Katika kile kinachoonesha ubabe wa Marekani. Na kauli za kibabe kujibiwa na aliyewahi kuwa Rais wa Urusi miaka ya nyuma. Trump ameziweka mguu sawa Nyambizi zake zenye nguvu ya Kinyuklia akisubiri tu Putin aseme kitu kuchangamke. Ndo unagundua kuna kitu Marekani wameona kwa Urusi.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mke ana Hernia usawa wa kitovu pembeni ameambiwa operation

    Mke alikuwa na maumivu usawa wa tumbo pembe tangu akiwa mjamzito, baadae akajifungua mtoto anamwaka na miez4 Baada yakujifungua Hadi Sasa mtoto ana 1.4yrs Hali ya maumivu mkalii usawa wa pembeni kidgo nakitovu na juu anakua anaumia halafu panavimba Hali ikitokea anakaa katika maumivu...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ismail Jussa Ladhu: Kuna haja ya kutazamwa upya mfumo wa Muungano ili kuleta usawa, Zanzibar haikuridhia Muungano

    Makamu Mwenyekiti Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu amesema Zanzibar wakati inaungana na Tanganyika mwanasheria mkuu wa Wakati huo hakushirikishwa na alipelekwa likizo ya lazima. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu amesema kuna haja ya...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunaanza kuwa na Makaburu weusi wasiovumilia lolote kuhusu marekebisho ya Katiba au haki za uchaguzi, wakiviona ni uvunjifu wa amani nchini!

    Imefikia mahali ambapo viongozi wa upinzani, viongozi wa kidini, taasisi za kijamii za ndani na nje, ofisi za ubalozi, watu binafsi mmoja mmoja au kama vikundi, nk, wakatamka jambo lolote kama mashauri au kukosoa kuhusu mustakabali wa uongozi nchini Tanzania wenye kuboresha haki, uongozi bira...
  20. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Hakuna usawa kwenye akili ya mwanamke.

    Wakati tunaelekea siku ya wanawake najua kuna ujinga mwingi sana utaenezwa kuhusu kuwawezesha wanawake na masuala ya usawa. Mwanaume mwenzangu tumi akili yako usiruhusu huo ujinga ukupumbaze. Ukweli ni kwamba, hakuna 50/50 kwenye akili ya mwanamke, ni either uwe umemzidi kwa mbali akupe hadhi...
Back
Top Bottom