maoni ya wananchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Utafiti wa Mwananchi ni matokeo ya ombwe la utafiti halisi wa maoni ya wananchi

    Kabla ya utawala wa awamu ya tano kuingia madarakani kulikuwa na taasisi binafsi za utafiti zilizokuwa zinafanya utafiti wa masula ya kijamii kwa raia na kutoa matoke ya hapa na pale. Waliokuwa wanafuatilia watazikumbuka Twaweza, IPSOS, Afrobarometer na REDET. Japo matokeo ya utafiti wa taasisi...
  2. OKW BOBAN SUNZU

    Fahamu: Mara nyingi Wabunge hupeleka maoni yao binafsi bungeni badala ya maoni ya wananchi

    Huu ni mwendelezo wa mada zangu za kuwatambuza juu ya mizizi ya mambo ya hovyo yanayoendelea serikalini na nchi kwa ujumla. Bunge ni Chombo cha uwakilishi wa Wananchi kama Ibara ya 62 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inavyotumika: “Kutakuwa na Bunge la Jamhuri ya...
  3. R

    Kilichosomwa bungeni ni maoni ya wananchi au ni taarifa ya kamati ya Bunge?

    Nimemsikiliza Mwenyekiti ya kamati ya Bunge. Huyu ndugu alipewa majukumu mawili kwa wakati mmoja. Kusikiliza wananchi na kupeleka maoni yao bungeni au kusikiliza maoni ya wanakamati na kuyapeleka bungeni. Kwa namna hali ilivyokwenda hata vyombo vya habari vimekosa cha kuwaambia wananchi...
  4. K

    Chonde chonde kamati ya bunge inayoratibu maoni ya wananchi kubalini yaishe

    Taasisi nyingi ikiwemo TEC, KKT, CCT, BAKWATA na mengineyo na pia watu wengi wametoa maoni yao kuhusu sheria 3 zilizowasilishwa Bungeni Novemba 2023 na kwa asilimia kubwa wameiomba Serikali na Bunge ifanye marekebisho katika sheria hizo. Nitatoa mifano michache:- (1) Uchaguzi wote uende kwa...
  5. R

    Askofu Shoo: Maoni ya wananchi yatiliwe maanani, yaheshimiwe na yatekelezwe

    Salaam, Shalom. Askofu Shoo ametoa kauli iliyojaa HEKIMA na BUSARA, akitoa maoni Kwa niaba ya CCT, amesisitiza kuwa maoni ya wananchi yatolewayo kuhusu namna Gani uchaguzi huru na HAKI ufanyike, yaheshimiwe, yatiliwe maanani na yatekelezwe. Amesema pia kuwa Si vyema mchakato huo ukatawaliwa na...
  6. Stephano Mgendanyi

    Maboresho Mkataba wa Bandari Yazingatie Maoni ya Wananchi

    MHE. TARIMBA ABBAS - MABORESHO MKABATA WA BANDARI YAZINGATIE MAONI YA WANANCHI "Serikali ifanye utafiti ni kwanini Tandale mahali ambapo pana Shule tatu za msingi na bado wanashindwa kuweza kupata Shule ya Sekondari" - Mhe. Tarimba Abbas, Mbunge wa Jimbo la Kinondoni. "Elimu ya dai risiti toa...
  7. music mimi

    Baada ya Mbowe kuiponda awamu ya 5, maoni ya wananchi ambao ni wapiga kura kwenye Instagram page ya JF yanashtua

    Sijui imekaaje hii kisiasa mimi sio mwanasiasa ila naamini nguvu yoyote bila legitimacy ya umma haiwezekani. Mbowe alikuwa akimwaga sifa kwa Mama Samia uku akiiponda serikali ya Magufuli. Maoni yake yamewakera sana wananchi na wameonesha hisia zao kupitia kurasa ya Instagram ya jamiiforums...
  8. N

    Je, maoni ya wananchi yana nguvu?

    Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk Jakaya Kikwete, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wa kuunda kikosi kazi cha ukusanyaji wa maoni, kuhusu masuala ya siasa na kusema uwepo wake utasaidia kupunguza joto la kisiasa lililopo nchini. Haya ni baadhi tu ya maoni ambayo wananchi walituma...
  9. N

    Serikali sikivu - kodi zilizoondolewa na serikali baada ya kupokea maoni ya wananchi ili kuboresha

    Wote tunakumbuka bajeti ya serikali iliyowasilishwa kwa mwaka 2022/23 ni TZS Trilioni 41.48 ikiwa ni ongezeko la 9.2% ukilinganisha na mwaka jana. Sehemu kubwa ya bajeti hii inategemea fedha za ndani (kwa zaidi ya 67%, hili ni jambo la kihistoria na la kipekee). Baada ya uwasilishwaji wa bajeti...
  10. Mpwayungu Village

    Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

    Ulivyo Soma ni sahihi kabisa wala hujakosea. Ndo habari ya mjini, zile nyumba zote zilizopo kwenye mountain inabidi zitoke jamaa wa Brazil aje ajenge na Familia yake. -------- Wawekezaji hao wanatarajia kuwekeza kwenye sekta ya miundombinu, viwanda na utalii katika maeneo ya Igogo, Isamilo na...
  11. Nyani Ngabu

    #COVID19 Maoni ya wananchi kuhusu Chanjo ya Corona

    Kupitia BBC, haya ni maoni ya baadhi ya Watanzania kuhusu chanjo ya Corona iliyozinduliwa jana na Rais Samia. Kwenye video hii, walioipinga [waliokataa kuchanjwa] ni wengi kuliko walioikubali. Watu hawa sijui ndo kama wanaakisi maoni ya Watanzania kwa ujumla; yaani Watanzania wengi kuikataa...
  12. GENTAMYCINE

    Kuyaona mawazo yetu kama 'Kelele' ni kutudharau Watanzania

    "Tulipoamua kupandisha Tozo za Miamala tulikuwa tuna lengo zuri tu ila tulipoanza kusikia Kelele za Wananchi basi Serikali tukaona kwakuwa tunawajali Wananchi wetu tuingilie kati na sasa nimeunda Kamati ili kuliangalia hili na itakuja na majibu muda si mrefu" Rais Samia. Hasira yangu na Uchungu...
Back
Top Bottom