Mene Mene Tekeli na Peresi... Kitanga kinaandika kwenye kuta za utawala wa nchi hii. mbele siyo kuzuri

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,754
Tusidanganywe na lugha zenye hadaa nyingi za wabunge wetu wanaojadili miswada ya sheria za Uchaguzi. Hawana nia njema kwa nchi

Hawana maono mema kwa nchi
Hawana huruma kwa nchi.

Kinachojulikana sasa ni kwamba, Serikali na Chama cha Mapinduzi ni wamoja dhidi ya uhalali, haki na wajibu kwa wananchi na michakato yote ya kidemokrasia.

Hili lilikuwa ni jaribio la mwisho la kujenga uaminifu, umoja, mshikamano na maridhiano baina ya wenye nchi na viongozi. Lakini kwa wazi kabisa tunaona namna ambavyo haki imegeuka kuwa fadhila.

Mene mene Tekeli na Peresi
 
Dhuluma, hata siku moJa, haijawahi kuzaa neema.

CCM ni chama dhulumati wa haki na uhuru wa Watanzania. Watu hawa kamwe hawatajaliwa baraka Duniani na mbinguni. Watu hawa kila siku wanawaza dhuluma, wanawaza ni namna gani wawadhulumu Watanzania haki ya kuwapata viongozi wanaowataka. Ndiyo maana siku zote katika sheria zote wazitungazo zimejaa hila na hadaa.

Tunaombea watu hawa walaanike wao na vizazi vyao kwa sababu hawawawazii mema watanzania.
 
Hali ya kisiasa bado ni ngumu kwa watawala. Teuzi za hivi karibuni zinazungumza wazi bila kuficha hofu kubwa iliyowafunika.

Sasa wanahaha kuwaridhisha kundi la dikteta aliyetangulia huku wakiwatumia waliokuwa wafuasi wake ionekane wanamuunga mkono lakini ukweli ni kwamba wananchi wameshatambua kuwa CCM imeshindwa kuongoza nchi
 
Back
Top Bottom