baraza la madiwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Baraza la Madiwani ladai Kifo cha Hayati Magufuli kimekwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu Chato

    BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita, limembebesha mzigo mzito Mkuu mpya wa Wilaya hiyo wakimtaka kufuatilia sababu za kukwama kwa ujenzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania tawi la Chato, tangu kutokea kifo cha Hayati Rais Dk. John Magufuli. Kauli hiyo imetolewa na...
  2. JanguKamaJangu

    Baraza la Madiwani lasimamisha Watumishi watatu Geita

    BARAZA la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Geita Mkoani Geita, limewafuta kazi watumishi 3 wa Halmashauri hiyo kwa mujibu wa Kanuni za Kiutumishi . Akitoa Taarifa hiyo katika kikao Maalumu kilichoketi mara baada ya kukamilika kwa Baraza la Madiwani, Mwenyekiti wa Baraza hilo ambaye pia ni...
  3. Nyafwili

    Uchaguzi 2025 : Sauti Yako Katika Uchaguzi, Tuchambue Mapambano Ya Rais, Wabunge, na Madiwani - Maoni, Utabiri, Na Mjadala!

    .Kwa mujibu wa kalenda ya uchaguzi wa Tanzania, uchaguzi wa Rais, Wabunge, na Madiwani unafanyika kila baada ya miaka mitano. Hivyo, uchaguzi wa Rais 2025 unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba, ingawa tarehe inaweza kubadilika kulingana na ratiba rasmi itakayotolewa na mamlaka husika. (b) Mwaka...
  4. Zanzibar-ASP

    Yalipaswa kuwa makubaliano kati ya Dubai na Ilala, tena yapitishwe na baraza la madiwani na sio bunge.

    Kwenye sakata la Bandari tumegundua kumbe Dubai sio nchi na haina hadhi ya kuridhia mikataba ya kinchi, hivyo kilikuwa ni kimbelembele cha kijinga cha bunge la Tanzania kuingia kichwa kichwa na kuridhia ule mkataba wa kifedhuli. Sasa wataalamu wetu wanasema lile deal la makubaliano ya...
  5. Lole Gwakisa

    Mbeya: Baraza la Madiwani wasutwa kwa kutokuwa na lolote la kuonyesha kimaendeleo!

    Madiwani wa Mbeya , msikie hayo madongo. Mnajali posho zenu tu, mmeifanyia nini Mbeya? Soko lililo ungua tulitegemea Mbeya Shopping Mall! Mmekaa tu na kusugua mabenci kwa vikalio. Sasa RC Homera amewapasha vizuri!
  6. Nanyaro Ephata

    Serikali ivunje Baraza la Madiwani Jiji la Arusha

    Sakata la Mkurugenzi Jiji la Arusha, Halmashauri inapaswa kuvunjwa Jana Mbunge wa Michongo wa Arusha mjini alisikika akilalamika mbele ya Waziri Mkuu kuhusu tuhuma kadhaa ambazo zinamkabili Mkurugenzi wa Jiji! Mosi huyu Mbunge akumbuke kuwa hana uadilifu wa kukemea ufisadi wa aina yoyote maana...
  7. The Sunk Cost Fallacy

    Rorya: Madiwani wadaiwa kupanga kumteka M/kiti wa Halmashauri wakigombea eneo la kujenga Kituo cha Afya. RC Hapi atishia kuvunja Baraza la Madiwani

    Moja kwa moja kwenye mada. Katika Hali ya kushangaza, Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Mkoa wa Mara walikutana usiku kupanga njama za kumteka Mwenyeki wa Halmashauri yao. Kiini cha mgogoro ni kutokana na kutokubaliana sehemu ambapo panatakiwa kujengwa Kituo cha Afya. Hatua hiyo...
  8. Ze Bulldozer

    Baraza la Madiwani Ikungi lapitisha azimio maalum la kumpongeza Rais Samia Suluhu

    Baraza la madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Singida lenye majimbo ya Singida Mashariki na Singida Magharibi na kata 26 lililohudhuriwa na DC Jerry Muro limeketi kwa mafanikio Baraza hili limepitisha "Azimio Maalumu " la kumpongeza Rais Samia baada ya kupokea Bilioni 2.6 za kujenga...
  9. Hivi punde

    Same, Kilimanjaro: Madiwani wamfukuza mtumishi kwa ulevi

    Baraza la madiwani halmashauri ya Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro limemfukuza kazi mtumishi wa idara ya afya katika hospitali ya wilaya ya Same na kutoa onyo kali kwa wengine wawili na kuwakata asilimia 15 ya mishahara yao kila mmoja kwa muda wa miaka mitatu. Hayo yamejiri leo Alhamisi...
  10. mshale21

    Iringa: Kondomu zaadimika, Baraza la Madiwani lazua mjadala

    Suala la kuadimika kwa mipira ya kiume(kondomu) limezua mjadala mkali kwenye Baraza la Madiwani Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, ambapo madiwani hao wamedai linakwamisha mapambano dhidi ya UKIMWI na kudai kuwa mipira hiyo haipatikani kwenye nyumba za wageni na maeneo ya starehe.
Back
Top Bottom