mvua za el nino

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Ni kwamba nchi ilikuwa na barabara nzuri muda wote mvua za El Nino ndio zimekuja kuharibu?

    Katika kipindi cha maswali na majibu, wakati maswali yakielekezwa kwa Naibu Waziri, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Ndg. Deogratius Ndejembi, wabunge wote wanauliza nini mpango wa serikali baada ya barabara kuharibiwa na mvua za El Nino. Yaani ni kama huko...
  2. Erythrocyte

    Mvua zinazonyesha haziingizi Maji kwenye Mabwawa ya Umeme, acheni kulaumu kuhusu Mgawo

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza...
  3. R

    Umeweza kufanya shughuli zako vizuri katika kipindi hiki cha mvua?

    Wakuu, Shughuli zako za kila siku zimeweza kufanyika vizuri bila tatizo lolote? Una la kuwaambia serikali kuhusu hali ya miundombinu kipindi hiki cha mvua? Hali iko shwari huko ulipo? Maji yanapita bila shida yoyote?
  4. P

    Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa. Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua. Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
  5. N

    Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania wanasemaje kuhusu mvua za El Nino?

    Weatherman wa Kenya wamesema kutokana na data za satelaiti, Mvua za El Nino zinazotarajiwa hazitakuwa kubwa kama ilivyotabiriwa hapo awali. Je, upande wa TMA wao data zao za satelaiti zinaonesha nini maana matangazo yao hayana ukweli bali pata potea. Tunaona halmashauri nyingi wapo busy...
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Nini husababisha mvua za El Niño duniani?

    Nini husababisha mvua za El Niño duniani? Mvua za El Niño husababishwa na mabadiliko katika joto la bahari la Pasifiki Mashariki. Kawaida, upepo huvuma kutoka mashariki kwenda magharibi juu ya eneo hilo la bahari, na hii husababisha maji yenye joto kujilimbikiza upande wa magharibi wa Pasifiki...
  7. Meneja Wa Makampuni

    Tanzania kukumbwa na mvua za El Nino

    Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) imethibitisha kwamba nchi hiyo inatarajiwa kukumbwa na El Nino ambayo huambatana na mvua kubwa kutokana na ongezeko la joto la bahari katika eneo la kati la Kitropiki katika bahari ya Pasifiki. Meneja utabiri wa Mamlaka hiyo, Dr. Mafuru Kantamla amesema ...
  8. ChoiceVariable

    TMA: Kuna uwezekano wa kuwepo Mvua za EL Nino kwa 60%

    TMA inasema Kuna uwezekano wa kuwepo Kwa mvua za EL Nino Kwa 60% . Hii nakubaliana nayo maana ni mwezi wa 5 Sasa Bado mvua ni nyingi licha ya mazao kukomaa hivyo yanaanza kuharibika.. Tujiandae Kisaikolojia --- MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema inafuatilia mifumo ya hali ya hewa...
Back
Top Bottom