muswada

  1. Pfizer

    JamiiForums Tanzania MUSWADA WA SHERIA YA MIKOPO KWA DHAMANA ZA MALI ZINAZOHAMISHIKA WAWASILISHWA BUNGENI

    Na Joseph Mahumi na Peter Haule, Dodoma Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amewasilisha Bungeni Muswada wa Sheria ya Mikopo kwa Dhamana za Mali Zinazohamishika wa Mwaka 2026, unaolenga kuweka mfumo bora wa usimamizi wa mikopo inayotolewa kwa kutumia mali zinazohamishika kama...
  2. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Unajua nini maana ya Muswada wa Sheria? Hii hapa maana yake

    Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Uandishi wa Sheria Bungeni, Ndugu Agnes Ndumbati akielezea mchakato mzima wa Muswada wa Sheria kabla haujawa Sheria kamili.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Muswada wa mfano (Model Bill) wa sheria ya kuongoza mchakato wa maridhiano

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) tumeandaa Rasimu ya Muswada wa Mfano (Model Bill) wa Sheria ya kuongoza Mchakato wa Maridhiano nchini.Lengo la Muswada huu wa Mfano ni kushawishi Serikali na wadau wote kuona umuhimu wa kuwa na Sheria itakayoongoza Mchakato wa Maridhioano...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muswada Mpya Waweka Masharti Makali kwa Wanaotaka Kufungua Shule Kenya

    Muswada wa Sheria ya Elimu ya Msingi, 2026 unapendekeza masharti mapya na makali kwa watu au taasisi zinazotaka kuanzisha na kuendesha shule za msingi na sekondari nchini Kenya. Kwa mujibu wa muswada huo, mwombaji atalazimika kuwasilisha ombi kwa County Education Board, ambayo itatathmini iwapo...
  5. O

    JamiiForums Kenya Mswada Mpya Waweka Masharti Makali kwa Wanaotaka Kufungua Shule Kenya

    Muswada wa Sheria ya Elimu ya Msingi, 2026 unapendekeza masharti mapya na makali kwa watu au taasisi zinazotaka kuanzisha na kuendesha shule za msingi na sekondari nchini Kenya. Kwa mujibu wa mswada huo, mwombaji atalazimika kuwasilisha ombi kwa County Education Board, ambayo itatathmini iwapo...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya Taifa yapata mwelekeo mpya, muswada maalum waandaliwa

    Taarifa kwa UMMA Kuhusu Uandaaji wa Muswada wa Mfano (Model Bill) wa Kuongoza Mchakato wa Mazungumzo ya Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa* Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) inapenda kuufahamisha umma wa Watanzania, taasisi mbalimbali za kitaifa na kimataifa, wadau wa maendeleo...
  7. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Mnataka Tuoe? Sasa ili Raisi wa Chama cha Wakataa Ndoa nipeleke NEC muswada wa kuvunja Chama cha Wakataa Ndoa naomba haya yafanyike ....

    INTRODUCTION: Ndio ni mimi Raisi wa wakataa ndoa TZ na Africa kwa ujumla..!! Mmekuwa mkitupigia "Kelele" kuwa tuoe mkitoa sababu kibao na wengine mmeenda mbali mpaka kututukana. Tunasema ASANTE...!! MAIN BODY: Sasa ili tupate maridhiano kati ya Wakataa ndoa na Wapenda Ndoa NAOMBA HAYA...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Serikali kama baba ije na muswada kuandaa vijana waliofunzwa siasa ya Kitanzania

    Inavyoonekana kwa sasa tumewaachia walami watufundishie vijana wanaoingia kwenye vyama pinzani kuhusu siasa. Madhara yake ni kutengeneza vijana wasio na uzalendo kamili au mirengo yenye siasa kwa maendeleo ya Taifa. Mwanzoni tuliwategemea wastaafu au viongozi waliofunzwa siasa njema kianzisha...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act umepitishwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani

    🚨 BREAKING: WE WON TODAY! 🚨 TAUSI LIKOLOLA: We did not give up. We did not stay silent. Today, we moved one step closer to justice. The Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act has passed the Senate Foreign Relations Committee and now advances forward. This moment...
  10. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act umepitishwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani...🙏🏻🙏

    🚨 BREAKING NEWS: WE WON TODAY! 🚨 Na Tausi Likokola, Washington DC - USA We did not give up. We did not stay silent. Today, we moved one step closer to justice. The Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act has passed the Senate Foreign Relations Committee and now...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Tishio la Muswada wa Marekani, Kunyimwa misaada; Je, Tanzania inafuata njia ya Zimbabwe?

    Wakati uhusiano kati ya Tanzania na Marekani ukiingia katika kipindi nyeti zaidi katika miaka ya karibuni, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo, amefanya ziara muhimu nchini Marekani inayobeba uzito mkubwa wa kidiplomasia kuliko inavyoonekana juu juu...
  12. Superbug

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Ted Cruz utasaidia tulio 40s kushuhudia anguko la CCM. Mungu tusaidie

    CCM IMETESA SANA WATANZANIA na wamefikia mahali wanaona hawagusiki wameuwa sana watu na kusingizia watu kesi za uongo. Wanaona TUNDU LISSU ni kitisho kwao hivyo wanatafuta namna ya kumsilimisha au kumpoteza lakini waki calculateimpact yake wanaona haiwezekani sasa hili zigo la TED CRUZ ndio...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari awasilisha muswada wa marekebisho ya Sheria Tisa (9) Bungeni, agusa Bandari na Uhujumu Uchumi

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari akiwasilisha maelezo ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2025 (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2025) Juni 5, 2025 Bungeni Jijini Dodoma. Aidha mara baada ya kuwasilisha maelezo hayo, Mjumbe wa Kamati ya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ruto kama Kikwete akataa kusaini Sheria ya Viongozi wa Umma na Familia zao kuruhusiwa kufanya biashara na serikali, muswada warudi bungeni

    Kuna wakati Rais mstaafu Mzee Kikwete aligoma kusaini muswada wa sheria ya kinyonyaji uliosainiwa na wabunge wore kasoro Dr Slaa peke yake Huko Kenya Rais Ruto amelataa kusaini muswada wa sheria ya Conflict of Interest na kuurejesha bungeni Ruto anaiga sana Siasa za Tanzania Mlale unono 😁
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mbunge apeleka muswada bungeni utakaomruhusu Donald Trump kugombania Urais kwa muhula wa 3

    Wakuu, Inaonekana huko nchi Marekani wameanza kufuata mienendo ya wanasiasa wa CCM. Mbunge mmoja huko nchini Marekani amepeleka muswada bungeni ambao una lengo wa kumuongezea muhula wa 3 Donald Trump. Muswada huo una lengo la kumpa Donald Trump miaka mingine 4 akishamaliza muda wake wa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Bunge la Uingereza jana limepitisha muswada wa kukusaidi kujiua.

    Bunge la Uingereza (House Of Common) leo limepigia muswada kura muswada wa “assisted - dying” wa wagonjwa ambao wana terminal illness kuweza kusaidiwa kujiuwa. Wabunge 330 wamepiga kura ya ndio na wabunge 275 kura ya hapana. Huo muswada unapelekwa kwenye House Of Lord ili kupishwa kuwa sheria...
  17. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge la Seneti nchini Kenya liko mbioni kujadili muswada wa kuondoa kurushwa moja kwa moja matokeo ya Urais

    Huko nchini Kenya, Bunge la Seneti liko mbioni kujadili Muswada unaolenga kufuta kurushwa moja kwa moja kwa matokeo ya uchaguzi wa rais yanayotangazwa kutoka vituo vya kupigia kura. Muswada huo unapendekeza kufutwa kwa Kipengele cha 39 cha Sheria ya Uchaguzi ambacho hulazimisha IEBC kurusha...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu 29 bado hawajulikani walipo, Polisi wakanusha kuwa na ushiriki katika utekaji nyara wa Waandamanaji waliopiga Muswada wa Kodi

    29 people still missing as police deny role in anti-tax bill protest abductions The National Police Service (NPS) has recorded 57 abduction cases since the youth-led demonstrations began on June 18, 2024, Inspector General of Police Douglas Kanja says. Appearing before the Committee on...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Pauline Gekul ahoji uwiano wa adhabu kwa wafanyabiashara kwenye muswada wa marekebisho ya Sheria ya ushindani 2024

    Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul amesema kiwango cha adhabu kilichopendekezwa kwenye Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Ushindani wa Mwaka 2024, kwa wafanyabiashara watakaoshindwa kuweka wazi bei za bidhaa wanazouza, kiendane na ukubwa wa biashara husika. Muswada huo...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha muswada wa marekebisho ya sheria za hifadhi ya jamii

    Na; Mwandishi Wetu - DODOMA BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2024 wenye mambo kadhaa yanayolenga kuondoa changamoto zinazowakabili wanachama na utaratibu wa upatikanaji wa mafao. Marekebisho hayo yanagusa Sheria tatu ambazo ni Sheria ya Mfuko wa...
Back
Top Bottom