kifo

 1. wakatanta

  Mkanganyiko wa kauli ya Mzee Mangula, Rais Samia, Waziri Mwambe na ya Hayati Magufuli inaonyesha Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ni ‘White Elephant’

  Huu mkanganyiko wa kauli za hawa viongozi waandamizi wa chama na serikali kuhusu bandari ya Bagamoyo inaonyesha kuna madudu sana ndani ya terms of contract,na hii inatokana na baadhi ya viongozi wachache waliolenga kujinufaisha na mradi huo . Rejea jinsi dharura iliyotumika kupitisha miswaada...
 2. B

  TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

  Patrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi tajwa nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS. Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP ===== Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Injinia Mfugale amefariki Jijini Dodoma. Mfugale jana aliondoka na ndege akiwa na...
 3. Diwani

  Tukio gani lilikupishanisha na kifo?

  Katika maisha licha ya kuwepo na changamoto nyingi, kuna matukio ama changamoto ambazo zinakaa ndani ya mioyo yetu bila kutoka kwa sababu ya uzito wake hasa pale yanapo tufanya tunusurike kifo. Niende kwenye tukio, Mwaka 2019, jijini Dodoma, kwa uwezo wa Mungu nilifanikisha kupata kaelimu kangu...
 4. Anna Nkya

  Rais Samia atuma salamu za pole kufuatia kifo cha mzee Kassum

  RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa pole Watanzania, wanafamilia kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Fedha na Utawala wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Waziri Mstaafu wa Wizara tofauti kwenye Serikali ya awamu ya kwanza na pili, Al noor Kassum...
 5. Miss Zomboko

  Wanajeshi wawili wa Uganda wahukumiwa kifo Somalia

  Wanajeshi watano wa Uganda wanaofanya kazi na vikosi vya Umoja wa Afrika nchini Somalia wamekutwa na hatia ya kuwaua raia saba nchini humo. Wawili kati ya wanajeshi hao wamehukumiwa kifo, huku wengine watatu wamehukumiwa kifungo cha miaka 39 gerezani kila mmoja. Wanajeshi hao watatu...
 6. jitombashisho

  Takwa la kikatiba la baada ya kifo cha Rais aliyepo madarakani msaidizi wake awe mkuu wa Nchi litauwa wengi-lipingwe mahakamani

  Kikatiba endapo Rais aliyepo madarakani hapa Tanzania akifa makamu wake ndiye anatakiwa awe mkuu wa Nchi bila uchaguzi wowote kufanyika. Jambo ambalo ni hatari mno na ni risk kwa mkuu wa Nchi awaye endapo tu msaidizi wake watakuwa na kuhitilafiana hali ambayo pengine kibinadamu inaweza kuleta...
 7. Sky Eclat

  Picha ya Archduke Ferdinand wa Austria, kifo chake ndiyo kilisababisha WWI

  November 3, 1527: "Ferdinand, Archduke of Austria was elected as King of Hungary. Ferdinand was the second son of Juana of Castile and Philip of Burgundy. Born in Alcala de Henares, Spain, he spent the majority of his youth in Spain, where he formed a close relationship with his grandfather...
 8. B

  Leo katika historia: Undani wa hayati Abeid Amani Karume (1905 - 1972)

  Leo katika historia April 7: Undani wa hayati abeid amani karume kuzaliwa mpaka kifo Hayati Abeid Amani Karume Bwana Abeid Amani Karume muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar alizaliwa katika kitongoji cha Pongwe, Mudiria ya Mwera kisiwani Unguja tarehe 4 Agosti 1905. Karume ni mtoto wa kwanza...
 9. Mystery

  Hotuba za Mwalimu Nyerere ziwe zinatangazwa wakati wote, siyo wakati wa kumbukumbu ya kifo chake pekee

  Imezoeleka kusikia hotuba za baba wa Taifa wakati wa kumbukumbu ya kifo chake, tarehe 14/10 ya kila mwaka na wala siyo vinginevyo. Kwa kweli unaposikia hotuba za Mwalimu, huwa hazichuji kabisa na wakati wote utapenda kuzisikiliza, kwa manufaa ya nchi yetu ya kipindi hiki na kijacho. Hotuba za...
 10. nyboma

  Huwenda hizi ndizo zama za mwisho kwa CCM kuiongoza Tanzania, nikitafakari kifo cha Rais John Magufuli na hili la Machinga nafsi yangu inaniambia kitu

  Kwa mambo hayo mawili naiona Tanzania mpya ikija kwa kasi ya ajabu, na tuelewe ya kwamba watu wa chini kama hawa machinga ndio wamekuwa chachu ya kuleta mabadiliko katika nchi za wengine. Tujaribu kukumbuka kilichotokea tunisia december 17/12/2020 baada ya machinga anayeitwa “Mohamed Bouazizi”...
 11. D

  Ukimya wa Katiba ya JMT Kuhusu Kifo cha Mgombea Urais

  Mada Fikirishi Katiba yetu inaongelea kifo cha Rais akiwa madarakani lakini haiongelei Mgombea Urais ambaye tayari ni Rais akifa akiwa kwenye kampeni za uchaguzi mkuu. Natoa mfano ili uelewe kwa urahisi kwamba JPM angekufa akiwa kwenye kampeni za uchaguzi mkuu Katiba haisemi kitu gani kifanyike...
 12. Father of All

  Kifo cha mbunge wa Uingereza Sir David Amess na ubaguzi wa wazi wa wazungu wa kimfumo

  Tukio la kuchomwa visu na kufa kwa mbunge mmoja wa Uingereza Sr David Amess kimefichua ubaguzi wa wazi wa kimfumo wa wazungu. Pamoja na muuaji kukamatwa, bado wanasema kitendo hiki si cha kigaidi. Kama muuaji angekuwa siyo mzungu polisi wangemmaliza kwa risasi. Wala wasingeendelea kushikilia...
 13. jingalao

  Namongeza Rais Samia kwa kuomboleza kifo cha Mwalimu kupitia Magufuli

  Hakika nimepata faraja sana kwa Mh Rais Samia kwa kuweka taji la heshima katika kaburi la Hayati Dr John Pombe Magufuli katika siku hii muhimu ya kitaifa ambayo inamkumbuka muasisi wa Taifa. Rais Magufuli alifuasa vyema sera za Nyerere(RiP) ambazo ni kama rejea na kipimo cha marais wote...
 14. Insigne

  Kumbukumbu na Maadhimisho ya kifo cha Mwl. J. K. Nyerere

  Mtoto wa chifu aliyekuwa na Wake 22, akaanza shule akiwa na miaka 12 akahitimu kama Tanganyika One(T.O). Akasoma Tabora Boys, Makerere na Edinburgh huko Scotland. Akafundisha Pugu na Mkapa alikuwa mwanafunzi wake,akaacha kufundisha akapambania uhuru. Leo ni miaka 22 bila Mwalimu. ukutana kwa...
 15. Kiranja Mkuu

  Jinsi nilivyonusurika kifo kwa kipigo baada ya kujitambulisha kazi yangu

  Ilikuwa siku ya jumamosi tulivu ambapo jiji la Dar es Salaam na Tanzania nzima kwa ujumla macho na akili zao zilikuwa zimeelekezwa wilayani Temeke kushuhudia mtanange wa watani wa jadi, Simba na Yanga wakichiana kugombea ngao ya Jamii. Mimi na rafiki yangu Dr. Gill Biz na mkewe Hawa, tulikuwa...
 16. W

  Hayati Dkt. Magufuli anapohukumiwa kwa kifo chake

  Kifo ni tukio la kiasili. Katika imani kadhaa za kidini zina elezea kifo kilitokea baada ya Adamu na Hawa (Eva) kwenda kinyume na mapenzi ya muumba wao (MUNGU). Ndipo Mungu alitamka kuwa tutakufa, au kurejea katika mavumbi. Binadamu wa kwanza kufa alikuwa Abeli. Ambaye aliuliwa na kakaye aitwae...
 17. Baraka21

  Kifo cha baba wa kiroho huwaacha waumini wengi njia panda

  Kumekuwa na hii tabia hasa kwenye makanisa ya kilokole kumuita Mchungaji wako kuwa ni baba yako wa kiroho. Huyu ni mtu ambaye hutakiwi kufanya jambo lolote bila kumshirikisha. Ukitaka kuoa au kuolewa lazima ukamuulize kwanza, umepata kiwanja lazima umuulize kuwa ununue au usinunue, unataka...
 18. Nyankurungu2020

  Kifo cha Dkt. Magufuli kuipasua CCM 2025

  Unaweza ukadhania ni masuala ya hadithi za kudhania lakini ukweli ni kuwa mpaka sasa watanzania wengi wanaamini kuwa haikuwa jambo la kawaida. Wengi wanaamini zilikuwa ni njama za wanaCCM kumuondoa kipenzi cha wanyonge na mtu aliyetetea wananchi wanyonge wa kawaida. WanaCcm wanaopenda...
 19. H

  TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

  Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba, Hans Pope amefariki usiku huu katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya UVIKO-19 na alinukuliwa na kituo cha E-FM akisema alikuwa ICU akipambana na maradhi hayo. Marehemu Hanspope...
 20. BAK

  Kifo cha Hans Poppe: Mahakama yakubali Ombi la Mawakili wa utetezi

  Upande wa utetezi katika kesi ya kughushi inayowakabili viongozi watatu wa klabu ya Simba wameomba mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kuahirisha kesi hiyo kutokana na kifo cha Zacharia Hans Poppe aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo iliyochukua ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara mara nne mfululizo...
Top Bottom