Wakili na mtetezi wa haki za binadamu, Dickson Matata, amesema kutokufika kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai, mbele ya Jopo la Majaji baada ya kuitwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, kunaweza kuwa sababu ya msingi katika hatua za...
Nimekuwa mhanga wa kufungiwa laini yangu ya uwakala kwa sababu ya kufanya miamala batili ambayo mimi sijui kama ni batili kwani tangu nipate laini hiyo sijawahi kupata semina au mafunzo yoyote juu ya miamala batili.
Tukio hili limetokea mwaka huu mwezi wa 6 baada ya kupiga menu ya voda...
Ni swala la muda.. Kila mtu atatoa mlio.. Walijua Machawa wapo sallama. Muuaji hana rafiki.
Tuliwaasa, achaneni na CCM kwani washapoteza uelekeo. Akili za wanaccm sasa hivi ni kuua, kuteka, kubambikiza kesi, Vitisho, unyanyasaji na ufisadi.
Watu walijua hii kitu inawahusu CHADEMA, sasa kila...
Mnalalamika nini? Mnasema tume imeundwa kinyume na katiba ya ya JMT kwa kuwa haikufuata matakwa ya ibara ya 74.
Mkashiriki uchaguzi ambao mlitambua hauko huru. Mpaka Ayatollah wa ujiji akashindwa ubunge na mtubambae hajui Hansard ni kitu gani.
Leo mnalalamika nini? Mlidhania Chadema wao ni...
NIkupe tu taarifa wewe unae hangaika na vitu vya kufikirika kuwa huu ni uchezaji tu wa akili yako.
PESA HUZAA PESA.
BAHATI NI PALE FURSA IKUKUTE UKIWA NA UTAYARI.
Hakuna cha nyota wala aura, hakuna cha mikosi wala nuksi.
Kama umefulia umefulia tu, patabadilika pale utakapo chukua na panaweza...
Hahahahahhhhhh hicho ni kilio sio kicheko, je walikufa ni wachache au wengi?
Nauliza je walikuwa wanawapinga wakina naninwasiingie ikulu?je uliepinga uliua 500 watu wajiskiaje?
Unajua bana….ukiwa huna akili ni hauna tu.
Hakuna namna hata ufanyeje.
Ukiachiwa uongee lazima utaongea pumba tu na kuzidi kujichoresha vile namna unavyohusika na jambo.
Sasa huyu Samia leo anasema eti hiyo ripoti feki ya Chande ni mali yake binafsi na wasijitokeze watu kudai ownership...
Vodacom wananikata hela ya Uwakala, nikiuliza wanasema kuna miamala batili, lakini hawathibitishi kivipi!
Nimekuwa nikikatwa pesa katika kamisheni yangu ya miamala ya uwakala na M-Pesa nikifuatilia naambiwa kuwa nimefanya miamala batili bila maelezo zaidi
Mimi ni wakala wa M-pesa, hivi...
Wakuu,
Kaeni karibu na uzi huu ili mpate updates ya kinachoendelea leo kwenye kesi ya leo
Mawakili wa Serikali wameshaingia Mahakamani lakini Majaji na Mshitakiwa bado hawajaingia.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amefikishwa tena kizimbani tayari kwa kuvaana na mashahidi wa upande wa...
John Heche Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema kuwa chama hicho hakiutambui uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025 na matokeo yake ni batili hivyo chama hicho kimetaka uchaguzi huo ufutwe.
Aidha Heche amesema kuwa Tume ya Uchaguzi haina sifa ya kuwa Tume...
Kuna mtu alienda mbele ya waandishi wa habari kutoa ripoti ya mali zilizoharibiwa kwenye maandamano ya October 29.. Mali hizo ni kama
Magari
Vituo vya mafuta
Nyumba
Miundombinu Mk
Licha ya kwamba ripoti hiyo inapingana kwa idadi na ripoti za awali hasa kwenye idadi ya vituo vya mafuta ...
Yaani wenzako wanasema mchezo huu hauko fair mabadiliko yafanyike, Mwamuzi, Linesmen, Wasimamizi na wadau wote wameteuliwa na timu mojawapo, Unakataa, Unawaua na kutumia Nguvu kubwa kuwadhibiti, Baada ya ushindi wa Damu unarudi kuuliza shida iko wapi? Are you serious? Shida ni wewe! Waliofanya...
Dkt Chakwera anaunga mkono uchaguzi batili uliofanyika hawezi kuongoza maridhiano ni maigizo.
Kama Samia ameshinda kwa 98% tuunde tume huru turudie uchaguzi sii anakubalika kwa asilimia 98% hatuwezi kufanya maridhiano na mtu anaye unga mkono wizi na mafisadi.
#D9
Wakuu,
Tujikumbushe kidogo wakati Rais Samia akiwa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ufunguzi wa Kampeni kitaifa uliofanyika Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Kawe, alizungumzia Sera zake na mambo atakayotimiza kwa wananchi ndani ya siku 100.
Soma GE2025 - Ahadi za...
Vijana wengi tunatumika kwa maslahi ya wengine,wengi walio poteza uhai niwale wafata mkumbo. kikundi Cha wezi walikua wanachoma sheli, wanavunjaa maduka ya watu wanaiba alafu wanakimbia vichochoroni wemfata mkumbo unabakii unatumika kama ngao yakuwazuia police bila kujua watu wapo kwenye misheni...
Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Sheikh Mustafa Rajab, amesisitiza kwamba maandamano yanayokubalika ni yale ya wananchi kwenda kwenye vituo vya kupiga kura na kurudi nyumbani, akiwahimiza Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Soma pia: Sheikh Alhad Mussa...
Ikumbukwe kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania mwaka 2021 alipatikana kwa mjibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania baada ya john pombe magufuli kufariki kwa maana hiyo umma wa watanzania unajuwa wazi katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu ilipaswa ashindanishwe na wenzake...
Msajili wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA.
Mgombea wa CCM ni batili hakuna mtu aliye simama akapinga hilo na wanaCCM wenyewe wanasema hakufuata katiba ya chama nashangaa msajiri wa vyama vya siasa kaingia mitini anajifanya haoni...
Hashim Rungwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) akihojiwa na Edwin Odemba anasema:
“Kila tukienda kwenye mikutano ya vyama vya Siasa CCM inachukua pesa za wananchi inatulipa ili ionekane nchi hii kuna demokrasia, hakuna dawa hosptalini ila pesa za kutulipa wanapata na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.