ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,032
- 3,912
NImekaa Hapa Baada ya Mapunziko ya Weekend nimeona nilete mjadala mdogo.
Mjadala huu unahoji ni kwa nini Wabunge wanateuliwa Kuwa Mawaziri?Kuteu Mbunge kuwa waziri ni matumizi mabaya ya Rasilimali na Yanaondoa kabisa Msingi wa uwakilishi wa wananchi na uwajibikaji wa serikali.Bunge ni Muhimili unaojitegemea na Serikali nayo inajitegemea ni kwa nini Mtu awe Mbunge na wakati huo huo ni waziri?Je Bunge Linapopiga KURA inayohusu waizara yake au swala amblo Waziri ana masalhi nalo inakuwaje?
Kwa Upande wa Mishahara na Marupurupu inakuwaje?Yaani Mbunge na Waziri ina maana analipwa mishahara ya Kibunge na Mishahara ya kiwaziri.Huu ni ufisadi na unyonyaji wa wazi kabisa katika TAIFA letu
Wabunge Wabaki Bungeni.Rais ateue Baraza lake la Mawaziri ambalo sio Wabunge ambao wataitwa kwenye Kamati za BUnge na kufanyiwa Veting iwapo wanakidhi vigezo na kama wanakidhi na wana uwezo basi wanapitishwa.Hii ikiwa ni Pamoja na Nafasi ya Waziri Mkuu.
Je wewe unaonaje?