Wabunge viti Maalumu Katavi watoa Milion 6 Maendeleo ya Chama na UWT.
WABUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi wametoa shilingi Milioni 6 Kwaajili ya kusaidia Maendeleo ya Chama na Jumuiya ya UWT ili kuhakikisha Chama na Jumuiya ya UWT zinaendelea kuimalika.
Wabunge wa Viti maalumu Mkoa wa...
Hakika huyu mzee ni mzigo wa Taifa.
Mzee Kinana anadai wabunge wa Tanzania ndio wanaopokea mshahara mdogo zaidi Afrika Mashariki. Ameenda mbali na kudai wakisema waongezewe mshahara wananchi wataanza kelele.
Leo usiku nilikuwa najisomea namna ya kufanya biashara ya photography studio. Nilijisomea maelekezo mengi mtandaoni. Mabeberu wametoa maelezo ya kutosha jinsi gani unaweza ukafanya hiyo biashara na ukafanikiwa. Katika vitu vya kuzingatia walivyotaja ni kuhusu vibali vyote vya kisheria kutoka...
Kuna sura tofauti imejitokeza Jimbo la Arusha Mjini. Mbunge wetu katokea Bungeni kwenye vikao, yuko Jimboni hataki kuongelea Mkataba wa DP world kabisa. Ila CCM Mkoa na Wilaya nao wamepiga kimya kuhusu mkataba huo.
Wabunge wamepatwa na kigugumizi gani? Mitandaoni Anaonekana Kinana na Wasira...
Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa
Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani, pale...
Mkataba staili ya MANGUNGO unawasuta!! Dhamiri zinawasuta!! Wanakula lakini hawashibi!! wanacheka lakini hawana furaha!!! KISA: Watanzania wamewagundua walivyoridhia mkataba wa kuuza bandari zetu kwa bei ya bure tena kinyume kabisa na sheria zetu zilizopo!!
Sasa wanajipanga kurekebisha sheria...
NATAMANI KUWAOMBA MSAMAHA KINA CHIEF MANGUNGO
____________________
Kuna nyakati huwa Natamani Sisi Watanzania Kuwaomba Msamaha mababu zetu akiwemo Chief Mangungo kwa KUWACHEKA na Kuwa na HASIRA nao kwa kuingia Mkataba wa Ulaghai na Dr. Carl Peters wa Ujerumani ambao ndio uliidhinisha mwanzo wa...
Kesi Kesi hiyo leo inatarajiwa kuendelea tena baada ya kusimama kwa miezi miwili, tangu Mei 17, mwaka huu. Siku hiyo kesi hiyo haikuendelea Kwa kuwa Jaji Cyprian Mkeha anayeiskilizwa hakuwepo, kwani alikuwa kwenye semina ya majaji ndipo ikapangwa kuendelea leo.
Wabunge hao akiwemo Halima Mdee...
Hapa sina cha kuongeza Video inajieleza yenyewe. Nimetaja Kagera tu sababu ndiyo sehemu video ilipochukuliwa tangu mwezi wa tano na mpaka sasa hakuna lolote lililofanyika.
Kila mara inasemwa kwamba wakulima katika Mkoa wa Kagera wana nafasi kubwa sana ya kuuza mazao yao nchini Uganda ambapo...
Uamuzi huo unafuatia pendekezo lililowasilishwa na Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC) iliyotaka kuongeza Mishahara kwa Maafisa wakuu Serikalini kuanzia Mwezi Julai 2023.
Ruto amesema suala hilo haliwezi kutekelezwa wakati kuna pengo kubwa kati ya Wanaolipwa kiasi kidogo na wenye mapato ya...
Amini usiamini hili bunge letu ni la Wafanya Biashara siyo Bunge la wananchi. Asilimia 80 ni Wafanya Biashara wakubwa and not start ups.
Mfanya Biashara ni mtu ambaye all the time anawaza cash flow kwenye business zake. Always thinking ways to maintain his/her wealth...
At the same time mtu...
Bunge la Bajeti limekwisha leo tuweke orodha na mawaziri na wabunge walifanya vizuri Bunge hili.
Mawaziri
1. Juma Aweso
2. Innocent Bashungwa
3. Angela Kairuki
4. Kapteni Mkuchika
UPANDE wa Wabunge
1. Tabasamu
2. Msukuma
3. Kingu
4. Mnyeti
5. Prof. Mkumbo
Wengine tuendelee.
Mmetuaibisha mno Wanaume Wenzenu na kuna Mbunge wa Kiume Mmoja aliamua kabisa Kuvua Viatu vyake huku akivishika Mkononi na Kukimbia peku na akipiga Yowe kutoka nje.
Wabunge wa Kike wakiongozwa na Spika wa Bunge walikuwa Watulivu hata wakati Wanatoka Bungeni.
Nashukuru huyu Mbunge si wa Mara.
Kwa anayetaka Taarifa kamili juu ya Wabunge kukerwa na watoto kukata viuno katika Mahafali yao, tafuta copy yako ya Gazeti la Habari Leo la leo ukurasa wa Nne (4) ili uyajue mengi.
Naingia kwenye mada moja kwa moja nisiwachoshe na maneno mengi. Ukimsikiliza huyu mbunge kwa umakini utakubaliana nami pasi na shaka kwamba wabunge wa CCM walihongwa na kampuni ya DP World ili kuwauzia nchi. Inauma sana. Kumbe mkataba ulisainiwa tangu mwaka jana, sasa hawa wezi wanatuchora tu...
Ni swali tu kwenu viongozi wetu hasa kuhusu hili la DP world kupewa Bandari zote za Tanzania Bara.
Wananchi hamtaki waandamane maana wakifanya hivyo mnawaona ni kama wanyama wasiostahili kuishi, mtahakikisha wanapigwa ikiwezekana kumiminiwa risasi za moto!
Wamekubali hilo, sasa wanatoa maoni...
Salamu Wakuu,
Baadaye ya kuumiza vichwa na mijadala ya mizito ya kuitoa Tanzania kwenye Lindi la umaskini, leo Wabunge wanafanya bonanza la kushindana kula Ubwabwa na maharage!
WABUNGE WATOA HOJA KUISHAURI SERIKALI JUU YA WAKULIMA KUUZA MAZAO NJE YA NCHI
Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe amewaongoza wabunge wanaotokea maeneo ya wakulima na wafanyabiashara kutoa hoja ya kuishauri Serikali namna nzuri ya kuwasaidia wakulima wanaouza mazao...
WABUNGE wameishauri serikali kutosikiliza maneno ya watu wa mtandaoni kuhusu ushirikiano wa Serikali za Tanzania na Dubai katika makubaliano ya uwekezaji kwenye bandari zilizopo nchini (IGA) kwa kuwa wanaofanya hivyo hawaitaki nchi mema.
Pia, wameitaka serikali kuharakisha kusaini mikataba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.