mvua

  1. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Kwa connection ile ya Harmonize mvua za Elnino zikija tutapona kweli?

    Hadi natetemeka jamani niliyoyaona huko mjini, Tembo kajua kujidhalilisha na kumdhalilisha yule binti mmmmh!!! Haya wadada wa kusoma inch mtuambie ni mtulinga au kibamia!???
  2. albab

    JamiiForums Tanzania Club ya Rio-De-Janeiro iliyopo bukoba mjini sio salama tena kuelekea mvua za Elnino

    Kwa muda mrefu kumekua na malalamiko dhidi ya club ya Rio De janeiro iliyopo BuKoba Mjini mali ya Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Bukoba Mjini JOAS MUGANYIZI ZACHWA @ PEDESHEE kwamba imejengwa karibu kabisa na Mto Kanoni kinyume na sheria za NEMC. Mara zote walioleta hoja hii wameonekana wabaya kwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Morogoro Mjini: Barabara ya kuelekea Kididimo iboreshwe wakati wa mvua itasumbua

    Wananchi wa Morogoro Mjini, Kata ya Magadu, tunaomba kupaza sauti kuhusu hali mbaya ya barabara inayoelekea kwenye Kota za SUA zilizopo Kididimo. Barabara hiyo imekuwa mbovu kwa muda mrefu, licha ya SUA kuwa na magari na uwezo wa kufanya matengenezo ili ipitike vizuri. Hali hii imekuwa kero...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Misri wana mvua chache sana ila wana pesa nyingi kuizidi Tanzania. Je, watuchimbie mabwawa kama ya JULIUS NYERERE l??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Misri hawana mvua ila wana pesa nyingi kutuzidi. Je, watuchimbie mabwawa kama ya JULIUS NYERERE mikoa ya Kanda ya ziwa Victoria na sisi (Tanzania) tuwape maji ya ziwa Victoria kwa maana tuna pesa kidogo ila mvua ni nyingi sana??
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Masauni Atoa Siku Saba Kukamilisha Tuta La Mto Lumemo, Aonya Athari Za Mvua Kubwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, akizungumza na Wananchi wa Kata ya Ipangalala pembezoni mwa Mto Lumemo wilayani Kilombero mara baada ya kumaliza ziara ya siku mbili mkoani Morogoro, kukagua hatua mbalimbali zinazochukuliwa...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TMA yathibitisha El Nino, mvua za awali zimeanza

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema hali ya El Nino nchini inaendelea kuimarika, huku kilele chake kikitarajiwa kufikiwa katika kipindi cha Novemba na Desemba. Ofisa Habari wa TMA, Ramadhan Omary katika taarifa yake Jumapili, Septemba 27, 2026, kwamba El Niño tayari imejijenga na...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Rain coat and soft suit (koti za mvua)

    Linda mwili wako dhidi ya mvua na mazingira magumu ya kazi. V Inafaa kwa construction, site, workshop & outdoor work V Material imara na rahisi kutumia V Husaidia kukuweka salama na kavu wakati wa kazi Bei 35000/= kwa mawasiliano 0612630936 mikoan tunatuma pia
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu WA JWTZ , IGP na mwenyewe Kingai ni wateule WA rais je kauli ya kusema wote wanataka Lisu akutwe na hatia haiwezi athiri hukumu?

    Wadau habari zenu, HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia kauli ya Kingai ndo kauli ya bosi wa mihimili yote. Au ndo hukumu tayari Wanasheria na wadau...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tumuombe Mungu apunguze mvua za El Nino au tumshukuru kwa maji ya kutosha kwa kilimo cha umwagiliaji

    Nimewasikia baadhi ya viongozi wa dini wakiandaa maombi ili Mungu aepushe madhara ya mvua kubwa zinazotarajiwa kuanza mwezi Oktoba. Kwa nini tusimshukuru Mungu kwa neema hii na tujenge miundombinu bora na tuvune maji ya kutosha kuepuka uhaba wa maji na kufanya kilimo cha umwagiliaji kipindi cha...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mvua huko kwenu vipi , ukame ulizidi. Huku inanyesha sasa hivi

    Huku mvua inapiga vema. Hapo ulipo vipi?
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na mvua za El-Nino

  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe azitaka Wilaya, Halmashauri zote kujiandaa kukabiliana na athari za Mvua za El Niño

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amezielekeza Wilaya na Halmashauri zote nchini kuhakikisha zinafanya kazi ya kuzibua mitaro na mifereji ya maji ili kujiandaa na kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua...
  13. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya mvua na genye 😏 - tuzogoe!

    Hili swala la mvua zikiamsha na mwili nao unaamsha limekaaaje? Je, wewe huwa unajisikia hamu zaidi ya tendo hali ya hewa ikiwa imepoa au kuna mvua? Jambo gani ushawahi kufanya sababu ya hizi mvua, kila ukikumbuka unacheka tu? Kuna sayansi yoyote nyuma yake au ni nini sababu?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Dalili ya mvua ni mawingu

    Tayari! One can precisely guess the outcome. Hawezi kuandika ukweli au uongo aliousikia. Naishia hapa
  15. R

    JamiiForums Tanzania Nyerere alisema mvua za kwanza ni za kupandia. Majira yamebadirika, subiri ,mvua za kwanza usipande, sikilizia.

    " vimvua" vilianza August, mpaka leo September hakuna mvua ya maana ya kupanda mazao. Hivyo majira yamebadirika. Ushauri wa Nyerere does mot hold any longer! Ila tayarisha mashamba
  16. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Umejipanga vipi na mvua za El Nino?

    Hapa waliojiajiri wanachekelea tu, wale wa online business fresh tu, waliojenga fresh tu, una wifi Yako ndani fresh tu, una pisi au brazamen fresh tu, vyakula vya tahadhari umejanza ndani, fresh tu sijui we UMEJIPANGA vip
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Makambako izibue mitaro ya maji machafu kabla mvua hazijaanza

    Halmashauri ya Mji wa Makambako Mkoani Njombe, hamuoni kuna haja ya kuzibua mitaro ya maji kabla ya kipindi cha mvua hakijafika? Huu ni mwaka wa pili sasa mfereji huu ukiwa umeziba bila kufanyiwa usafi/uzibuliwaji. Mfereji huu upo Mtaa wa Mjimwema, eneo la njia panda ya barabara inayoelekea...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Tumejipanga kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua za Elnino - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Tumejipanga kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua za Elnino - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Bungeni-Dodoma 🗓️ Agosti 27, 2026. ————————————- Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Johnston Mtasingwa.
  19. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania TMA: October kuna mvua za El Nino zinakuja

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo kuhusu uwezekano wa kuwepo kwa mvua kubwa zinazohusishwa na hali ya hewa ya El Niño kuanzia Septemba na kuendelea hadi Oktoba, Novemba na Desemba 2026, huku athari zake zikitarajiwa kuendelea hadi mwanzoni mwa mwaka 2027. Akizungumza na...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Stendi ya Segerea - Dar kimeo sana, miundombinu mibovu, mvua ikinyesha ndio balaa kabisa

    Miundombinu ya Kituo cha Segerea ni mibaya, kwa ufupi imeharibika, hii si mara ya kwanza Wadau tunawasilisha kero hiyo hapa JF lakini nadhani watakuwa wanachukulia poa na kuona wao haiwahusu kwa kuwa tunaoteseka ni sisi wa kipato cha chini tunaotumia daladala, wao wanatumia magari ya bei kubwa...
Back
Top Bottom