Kwanini Mawaziri na Wabunge Tanzania hawalipi kodi? Wanapata wapi nguvu yakidai wananchi walipe kodi?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Tanzania ni nchi ambayo wanasiasa wa ngazi zote awalipi kodi kwa mapato yao. Hakuna diwani, mbunge wala waziri anayelipa kodi nchini. Wote wametunga sheria za kujiwekea kinga.

Wabunge na mawaziri wanapewa mafuta na gharama za matengenezo ya magari na awalipi kodi . Wanalipwa posho kwa mamilioni hakuna kodi.

In short hakuna mwanasiasa anayelipa kodi nchni, wote wanakwepa kuwajibika.

Hao hao ndio wa kwanza kuwaambia watanzania wawe wazalendo walipe kodi na kudai risiti. Wanawezaje kukwepa kodi then wakasimamia wengine walipe kodi?

Watumishi wengine wa umma wote wanalipishwa kodi lukuki ila hawa wakwepa kodi wanadhani wao ndio wazalendo.

Kuna kauli mpya inakuja ikisema watanzania tusipende vya bure. Hii kauli inatolewa na waziri au mbunge ambaye
1. Nyumba kapewa bure
2. Gari kukopeshwa bila riba
3. Mafuta ya magari anapewa bure
4. Wasaidizi wake wanalipwa na serikali
5. Watoto wake wanalipwa kupitia miposho lukuki wanayopewa.

Bado kiumbe wa aina hii anapata nguvu bila soni kudai wananchi waache kukwepa kodi.

Nchi zilizoendelea mlipa kodi namba moja ni Rais na wasaidizi wake. Kwetu it's contrary na bado tunasubiri uzalendo

Hawa wanasiasa wapo exempted kila kitu ikiwemo hata some of importation . Tunapojadili umuhimu wa kulipa kodi na kukwepa kodi tuone hawa senior citizen kama chanzo cha ukwepaji kodi nchini.

Na kwa sababu hawana uchungu ndio maana wanachukua fedha kwa bilioni nakwenda kununua majumba nje sambamba na kuzificha kwenye mabenki. Na huko wanapokwenda kupeleka fedha zetu wanakutana na kodi ambazo wao hawaa exemption lazima walipe.

Kama wanajua huko nje hakuna kukwepa kodi kwanini wasikubali kuwekeza na kulipa kodi nchini. Unatengenezasheria zakukusaidi usilipe kodi Tanzania unakwenda kulipa kodi ughaibuni. Foolishness.
 
Tabaka linalokula nchi! mifumo haiwabani, hakuna anayetaka kulipa Kodi! Ukinipa mwanya wa kutokulipa Kodi, hata Mimi sitalipa,
 
Sijaelewa, unazungumzia kodi ipi. VAT hakuna mtu anaweza kuikwepa, ina maana hawafanyi manunuzi yoyote? Ni kweli walitakiwa wakatwe PAYE, tozo na kodi zote km raia wa nchi hii bila kujali nafasi walizo nazo sahivi. Huo ni udhaifu mkubwa wa mtu mweusi. Ht kingeingia chama kingine utakuja kuona mambo yakiwa mabaya zaidi. Mungu atusaidie tupate Rais jasiri asiye mlafi na mwenye tamaa.
 
Ukiangalia PAYE wanazokatwa watumishi wa umma halafu unasikia wagonga meza hawakatwi chochote unabaki tu kushangaa
 
Tanzania ni nchi ambayo wanasiasa wa ngazi zote awalipi kodi kwa mapato yao. Hakuna diwani, mbunge wala waziri anayelipa kodi nchini. Wote wametunga sheria za kujiwekea kinga.

Wabunge na mawaziri wanapewa mafuta na gharama za matengenezo ya magari na awalipi kodi . Wanalipwa posho kwa mamilioni hakuna kodi.

In short hakuna mwanasiasa anayelipa kodi nchni, wote wanakwepa kuwajibika.

Hao hao ndio wa kwanza kuwaambia watanzania wawe wazalendo walipe kodi na kudai risiti. Wanawezaje kukwepa kodi then wakasimamia wengine walipe kodi?

Watumishi wengine wa umma wote wanalipishwa kodi lukuki ila hawa wakwepa kodi wanadhani wao ndio wazalendo.

Kuna kauli mpya inakuja ikisema watanzania tusipende vya bure. Hii kauli inatolewa na waziri au mbunge ambaye
1. Nyumba kapewa bure
2. Gari kukopeshwa bila riba
3. Mafuta ya magari anapewa bure
4. Wasaidizi wake wanalipwa na serikali
5. Watoto wake wanalipwa kupitia miposho lukuki wanayopewa.

Bado kiumbe wa aina hii anapata nguvu bila soni kudai wananchi waache kukwepa kodi.

Nchi zilizoendelea mlipa kodi namba moja ni Rais na wasaidizi wake. Kwetu it's contrary na bado tunasubiri uzalendo

Hawa wanasiasa wapo exempted kila kitu ikiwemo hata some of importation . Tunapojadili umuhimu wa kulipa kodi na kukwepa kodi tuone hawa senior citizen kama chanzo cha ukwepaji kodi nchini.

Na kwa sababu hawana uchungu ndio maana wanachukua fedha kwa bilioni nakwenda kununua majumba nje sambamba na kuzificha kwenye mabenki. Na huko wanapokwenda kupeleka fedha zetu wanakutana na kodi ambazo wao hawaa exemption lazima walipe.

Kama wanajua huko nje hakuna kukwepa kodi kwanini wasikubali kuwekeza na kulipa kodi nchini. Unatengenezasheria zakukusaidi usilipe kodi Tanzania unakwenda kulipa kodi ughaibuni. Foolishness.

Halafu bado wana jeuri ya kuwaambia Watanzania wahamie Burudi ... Washenzi sana hawa watu!!
 
Muda huu wanasoma uzi huu na kucheka kimyakimya..wanajisemea moyoni si na wao wawe wabunge.
 
Back
Top Bottom