kuandamana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Polisi, huwezi kumshitaki mtu mahakamani kwa hisia, 'alitaka kuandamana', 'alipanga kuchoma transformer', halafu ukashinda

    Msemaji wa Jeshi la Polisi amesema jeshi hilo limekamata magaidi 130 na tayari 36 wameshafikishwa mahakamani. Msiishie kusema tu walipanga kuchoma transformer nchi iwe gizani, tuambieni nchi nzima ina transformer ngapi na ngapi zimechomwa. Mnasema walipanga kuua viongozi wa serikali akina nani...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Hii namna mpya ya kuandamana hapo hapo na kiongozi akiwepo jukwaani inaweza kuleta mapinduzi makubwa kwenye siasa za Tanzania

    Tumeona kwenye tamasha la bongo fleva Mlimani City jinsi ambavyo wahudhuriaji walivyokataa mambo wasiyoyataka. Tumeona naibu waziri wa utamaduni akizomewa kwa kutaka kuingiza siasa kwenye burudani. Pia tumeona hayo hayo yakimtokea Dully Sykes kwa kumtaja tu Makonda. Haya yanatufundisha nini...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda aenda Kuandamana Paris Ufaransa kisa Kiswahili huku Tanzania Maandamano ya KATIBA MPYA yakipigwa Marufuku

    Paul Makonda na Serikali yake Wamefungia Maandamano Tanzania, lakini ajabu ameenda kuandamana Nchi ya watu tena kapewa Ulinzi. Aliandama huku akitabasamu akifurahia kuandamana. Annatumia mmaandamano kueneza ujumbe kuhusu Kiswahili. Ila ukimwambia tuandamane kuhusu Katiba unaitwa mhani sababu...
  4. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka kuandamana Jumanne 7/7, mmejipangaje?

    Unajua Mimi pia napenda ccm ing'oke ( ila siungi mkono maandamano ya amani) Wenzenu CCM wana majeshi yote, jwtz imeshajiweka wazi ipo kwa ajili ya kulinda mipaka ya ccm isiingiliwe, jeshi la polisi lipo pale kulinda viongozi na malizao, nyie mna nini?? Kwamfano na nyie mmekuja na silaha zenu...
  5. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Katazo la kuandamana haliwahusu Simba ba Yanga ila CHADEMA pekee?

    Wakati mwingine huwa siwaelewi CCM wanaposema maandamano ni jambo baya. Au hawajui maandamano ni kitu gani! Kuandamana ni mfuatano wa watu mmoja akimfuata mwingine. Sasa ubaya wa CHADEMA kuandamana unatokana na nini? Kwa siku mbili mfululizo mashabiki wa Simba na Yanga wamekuwa wakifanya...
  6. Saidama

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya 7/7: Nani anaenda kuandamana (?)

    Nikiwa kama mwananchi wa kawaida ninaetamani kuona nchi yangu inakua na uongozi bora unaoweka mbele maslai ya wananchi, nimeshindwa kuelewa hiki kinachopangwa kwenda kutokea siku ya 7/7. Natamani kuona wananchi tunaamka na kupeleka ujumbe wetu kwa walio mamlakani, ila sidhani kama tuko tayari...
  7. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane :Sioni uwezekano wa watu kuandamana 7/7.

    Haya mambo ya maandamano 90% yanasikika mitandaoni tu ila tukija kwenye uhalisia wa maisha halisi hakuna mtu anayezungumzia kabisa. Zimebaki siku chache lakini sioni kabisa uwezekano wa kuandamana. Hii itakuwa ni sawa na ile 9 December.
  8. Inside10

    JamiiForums Tanzania Katambi: Ukitaka kuandamana, katoe taarifa Polisi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amezungumzia utaratibu wa maandamano na mikusanyiko ya hadhara kwa mujibu wa Katiba na Sheria, ikiwemo wajibu wa kutoa taarifa kwa Kituo cha Polisi saa 48 kabla ya kuandamana. Akizungumza leo Julai 2, 2026, Jijini Dar es salaam, Katambi amesema...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wanasababisha walinzi wetu na viongozi kuandamana mwezi mzima kabla ya tarehe 7/7 si ajabu wakaahirisha tena wakapanga tarehe nyingine

    Wanaharakati wanasababisha walinzi wetu kuandamana muda mrefu zaidi kuliko waandamaji wenyewe jambo ambalo linachosha vyombo vyetu . Kama wataamua kuahirisha hiyo tarehe na kutangaza tarehe nyingine wataendelea kuleta mzigo mkubwa na uchovu Kwa vyombo vyetu kwakweli Maandamano yanaruhusiwa...
  10. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya sasa, kuandamana Tanzania sio salama. Usitegemee wazungu au Serikali itakulinda

    Nafasi niliyoacha hapo juu ni kwa ajili ya salam Tanzania kuandamana kwa sasa ni hatari kwa sababu lazima upate madhara ,wazazi na walezi waase watoto wenu kila mmoja anaona kila kitu kimepararaizi na wengi wanaandamana moyoni . Kila mmoja ana lake hasa katika awamu hii Ajira, katiba mpya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hivi anaevunja amani ya nchi ni nani hasa; yule anaetaka haki yake ya kikatiba ya kuandamana kwa amani au yule anaekataa katakata kumruhusu aandamane?

    Yaani imefikia kwamba katika uongozi wa Raisi Samia na CCM yake, wao wakisikia tu maandamano wanatafsiri kuwa ni uvunjifu wa amani. Hata siku moja sijasikia wakisema tutalinda amani ili kuhakikisha watu wanaandamana bila vurugu. Raisi Samia na viongozi wote wa serikali na CCM, maandamano yeyote...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Wanaopanga kuandamana wana maslahi yao na wanaopinga kuandamana pia wana maslahi yao, usijichanganye!

    Habarini,lazima mlielewe hilo kila mtu ana maslahi yake kwenye maandamano ya Kiafrika achana na kifuata mikumbo kama huna maslahi basi tuliza makalio home kwako. Asanteni!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nawaonea huruma mnaoenda kuandamana, kuna tetesi ya vipenyo wenye bunduki na mabomu ya mkono kuwadhuru waandamanaji bila lawama

    Sio vitisho ila mambo yanaweza kuwa hivyo Itaonekana kwamba waandamanaji wamelipua biashara za watu na wao kwa wao wameuana na kujeruhiana.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Atakaye Jaribu Kuandamana Atajuta na Kuilaani Siku Aliyozaliwa. Amani Na Usalama Wa Taifa ni Lazima Vilindwe kwa Jasho na Damu ili Visitoweke

    Ndugu zangu Watanzania, Duniani Kote na Mataifa yote yanayojitambua hulinda Amani Na Usalama kwa nguvu zote na kwa kila njia . Mataifa yote kuanzia yale Makubwa hadi Madogo hulinda Amani na Usalama kwa jasho na Damu. Tangu enzi na Enzi tokea kuumbwa kwa Ulimwengu Huu Usalama wa Himaya ama...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Badala ya watawala kukomalia kusema hakuna maandamano 7/7, wangejiuliza kama kuna wananchi wana sababu za msingi za kutaka kuandamana siku hiyo

    Busara katika kukabiliana na jambo lolote unalotaka lisitokee, ni kujiuliza kama kuna sabau za msingi zinazofanya litokeee. Hapo utakuwa unaangalia chanzo, source. Sasa japo ni jambo la kuaibisha (embarrassing) kwa utawala wowote raia wake kuandamana. Inafedhehesha na inatia aibu. Hata...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Pesa zinazokusanywa ni kwajili ya kuendeleza Dar, Dodoma na Zanzibar ? mikoa mingi imekuwa vyanzo vya mapato bila kupewa umuhimu kwenye maendeleo

    Kuna mikoa huchangia mamia ya mabilioni ya kodi kila mwaka kupitia biashara, kilimo, madini na shughuli nyingine za kiuchumi. Lakini ukifika hata makao makuu na majiji ya mikoa hiyo, maendeleo hayaendani kabisa na mchango wao, Inasikitisha kuona kuwa sehemu kubwa ya mapato hayo yanaelekezwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mnaopanga kuandamana tena nawaombeni mtumie akili, mnaenda kudili vipi na risasi zitazowapotezea maisha na ulemavu wa maisha?

    Mnaendelea kuchora mabango ya kuandamana, mnaposti kwenye mitandao ya kijamii, mnapanga kukusanyika na kuingia barabarani kwa matumaini ya kusikika. Lakini jiulizeni kwa kina je, mmejiandaa kukabiliana na hali halisi inayoweza kujitokeza? Mnapofika barabarani, mambo hubadilika. Mnafyatuliwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Iran uliua zaidi ya raia elfu 40 miezi miwili iliyopita ndio maana wanaogopa kuwasha internet, Wananchi wengi wapo upande wa Israel na USA

    https://x.com/nmebadi/status/2041356156413661510?s=20 https://x.com/i/status/2017987125895925982 Utawala wa Iran umeweka giza la taarifa kwa zaidi ya mwezi sasa, mtandao umezimwa ili kuzuia ukweli usiwafikie watu wa nje. Ni chini ya asilimia 1 tu ya wananchi wenye uwezo wa kupata internet, na...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Shahidi anasema hajui kama kuzuia uchaguzi, kuandamana ni kosa sasa mtu kama huyu ameendaje mwenyewe polisi kushtaki kosa?

    Kesi ya Lissu: Shahidi anasema hajui kama kuzuia uchaguzi, kuandamana ni kosa sasa mtu kama huyu ameendaje mwenyewe polisi kushtaki kosa? Kuna upumbavu mwingi sana kwenye jeshi la polisi lazima wahusika wa upumbavu huu watawajibishwa. kijana ameshinikizwa na polisi kuja kuongea vitu asivyo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya maafa ya maandamano ya MO29, sidhani kama watanzania wana nguvu ya kuandamana tena kwa miaka 20 ijayo, watu wanaogopa sana maandamano

    Wengi wetu tulidhani maandamano yatatulizwa kwa mabomu ya machozi , virungo na vipigo, vifo vilitbiriwa kuwepo kakini vichache sana visivyozidi 20. Lakini kilichotokea ni tofauti kabisa, risasi zilimiminwa kama njugu. Watu wengi walipoteza maisha wakiwemo wengi zaidi ambao hawakuandamana na...
Back
Top Bottom