Kwanza tunaamin hiki kitabu kikiandikwa na MUNGU kupitia mkono wa binadam...na mara ya kwanza kilkuwa na vitabu vingi... lkn zinazochapwa kwa sasa zimenyimwa baadh ya vitabu... na wala sisikii vikitumika ktk mafundisho.... mf SIRA...BARUKU..SUSANA...BELI NA JOKA..WAMAKABAYO..
JE hii n kwan...
Ni-declare interest mimi sio muislamu bali ni mtu ambaye ni curiocity wa mambo mengi yaliyopo duniani
👇👇👇👇👇
Turudi kwenye uzi
Watu wamekuwa wakiwaogopa wapemba na moja ya sababu kubwa ni kwamba ukimess na mpemba basi anakufanya kitu kibaya
Ninini kinawapa kiburi wapemba
Kinachowapa kiburi...
Viktoria Haidai anatazama kwa huzuni mabaki yaliyoharibiwa ya mashine za uchapishaji ambazo zilipaswa kuwa zikifanya kazi kwa kasi kuchapisha vitabu vya kiada kwa ajili ya mwaka mpya wa shule.
Kiwanda hicho kilichopo pembezoni mwa Kyiv, Ukraine, kilishambuliwa usiku na kombora la Urusi wakati...
Wakongwe wenzangu naombeni mwenye vitabu hivi soft copy anitumie dm au kama ni hard copy basi mnijuze vinapopatikana.
Ukisoma hivi vitabu unapanua uelewa kama Lissu , Mshana JR, Khalifa na Jenerali Ulimwengu.
Kitabu kipi bado hujasoma kati ya hivi?
1.Salamu toka kuzimu (Ben Mtobwa)
2.Tutarudi...
Mimi ni mwandishi wa Vitabu (zaidi ni Riwaya). Tena naandika mno!
Changamoto ni moja ambayo ni kuwa, Sina uwezo wa kuchapisha na kuzisambaza kazi zangu kutokana na kipato changu kuwa kidogo.
Naomba msaada wa 'Konekisheni' ya Kampuni ama Taasisi yoyote ambayo inajihusisha na Uchapishaji na...
Wadau nimeona nianzishe uzi kwaajili ya kumbukumbu zetu. Sisi tuliosoma miongo mitatu iliyopita mtakumbuka baadhi ya vitabu ambavyo vilikuwa na masimulizi ya kuvutia yaliyobeba ujumbe kwaajili ya kuibadilisha jamii.
Binafsi nilipenda kusoma kitabu cha darasa la 4 kilichojaa hadithi za...
Tujitafari,
Biblia na quruan kwa akili ya kawaida ya Waafrika wengi waliofirisika kifikira wanaamini ni vitabu vya Mungu hadi kudai vimeshushwa na Mungu duniani.
Sasa kama ni Mungu aliyeviandaa kwanini nyie watu wa duniani mnavichapisha upya katika matoleo mbalimbali hapa duniani badala Mungu...
Mara oh mwehu wew unapost pumba tu na Hauna mchango wowote jeiefu folamu..haya sasa mzigo hua wa statistics na wale wa data analysis!!.
Bureeeee kabisaaaaa bureeeeeeee!!!!!
📚 VITABU, VITINI NA MITIHANI YA SHULE ZA MSINGI VINAPATIKANA 📚
Je, wewe ni mzazi, mlezi, mwalimu au unamiliki shule ya msingi?
Tunatoa vitabu na vifaa mbalimbali vya kujifunzia kwa Shule za Msingi za Swahili Medium na English Medium, kwa madarasa yote kuanzia Awali hadi Darasa la VII...
Kila unapoandika hu:)wezi kuandika kwa ufupi kwa sababu wewe ni mwandishi. Sijui kama ni tabia ya waandishi wengi, lakini wengine hata ukiwauliza jambo dogo tu, jibu linakuwa kama makala nzima! Mimi binafsi napenda watu wanaoweza kueleza jambo kwa kifupi na kueleweka. Ukiandika ujumbe jf wa...
Nafanya hii kazi kwa kujitoleaa kabisa!!Maana hela za kuipa jamii sina basi nitawapa maarifa!
Nimeona nianze kufanya Philanthropy kama sehemu ya kuisaidia jamiii kimaarifa na kufungua Bongo!!….
Ni mm rum28
Email:enatmedics@gmail.com
Maoni yako plz
Natumai nyote haijambo bukheri wa afya. Kichwa cha habari husika.
Binti wangu ameletewa fomu ya kujiunga shule yenye lundo la options za vitabu. Naomba msaada ninunue vitabu gani muhimu zaidi kwa uchache. Mtaala mpya wa Computer Science kwa 5 na 6.
Natanguliza shukran zangu za dhati.
Huyu Mzee nilivutiwa nae sana kabla ya kuingia serikalini.
Nachotaka kujua ataandika nini kwenye kitabu chake jinsi alivyobadilika kutoka Kabudi yule mpaka huyu wa kutetema kama Mayele.
Usiku wa Machi 07.2026 katika jijini la Kigali nchini Rwanda, Mtanzania Yericko Nyerere ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya uandishi bora wa vitabu Barani Afrika, tuzo inayotolewa na 'Shining Stars Africa Awards'
Yericko ambaye pia ni kada wa CHAUMMA alishinda kwa kura 7584 sawa na 53% alikuwa...
Picha tunayoitumia kwenye vitabu haionyeshi uhalisia wa hali ya waafrika miaka hiyo ya 1905. Yaani hii picha haikufaa kabisa kuendelea kutumika. Hiyo ni picha ya kuchorwa na mkono. Picha inamuonyesha Kinjeketile kama Mtu mwenye kitambi/kiribatumbo, yupo tumbo wazi, anamduara ule kichwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.