makamu

  1. J

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Watendaji chapeni kazi, Mjomba hayupo

    Makamu wa Rais mteule Dr Mpango amewataka watendaji kuchapa kazi kwani mjomba hayuko. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akiwaaga wabunge wenzake tayari kabisa kutumikia nafasi yake mpya. BAVICHA chapeni kazi majungu siyo mtaji. Maendeleo hayana vyama!
  2. K

    Hili la Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais ni "mchafukoge" tafakari

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wake. Amethibitishwa na Bunge kwa asilimia 100! Well, ni pendekezo lake. Mpango amepewa sifa kedekede na wanaCCM wenzake as usual. Shida yangu iko hapa, Rais amekuwa na mashaka makubwa katika hazina kuu BoT kwamba kuna uwezekano...
  3. Linguistic

    Tutarajie Uchaguzi mdogo Jimbo la Buhigwe baada ya Dkt. Philip Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa JMT

    Mbunge akiteuliwa kuwa Makamu wa Rais anakoma kuwa mbunge. Hivyobasi, Dk. Philip Isidori Mpango atakapo apishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakoma kuwa mbunge wa Jimbo la Uchaguzi la Buhingwe lililopo Mkoani Kigoma, haya ni matakwa ya masharti ya Ibara ya 47 (6) ya...
  4. Analogia Malenga

    Makanisa Tabora yaungana kuliombea Taifa na mchakato wa kumpata Makamu wa Rais

    Maaskofu, Wachungaji, Mapadre na waumini wa makanisa mbalimbali Mkoani Tabora wamefanya ibada ya pamoja kuliombea taifa ili amani, umoja, mshikamano na upendo viendelee kudumishwa miongoni mwa Watanzania wote. Akizungumza katika ibada hiyo iliyofanyikia katika kanisa la KKKT-Tabora mjini Katibu...
  5. fmlyimo

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
  6. R

    Mahesabu msiyopenda kusikia kuhusu Makamu mpya wa Rais

    Sequence of events: Suppose Kundi mojawapo katika wanaotaka nafasi hiyo wana mshikamano na Spika. Halafu mtu wao anateuliwa kuwa makamu wa rais. Bunge linampitisha kwa kauli moja, anaapishwa kuwa makamu wa rais Baada ya miezi michache wabunge wanaanza kuhoji ufanisi wa rais. Hoja ya...
  7. Uponyaji na uzima

    Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

    Salamu wakuu Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa Rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu. Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
  8. matunduizi

    Sababu 6 kwanini makamu wa Rais awe Mwanamke

    Sababu... 1: Kuhofu uwezo wa mwanamke ni kuvunja katiba. Maana katiba inamtambua na nchi haingozwi kwa tahadhari za kitamaduni bali kikatiba. 2: Tunaowanawake waliowahi kushika vyeo zaidi ya rais. Getruda Mongera spika wa afrika, Mh Migiro katibu UN, lkn waliofanya vzri katika nafasi kubwa...
  9. Jackal

    Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba awajibu TLS kuhusu Rais Samia Suluhu kuteua Baraza jipya la Mawaziri

    Nimesoma andiko la TLS, kwa heshima zote kwa chombo chetu hiki kilichopewa mamlaka kisheria, Nimeshtuka sana, I wish to say, Kwanza KATIBA HAIJAVUNJWA KWA MHE RAIS SAMIA SULUHU kuapa, na wala hakuna Mkanganyiko wowote wa Kikatiba, kwa yeye kutoteua PM na Baraza jipya. Mmekaa wote kweli...
  10. Automata

    Mlengo na ukomavu wa Mama Samia utaonekana kwenye uteuzi wa Makamu wa Rais

    Kwenye uteuzi wa makamu wa raisi ndipo patajulikana mlengo na ukomavu wa Mama Samia Kama ni mtu sahihi wa kuendeleza kazi za mtangulizi wake ama la!; ikiwemo miradi mikubwa Kama yupo kwa ajili ya hapa kazi tu ama la! Kama yupo kwa ajili ya vita ya rushwa, ubadhilifu, uzembe, uvivu ama la...
  11. B

    Ugumu wa kutabiri anayefaa kuwa Makamu wa Rais ni tafsiri ya wanasiasa wa Tz kutegemea dola kujijenga?

    Majina yanayotajwa kupewa nafasi ya Makamu wa Rais na Waziri Mkuu ni majina yasiyo na chembe ya uhalali wa kushika nafasi hii. Si kwamba Taifa halina watu wenye uwezo la, watu wenye uwezo wapo wengi lakini hakuna aliyejengwa kusimama bila kusimamishwa na dola. Uimara wa kiongozi utokana na...
  12. M

    Kinana kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa?

    Wakuu, Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa ni nafasi kubwa ndani ya chama hicho na kimsingi ndiye mchora ramani ya mwelekeo wa chama hicho. Mzee Mangula (Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa wa sasa) yupo katika siku zake za mwisho katika nafasi hiyo. Kumekuwa na utamaduni ndani ya CCM kwa...
  13. Q

    Godbless Lema: Makamu wa Rais ni Rais mtarajiwa, CCM amueni kwa busara

    Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja. Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na...
  14. Cannabis

    Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke nchini Marekani atuma salamu za Pongezi kwa Rais wa kwanza Mwanamke nchini Tanzania

    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametuma salamu za pongezi kwa Rais mpya wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan ambaye ameandika historia ya kuwa Rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania. Kamala Harris amesema pia Marekani ipo tayari kushirikiana na Tanzania kuboresha mahusiano baina ya nchi...
  15. M

    Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

    Kweli nimeamini kufa kufaana na kwamba Mafanikio yako kwa muda fulani yasikufanye ukawadharau wa chini yako kwani huenda nao Siku Moja wakawa juu na Wewe ukawa chini yao. Kutesa kwa zamu na sasa ni zamu ya Walinzi Wengine waliokuwa Wakichekwa na waliokuwa Juu yao na Kutanua na Boss wao...
  16. D

    Ikiwezekana, Bunge lianze na mswada wa dharura kujadili Katiba Mpya; hii Katiba ya sasa kitendo cha Makamu kutambuliwa kuwa mrithi ni hatari

    Suala la katiba lipewe kipaumbele sana. Katiba ni uhai. Yapo mengi ya hatari sana kwenye katiba hii. Lakini hili la Mrithi wa rais anayefariki dunia, kuwa ni makamu wa rais (automated) ni hatari sana kwa marais endapo tukipata Makamu asiyemwaminifu. Pia linachangia sana kumuweka mbali...
  17. G

    Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

    Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu? ====== 37(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na...
  18. Analogia Malenga

    Zuio la mahindi kuingia Kenya, ni kwasababu makamu wa Rais anataka soko la mahindi yake

    Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto, amedaiwa kuwa na shamba la mahindi hekari 500,000 nchini DR Congo, ambapo ametumia nguvu yake kisiasa kupata uhakika wa soko la mahindi yake Baadhi ya wabunge wa DRC wamethibitisha hilo. Ili kupata soko la mahindi alilazimika kuzuia mahindi kutoka Tanzania...
  19. J

    Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu ameanza rasmi ziara ya siku 6 mkoani Tanga akianzia wilaya ya Handeni ambako anapewa taarifa ya ujenzi wa jengo la ofisi za halmashauri za wilaya ya Handeni. Tuko mubashara TBC. Updates: Madhumuni ya ziara yangu ni kuangalia miradi ya maendeleo, miradi yote...
Back
Top Bottom